MDADA WAKAZI AMNYONYESHA MTOTO WA BOSS WAKE SABABU BOSS MAZIWA YAKE AYATOKI INASHANGAZA...MMH

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 90

  • @FelisterTarimo
    @FelisterTarimo 7 днів тому +4

    Hongera sana mama Ima, pia hongera sana dada Ima. Watu tutaongea mengi sana, ushauri wangu mtafute sana Mungu yeye anayo majibu ya maswali yako.

  • @TinahAbel
    @TinahAbel 7 днів тому +3

    Pole sana mama mtoto ila tafuta watumishi wa Mungu wakusaidie hilo ni tatizo kubwa la kutokutokwa na maziwa ila kwa Mungu hakuna lisilo wezekana

  • @josephineanthony8253
    @josephineanthony8253 7 днів тому +4

    Anahitajika mungu, shida ipo msiridhike

  • @EdaMalamsha
    @EdaMalamsha 8 днів тому +2

    Pole dada boss bali.mshirikishe Mungu kwanza, utayaona ya ajabu

  • @RosemaryMasunga
    @RosemaryMasunga 5 днів тому +1

    Omba saanaaa umtafute Mungu ujue Mungu anasema nini kwako kuhusu huyo mdada wa kazi

  • @AnnaKanondo
    @AnnaKanondo 7 днів тому +6

    Daah pole Ata kama mtu wagaananyonyeshwa so kwaiy historia ya uyo dada mama Sali sana iyo istoria daah peleka kweny maombi Kuna kitu nyuma ya pazia mama

    • @redemtormwende2251
      @redemtormwende2251 2 дні тому

      Sio. Mtu zuri. Huyu. Dada. Wakazi. Hako. Shinda. Zakishirikina. Hizi

  • @khadijaabdulaziz8297
    @khadijaabdulaziz8297 8 днів тому +10

    Inatokezea. Mwanamke. Kutoka maziwa bila kuzaa ni. Mipangilio take Allah. Ina kuwa homonz hizo. Na Sisi Waislam. Mtoto kunnyonyeshwa na. MTU mwengine ni Jambo la kawaida mbona. Umshukuru. Allah dada na umpende. Sana huyo dada. Usijali Allah kaziba kwako. Maziwa kafungua Kwa MTU wa karibu yako ili mtoto aweze kunyonya. Si ushirikina wala chocho. Ni mipango ya Allah furah shukuru

    • @HappynessJose
      @HappynessJose 5 днів тому +2

      Kunyosha nikawainda maziwa hutoka ila kwenye uchungu watu 2 na alipo jifungua maziwa ayakutoka mfanyakz y akaaza kutoka ata anyanyosha nijambo kidogo linashitua

    • @avelinabaluhya2804
      @avelinabaluhya2804 5 днів тому

      Uko sawa kabisa Khadija,mimi ni mkristu pia naamini hivyo.

  • @OswardMwampumbe
    @OswardMwampumbe 7 днів тому +1

    Dada ongera kwa Imani uliyo nayo mshukuru mungu kwa aliyo tenda achana n'a Imani potofu

  • @ShamimuYotam
    @ShamimuYotam 4 дні тому +3

    Uongoooooooooooo uwooooooooo😂😢😢😢😢🎉 sio kweli mim ni daktal wa uzazi ,mtoto hawezi nyony maziwa ambayo mam hajawah Kuna na mimb wal mtoto because ataubwa saaan

    • @r9ayyansaid652
      @r9ayyansaid652 4 дні тому +1

      Asante na mimi si doctor ila nilisema hivohivo la huyu mwanamke katoka kwao kaacha mtoto au kaharibu alivosema tumbo linamuuma maana kuna wengine wakishika mimba tu na maziwa yanaanza ukibinya chuchu utakuta maziwa yanatoka.. si kweli yawe yanatoka tu

    • @stanymccary7136
      @stanymccary7136 День тому

      Ao wanatengeneza content, uyo mtoto niwa uyo dada aliye vaa nguo nyeusi, achana nao ni vibwabwa

    • @JosefinaReuben
      @JosefinaReuben 20 годин тому

      Jamani haya mambo yapo ,hata usipokuwa na mtoto na hukuwahi kuzaa unaweza kunyonyesha na maziwa yakatoka, kikubwa unywe vitu vya moto na uyakande maziwa kwa maji ya moto, nina ushuhuda kabisa

  • @KhadijakassimMwaipaya
    @KhadijakassimMwaipaya 5 днів тому +1

    Ni mungu tuu na alimpenda sana toka ujauxito pia kunyonsha ni kawaida zaman watu walinyonyesha watoto

  • @Sr.MartinaNyoni-k2l
    @Sr.MartinaNyoni-k2l 7 днів тому +5

    kutoka maziwa hata kama hujazaa ni kitu cha kawaida, Hiyo huwa inatokea. Kuna mfano ambao mimi nimewahi kuona. kulikuwa na mama mmoja alikuwa na binti. Binti akapata ujauzioto na akajifungua vizuri tu, baadaye yule binti alifariki. Mama alihangaika sana itakuwaje juu ya mtoto. Kwa wakati huo huyu mama alikuwa mtu mzima na alishaacha kuzaa miaka kumi iliyopita. Basi akaona amnyonyeshe yule mjukuu wake. Mwanzoni ilikuwa ngumu lakini baadaye ,aziwa yalianza kutoka. Mjukuu alinyonya mpaka muda ulipofika wa kuacha kunyonya. Kwa hiyo kwa mwanamke hicho sio kitu cha ajabu ni kawaida tu. Mshukuru sana huyo dada.

    • @GraceKamene-bw3ds
      @GraceKamene-bw3ds 7 днів тому +1

      Dio jambo la kawaida akuna ushirikina hapo bona mtu akifa uwanga mtoto ananyonyeshwa na mtu mwingine Tena hayo mambo ya science hayo kawaida mama.

    • @MengorikiMelembuki
      @MengorikiMelembuki 7 днів тому

      Mama Ima mshukuru mungu amekuwekea mkono, kwasababu kama kulikua mkono watu mungu ameingilia kati kumleta huyu dada ya kumnyonyesha mwanao halafu mwenye roho nzuri.

  • @KassimMfinanga-i2p
    @KassimMfinanga-i2p 7 днів тому

    Pole sana dada" mshukuru Mungu kukuletea huyo Dada wa kz na muheshimu sana

  • @MishiPapalan
    @MishiPapalan 8 днів тому +4

    Wewe bosi umueshimu mala mbili huyo mschana ujuwi mungu kafanya hivo anakusudia nini

  • @calisteremily6740
    @calisteremily6740 7 днів тому +4

    Mhmmm dada mwenye mtoto mtafute mungu sana atakufunulia mambo makubwa na magumu usiyoyajua hili ni moja .pili. usikubali huyo dada aendelee kumnyosha mtoto wako kashakuwa mkubwa huyo mpe maziwa ya ngombe na mengineyo ya watoto . Tatu tafuta msichana mwingine wakumlea mtoto wako .usipochukua tahadhari hapo mbele unaenda kujuta.god bless you

    • @salmahalfani6307
      @salmahalfani6307 7 днів тому

      Mmmmh unamtihani wewe na imani yako dhaifu lol!

  • @fuadaissa4329
    @fuadaissa4329 5 днів тому +2

    Sio bure, mama amebeba turbo tu mambo yote alikuwa nayo dada ,hapo hujiulizi ,sio bure

  • @TinahAbel
    @TinahAbel 7 днів тому +1

    Kwa Mungu hakuna lisilo wezekana mtafute Mungu sana

  • @amanmalabi1898
    @amanmalabi1898 7 днів тому +2

    Mtoto alipozaliwa tu huyo katika kusumbua mdada alianza kumnyonyesha mtoto ,homon zikaitikia maziwa yakaanza kutoka. Yeye hajawa mkweli. Maziwa yamechokozwa.

  • @ElinaMahuvi
    @ElinaMahuvi 4 дні тому

    Wewe mama nenda kwenye maombi acha kuzubaa hapo dunia ina mambo mengi huyo siyo mtu wa kaida kabisa . Ucfikiri ni wema tu kuwa makini sana.

  • @MohammedAl-b3i
    @MohammedAl-b3i 18 годин тому

    Iyo ipo kawaida

  • @MilDav-f3b
    @MilDav-f3b 6 днів тому +1

    Mambo ya kichawi hayo mdada mwenyewe macho makavu yeye ndio aliejifungua wewe ulikua kinvuli tuu

  • @JannatJannat-s6j
    @JannatJannat-s6j 3 дні тому

    😂😂 kamfunika baba na mama. na. Doctor. Mhh😢😢😢

  • @ednahumazi777
    @ednahumazi777 7 днів тому +2

    Nilishanyonyesha mtoto wa kiarabu nailikuwa mamayake alimuacha na.mimi nilikuwa na mtoto mchanga so siajabu

  • @veronicanabina3380
    @veronicanabina3380 3 дні тому

    Jamani siku hiyohiyo mtu anajifungua ww unatokwa maziwa mmmm ya mungu mengi

  • @EstherYoram
    @EstherYoram 7 днів тому +1

    Hiyo ilikuwa kawaida miaka ya nyuma.kwetu ilikuwa mmoja wa mama mwenye watoto mdogo akitoka kwa muda na mtoto akilia kabla ya ya yeye kurudi,akiwepo mwingine anayenyonyesha kama yeye anamnyonyesha na hakuna makasilikoa yoyo. Ila haya mambo yaliisha kulingana na sasa yamezuka magonjwa mengi sana.

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 5 днів тому

    Msikimbilie mambo yaushirikina tu kila kitu jamani,jambo la kunyonyesha linawezekana kwa mwanamke yeyote akishavunja ungo kwani vichocheo vyake mwilini huwa tayari kufanya kazi zake mradi hisia za huruma kama mama akiwa nazo,hapo hakuna ajabu yoyote,hongera sana kwa Rachel kwani anaupendo na huruma ndani yake,huyo ni mtu wa thamani sana ktk jamii.Mungu pia huyaongoza mambo yetu binadamu,yawezekana huyo mwenye mtoto ni mtu mwema sana,na Mungu anampa zawadi ambayo ataitambua baadae,pia na huyo mtoto hatuwezi kujua kama Mungu ana makusudi gani nae.Pia kuwakutanisha na huyo binti hatuwezi kujua kusudi la Mungu

  • @HappynessJose
    @HappynessJose 5 днів тому +1

    Hapo kwenye kuumwa uchungu watu wawili imenishitua Lakin swala la kutoka maziwa ujaaza nikawainda ukiaza kunyesha mtoto maziwa ya kutoka naivo imekua vinzur kujua napia boss uwe makini kama ni ndugu yako sawa kama mlipata mitaani chunga usijiamini my dear

  • @AgnesJosephat-z3c
    @AgnesJosephat-z3c 3 дні тому

    Be careful mama si kawaida

  • @EphraimMwafongo
    @EphraimMwafongo 7 днів тому +4

    Angalia na baba nae asije nyonya kwa mdada wa kazi mmh inatisha

  • @jesusfirstchurch4162
    @jesusfirstchurch4162 4 дні тому

    Hakuna hiyo...jiulize kwanini aseme aliumwa uchungu kabla yako...weee amka mamaaa

  • @jesusfirstchurch4162
    @jesusfirstchurch4162 4 дні тому

    Huyo mama kapigwa changa la macho...huyo dada ANAJUA yote...kamfunga huyo mama ..mpaka wengine wamsaidie akafunguliwe
    Halafu wewe mama mjinga kweli na huyo mume wako

  • @AnastaziaKisiri
    @AnastaziaKisiri 7 днів тому +1

    Huyo dada mchawi nenden kwenye maombi,kutoka maziwa co inshu ,kuumwa tumbo kule ni uchungu,fuatilia kwa umakin

  • @maswamills3161
    @maswamills3161 5 днів тому

    Mazingaumbwe.Isikute umeshanyang'anywa ndoa.

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 День тому

    WEWE CHEKELEA TUU UTAYAONA BAADAYE.

  • @reginasulle4960
    @reginasulle4960 3 дні тому

    Kiki tu, watu mnatafuta pesa kijanja janja tu hakuna mwenye mtoto kati yao wote hawa

  • @malebombike
    @malebombike 5 днів тому +1

    Kwani uyo boss anamtoto? Mwingine kabla ya uyo?

  • @HawaAmosi
    @HawaAmosi 2 дні тому

    Kwani. Wewe. Si. Umpe. Maziwa. Tu. Mwanao. Atakuwa jamani. Au

  • @JoyceMassawe-f5i
    @JoyceMassawe-f5i 5 днів тому +1

    Yaani wewe dada funguka akili mpeleke kwenye maombi huyo sio kabisa maziwa yako ameyachukua yeye wewe Cheka tu nitatizo huyo c mdada sahihi chuja akili

  • @DaimaKyabatima
    @DaimaKyabatima 6 днів тому +1

    Dada usifiche ukweli unajiwa siriyako kutubu aihikuwaki kwakila mutu apokukosiri nzinto mutuache kutudanganya

    • @avelinabaluhya2804
      @avelinabaluhya2804 5 днів тому

      Hilo ni jambo la kisayansi na lakikawaida tu,hakuna ajabu yoyote,mwanamke akishapevuka na akiwa na hisia za utu maziwa humtoka na anaweza kunyoyesha tu

  • @EmilykuvunaKonzi
    @EmilykuvunaKonzi 7 днів тому

    Mm na dadangu tulinyonya maziwa ya nyanya hii x ngeni 😅

  • @AmiriHumudi-hn6pt
    @AmiriHumudi-hn6pt 5 днів тому

    Subiri aje awe hakutaki Mtoto humtaka amnyonyeshae. Dddah ushamkosa Mtoto uyo.

  • @kimscharos9156
    @kimscharos9156 4 дні тому

    Mtoto ni wa huyo mdada media zingine wahuni tu

  • @MetalcomTraders
    @MetalcomTraders 5 днів тому

    Huo ni mpango wa Mungu ili mtoto apone..ni jambo la kumshukuru Mungu..na kumpongeza Dada kwa ujasiri huo...ni wajibu wa hao wazazi kuchukua

  • @tegemeakyangenyenka6111
    @tegemeakyangenyenka6111 3 дні тому

    Muulize huyohuyo mdada anajua kila kitu, nenda kwenye maombi acha ujinga,mnakumbatia mwanga au kiki, kama sio wewe mwanga

  • @RosemaryMasunga
    @RosemaryMasunga 5 днів тому

    Hee Kuna namna kesho na kesho kutwa mnhuu kuwa makini

  • @redemtormwende2251
    @redemtormwende2251 2 дні тому

    Kumnyonyesha. Sio. Shinda. Shinda. Ni ama. Kukoza. Maziw. Wakati. Yeye. Ndie. Mzazi.. Sio. Kawaida. Hii

  • @relaykimario4118
    @relaykimario4118 7 днів тому

    Duu nimeshangaa, ni maajabu ya Mungu.

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 8 днів тому +2

    Sasa hiyo dada hajazaa yy mazim yametoka wap 😂😂😂😂😂😂😂 kwanza nicheke lbda kakuroga japo ushirikina sii upendi duuh

  • @maureenlilykiwia1515
    @maureenlilykiwia1515 7 днів тому +4

    Mimba alibeba huyu mama lakini uchungu kaumwa dada na kunyonya ananyonya kwa dada hilo jambo sio la kuchukilia poa huyu mama anatakiwa aombe sana sio jambo la kawaida kabisaaaaaaa

    • @denisbongore3098
      @denisbongore3098 7 днів тому +1

      Kwakwel ata Mimi nasema aende maombi sio jambo la kawaida

  • @cadettedenise1423
    @cadettedenise1423 4 дні тому

    Yani usikubali huyo dada ayendeleye kukonyesha mutoto wako please

  • @MaryNdondole
    @MaryNdondole 7 днів тому

    Hawa waongo hizi ninkiki mtoto ni wa huyo msichana..acheni ujinga

  • @tatuaamuuinyi9633
    @tatuaamuuinyi9633 7 днів тому

    Kuruan ilishaeleza kila tu.mungesoma musingeshangaa sana

  • @AmiriHumudi-hn6pt
    @AmiriHumudi-hn6pt 5 днів тому

    Liongo ilo halina sura ya mwari lishazaa ilo.

  • @user-xk5we1iz6c
    @user-xk5we1iz6c 7 днів тому +1

    Mimii nikupate wanyonyesha mwanangu,wee ni kubayaa..siezi kubali..,Sasa huyo dada kwani anamtoto mchanga..maziwaa yalitoka wapii...musituzengue banaa

  • @أمطارقالبحرية
    @أمطارقالبحرية 7 днів тому

    Zamani watu walikuwa wanapelekwa kwa wanyoyeshaji na walikuwa wakilipwa
    Hata Mtume wetu (SAW)
    Alinyonyeshwa na bibi halima saadiyya mpska akamuachisha
    Muhimu afya ya mtu

    • @shamzone388
      @shamzone388 7 днів тому

      Kwa kiislam huwezi kumnyonyeshA mtoto wa mtu mwengine ila kwa ruhusa ya mumeo
      Na lazima mujuane ili musije kuja kuwaozesha watoto wenu

  • @sinanassor8544
    @sinanassor8544 7 днів тому

    Kuna binti alijifungua alikaa kama siku 2 au 3 alifariki gafra bibiyake maziwa yalianza kutoka yule mtoto alinyoshwa na bibi yake mpaka kafika miaka 2 hiyo ipo inatokea

  • @speciozakaloli
    @speciozakaloli 4 дні тому

    Mtoto ni wa huyu mschana

  • @annaurassa7082
    @annaurassa7082 7 днів тому

    Eeeee sio kawaida bhana wee

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 7 днів тому

    Huyo dada wa kazi aiza katoa mimba huko alikotoka.au aliacha mtoto huko kwao

    • @salmahalfani6307
      @salmahalfani6307 7 днів тому

      Hayo ni yake mwenyewe.
      Kama hana maradhi kwani kuna tatizo gani?

  • @doreenlema7612
    @doreenlema7612 5 днів тому

    HUYU NI MTOTO WA DADA.DUNIA HII INA MAMBOOO

  • @israelmkaka2807
    @israelmkaka2807 День тому

    Gallactorrhea.....Its a condition..Hormones

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 8 днів тому +4

    Yan mtuy unatatizo lamaziw kutokutoka unaita watuy wamedia huu sii ujinga jaman mbon mitandao itatupeleka moton naujinga huu nenda hospitali huko naujinga wako

    • @AishaFerous-jp8oq
      @AishaFerous-jp8oq 5 днів тому +1

      Samahani lkn kwa mtazamo wangu au uyu mama azai so kakubaliana na mumewe apewe mimba msichana wakazi maosha yaendelee cbure bhana kuna kitu komejificha apo kwanza uyo dada age go.

  • @levinaringoma
    @levinaringoma 7 днів тому

    Am seeing red flags , may be you're sharing the husband 😂😂😂

  • @أمطارقالبحرية
    @أمطارقالبحرية 7 днів тому

    Atakuwa mtoto wake wa kunyonya
    Anatakiwa azidishiwe lish ebora

  • @speciozakaloli
    @speciozakaloli 4 дні тому

    Tuone baba yake

  • @azzahilal6578
    @azzahilal6578 6 днів тому

    Mkumbuke mtume wetu muhamad .alinyonya kwa bii.halima .

  • @wiliamateka5504
    @wiliamateka5504 7 днів тому

    Chunguza mzee

  • @MichaelMaro-hj7yo
    @MichaelMaro-hj7yo 7 днів тому

    DUNIA SHUHULI KWELI KWELI MAPYA

  • @AminaKibuga
    @AminaKibuga 3 дні тому

    Uogo mtupu

  • @AlinifaVwalema
    @AlinifaVwalema 7 днів тому +2

    Kkkkk