I agree with you 🤗, I got those holes both sides, And Niko na hizo sifa, Nilijua ni kawaida kua hivyo kumbe it's bcz of the holes ihave, Thañks for the Lesson 🙏🤗🤗🤗🤗🙏🙏
Waah this very true my daughter has it nayeye huongoza kila mahali shule kanisa ...pia akiwa katikati ya watu anaenda wamsikize nawafuate vile anataka and she is only 8yrs....Asante kwa jibu I thought ni ugonjwa
Asante sana ndugu aki huyo ni mimi umeongelea kila kitu,katika familia yetu tuko sita na mimi wa mwisho ila mimi ndo kila tegemeo yani maisha yangu ni mazuri mno ubarikiwe tabia zangu zote hizo 😳😊😊
Nina hilo tundu kwenye sikio and I can confirm with you that I have all the qualities you have mentioned, maybe kusoma ndio sikupenda sana but nilijaribu and am still trying
Yaan huyo ni mim na mwanangu pia ni wakiume ametembea na miez tisa na sasa miezi kumi na moja anasema maneno kadhaa kama vile asante na vinginevyo. asante sana kaka kwa ufafanuz
Mjukuu wangu ana tundu. Darasani huongoza. Darasani ni kiranja na mambo mengi huongoza . Ni binti lakini yuko juu hata kwa wavulana. Hupendwa na walimu hadi wanafunzi.
Yaaap, ni kweli kabisa hizo tabia ninazo ila kwa upande wa shule kulinishinda. Ila umesahau pia sisi wenye vitundu masikioni huwa tunakuwa na hisia kali ya jambo/ mambo yatarajiwayo baadae nadhani nimeeleweka.
Nikweli ninae ndani hapo kwenye hasira subiri nisikilize mengine hapa kwenye shule hapana kususa namba moja. Je watuvibonge hapo kwenye pesa kweli juzi kanambia anamiatano kumbeanaelfu nne mwisho zikapotea akaniuliza helayangu umeiyona bsinikamwambia wewe siumesema unamiatano tu kuomba msamaha wngu haombi ataufanyeje kwenye kusema mpakaleo avuruga
Wow! Yaani huu ufunuo wa characters zangu nimekubali💯 ivi nimepunguza mambo ya kususa coz nimekuwa mkubwa ila nilivyo kuwa mdogo nilikuwa ivyo sana🤣🤣, na hayo mengine ni sahihi kbs✔
Nafikiri kususa ni sababu ya frustrations kwa jinsi tunaelewa vitu haraka sana na mtu mwingine akichelewa kuelewa ina chosha kusubiri na hasa akipoteza uelewa ndio kabisa😡🤣
Eh kuna mtto wa dadangu hicho kitoto hakisikiiiiiii😂😂😂😂😂😂😂hasikiiiiiii jmni alafu ana hasiraaaaa uuuwi 😂😂😂😂kinapigana hicho ila nimuerevu sna vry bright mashaAllah❤
duuuh! nikweli kaka mi nimezaliwa na tundu sikio la kulia na nilikuwa mkolofi sana kipindi nipo mdogo yaani ugomvi wangu ulikuwa hauzimiki namshukuru Mungu kwa sasa ninaweza kuji contol na huwa sikubali kushindwa
SubhanaAllah! True yaani hizo sifa ninazo ila kwenye ubakhili niliacha nilimuomba Allah akiniepushia. Maana Allah hampendi bakhili.
hahahaha unadanganza
Wenye matundu tujuane hama like zenu
Apa
Ata mmi ninalo😹😹😹😹😹
mimi hapa
Tupo wengi
Tupo wengi
Mm nimmoja wapo Niko nazo kotekote thank you very so much my friend 🙏💯🇰🇪
Hata kwenye sehemu za siri....😂😂maana umesema kotekote.
Kama na ww unatundu sikion dondosha like yako hapa👂🏾
Mimi pia
Ninavyo tena masikio yote
Mm piah
Ata mimi pia
Veeery true.....niko na wawili....tabia za uongozi....kuzaidia wengine..wenye msimamo...
My son too, blessed to hear this🙏🙏🙏
Wenye mko na tundu 🔥 mpite n like
Thats my firstborn wow yuko kma ulivyosimulia hes short tempered and very helpful ana huruma sana 🥹i love him soo much
Wooow am one of them u're so correct
Pia ni watu wenye bahati sana na wakiamua wanatenda na niwatiifu thank you brother
Ni kweli kaka, Mwanangu pia ana matundu kwenye masikio na tabia nyingi ulizosema anazo kwa kweli anajiamini sana
Mimi nina matundu macikio yote mawili
Hata mwanangu analo alichoongea ndivo alivyo
Kama unatundu hiyo kamimi nipewe like
I agree with you 🤗, I got those holes both sides, And Niko na hizo sifa, Nilijua ni kawaida kua hivyo kumbe it's bcz of the holes ihave, Thañks for the Lesson 🙏🤗🤗🤗🤗🙏🙏
My daughter, truly she has all that qualities, thanks for research
uongoo
Jaman mwanang ana matundu masikio yote nikajua labda matatizo maan watu wanamshangaa Asante kwa kunielimisha 🙏🙏
Lkn Mimi sijui kuficha Siri nikona tundu sikioni lkn I have some qualities thanks bro God bless you umetufanya tukagundua mambo mengi
Umetisha mwanangu kila tabia ulio itaja ninayo ila darasani ilishindikana kabisa
Nom
Darasani kabugi. Mengine sawa kidogo. Hasa hasira na kususa yuko sawa na ubahili pia.
Broo yangu akii
Hahahahah
Hahaha yaan wew ndo mie kabisa
Waah this very true my daughter has it nayeye huongoza kila mahali shule kanisa ...pia akiwa katikati ya watu anaenda wamsikize nawafuate vile anataka and she is only 8yrs....Asante kwa jibu I thought ni ugonjwa
We jamaa Umeongeaa very Sirius congratulations 👏
Hapo kwanye hasira Sasa... Ukija kwenye msamaha .. huruma
Msimamiz ubahili daa tabia zote hujaniruka Asante mungu Kwa kunipa kitundu sikion
Na ni mwepes sana kukasirika pia ni mwepes sana kusamehe ase shukran kwa somo lako
Hapo kwenye Huruma kwa watu wengine,maamzi, msimamo, ni kweli kabisa, mimi Mungu alinipa sikioni na Muguuni 🙏🙏
Yaani umegonga ndipo, huyo ni Mimi kabisa bila dosari, hizo qualities Niko nazo zote 🙏
Apo kwa huruma I agree with you ata Mimi Nina tundu kwenye skio congratulations 👏👏👏👏 brother
Pia mimi sitaki kuona mtu ashinde na njaa sipendi mtoto apate shida
Mimi ndani
Same too wallah 🤝
😂😂 uyuu mimi kabisa daaah mi ninacho sikio la kulia ila shulee mmh kulinishinda kidogo ayo mengine ya kwel bhna🥰🥰
Mim tabia zote ulizo taja ninazo ila dalasan nilikua ziro
Mimi nilikuwa nafaulu mpk baba yngu anaitwa shule
Uliamua tu kuzembea Bhana !
@@modestaseverine4082hajjis irytyikppppp0j jjjjjjjjjjij
Tabia zote kweli ila darasan jmn mm uongo🙌🙃akili ya darasan nilikosa
Huo ni ukweli mtupu, hata mimi nina hilo tundu kwenye sikio langu na hizo qualities zote ninazo mimi, Asante kwa utafiti wako
Asante sana ndugu aki huyo ni mimi umeongelea kila kitu,katika familia yetu tuko sita na mimi wa mwisho ila mimi ndo kila tegemeo yani maisha yangu ni mazuri mno ubarikiwe tabia zangu zote hizo 😳😊😊
Amen amen amen...I'm among them...God Bless 🙏❤️
Nina hilo tundu kwenye sikio and I can confirm with you that I have all the qualities you have mentioned, maybe kusoma ndio sikupenda sana but nilijaribu and am still trying
Kweli Kabisa... Watu Wangu wenye Vitobo kwenye masikio gonga chias
Wah! Umenipata kabisa,, juu ata sai naongoza kikundi Fulani kwa kazi Ila Mimi bado Mimi Ni mdogo yaani Niko na miaka 22
Wenye matundu tujuwane halafu hakukoseya 🤝
Nipo
Amen and amen I’m amongst them thank you God 🙏🏾🙌🏻🙇🏿♀️❤️❤️
Yaan huyo ni mim na mwanangu pia ni wakiume ametembea na miez tisa na sasa miezi kumi na moja anasema maneno kadhaa kama vile asante na vinginevyo. asante sana kaka kwa ufafanuz
Ukweli mtupu ndugu niko na hilo tundu.. ulioongea yote niko nayo.. I thank God for that i'm fighting much for my family umenitia moyo
Baba mtoto wangu na mtoto wangu wote wanayo na sifa ulizozitaja zote wanazo Asante kwa kunielimisha
Daaa mzee baba kweli leo umeamua kunichana makavu live aisee
Mjukuu wangu ana tundu. Darasani huongoza. Darasani ni kiranja na mambo mengi huongoza . Ni binti lakini yuko juu hata kwa wavulana. Hupendwa na walimu hadi wanafunzi.
Maashallah na mimi mwanangu wa kwanza anacho hicho kitundu yaani hayo yote aliyoyasema yote perfect
very true my doughter ako na hasira, hupenda kususa, pia hupenda kufunza wakubwa wake and she's 3 years thank God
Wonderful massage I have known what I did not know
Kbs asanti sana atanamimi ninalo lakini sikujua tundu inamanisha nini nirikua nasikia masomo mbiyo mbiyo kumbe nirikua sijui mungu akubariki👌👌
Wanangu wakike nivilevile anafanikiwa. Na Mungu amfiche ❤🇨🇦
Ooh! this is my son, thank you for this
Yaaap, ni kweli kabisa hizo tabia ninazo ila kwa upande wa shule kulinishinda. Ila umesahau pia sisi wenye vitundu masikioni huwa tunakuwa na hisia kali ya jambo/ mambo yatarajiwayo baadae nadhani nimeeleweka.
Nikweli ninae ndani hapo kwenye hasira subiri nisikilize mengine hapa kwenye shule hapana kususa namba moja. Je watuvibonge hapo kwenye pesa kweli juzi kanambia anamiatano kumbeanaelfu nne mwisho zikapotea akaniuliza helayangu umeiyona bsinikamwambia wewe siumesema unamiatano tu kuomba msamaha wngu haombi ataufanyeje kwenye kusema mpakaleo avuruga
Real hata binti yang ,kijn Wang na Mume Wang wana vitund masikion wana hasira kwel na Tania zot hz
Mwanangu Yuko hivo
First..Kukoment ET💥💥💥💥
Alhamdullilah Allah amjalie mwanangu hizi tabia awe nazo maana anacho❤
Ni ukweli kabisa hasira Iko juu sana ni kiwa mmoja wao
tafuta nanma ya kuondoa hasira
My left ear iko na tundu, Namshukuru Mungu🙏
Asante Sana kwa huu utafiti honestly nipo hivo kwa kila kitu
Asante kwa maelezo mazuri,
Tabia ulizotaja ninazo, kila sikio ninalo tundu. Mungu akubariki utuletee utafiti mwingine.
Kaa ni kweli hizi Tabia, wacha nipee mungu shukurani kubwa na ninaimani
Yaan kama unanijua 😂😂😂😂tabia zote ninazo ila2 shule niligoma kbc nakukimbilia kaz🤣💯💯💯uko vzr bro
Brooh yan ni mimi kabsaa yan cjui umejuaje yan namatundu masikio yote yote ulio ongea ni kweli
Oh my daughter has on both ears, I agree with you, thanks
Waaah I en my Dota aki ni ukweli
Yaan true kabsaa me nnavyo vitatu nje viwil na ndan kimoja tabia zooote izo nnazo kususa sasa ni chap
Najiamin, Nina hasira nikikosewa, Nina huruma, nasamehe kwa muda mfupi yh I think Nina vyote alivyosema 🙏🏽🙏🏽 nitafocus kweny Mambo yangu
Mwanangu yupo ivo ahsante Sana kwa elimu
Hasiri Kali ,Ila baada ya mda mfupi anasamehe, huyo ni mimi
Mimi mtupu Deb
Kweli kabisa
Ukweli
Nakupa mauwa yoko baba umeweza ndivyo nilivyo mimi wallah
Wow! Yaani huu ufunuo wa characters zangu nimekubali💯 ivi nimepunguza mambo ya kususa coz nimekuwa mkubwa ila nilivyo kuwa mdogo nilikuwa ivyo sana🤣🤣, na hayo mengine ni sahihi kbs✔
Nafikiri kususa ni sababu ya frustrations kwa jinsi tunaelewa vitu haraka sana na mtu mwingine akichelewa kuelewa ina chosha kusubiri na hasa akipoteza uelewa ndio kabisa😡🤣
Actually this is purely true and l encourage u to-do more even in different field of research 💕
Mtoto wangu huyo umetaja kila kitu🙏❣
Broo huo ni ukweli kabisaa hata mwanangu ana tabia zote ulizotaja hapo
Nikweli kabisa mwanangu anatabia zote ulizozitaja kaka we nimkweli
Mm nina matundu masikio yote mawili na kila ahsantee sana kwa somo nzuri
Nakubaliana nawe sana, I've my daughter she is 2yrs but yuko na hasira na hupenda kususa sana
My son, my gift 🎁, Sema yeye sasaa kitundu chake kiko pembeni
Mimi kabisaa umenichota kila tabia hapo.. Yaani Nina hasira km simba mwenye njaa Kali hahaa..!! Mungu mjuzi na kazi zake hazifikiriki!
Daaa! Truely research I like that also me I'm among of them 👍🏿👍🏿
Hapo Nakubali kwa maelezo yako me pia nkona hizo tabia
I agree with you 100%.That's where I am 🫢🫢I salute you bro Thanks 🫡🫡🫡
Very true Nina tundu kwenye sikio zote mbili
Mtt wng ana tundu izi tabia anazo hongera sana
I Agree with you my Daughter and young brother wako nazo na wako na izo characters 💯💯💯
Subhallah huo utafitini wa kweli sifa hizi nimeziona
Swadaktaa ata mmi ninayo
True my daughter Natasha is too emotional na she keeps everything to herself but ni very brighter na chicky
Mwanangu anavyo masikio yote mawili ni balaa namuombea mwanangu mungu amuongoze kwenye elimu aje awe kiongozi
100 % nakubaliana nawe ,nimeona karibu signs hizo zote Kwa msichana wangu ,hasira na huruma na kujua mambo mengi kuliko wale wa rika lake
Nipo full asante mungu
Nashukuru kwa kunijuza tabia za mwanangu atakapokua... Maana nilikuwa nashangaa tundu alilokuwa nalo ni LA nn ila nimejua... Nashukuru
Kweli kabisa ndugu mm Nina mpenzi wa aina hiyo na anasifa ulizo zitaja ubarikiwe.
Hahaa..kweli kabisa mm nnayo sikio Moja
Ni kweli hata mwanangu Godfrey ana
Akili nyingi sana,vyote ulivyosema ni kweli.
AMEN 🙏🙌 am among them
Namm nipo aNatundu zote mbili Alafu izo xifa zote nipo nazo thank you ninejuwa nature yangu
I thank God for my sister and my daughter
Thenx for the information
ni kweli kabisa ni my first born I love him so so much
Eh kuna mtto wa dadangu hicho kitoto hakisikiiiiiii😂😂😂😂😂😂😂hasikiiiiiii jmni alafu ana hasiraaaaa uuuwi 😂😂😂😂kinapigana hicho ila nimuerevu sna vry bright mashaAllah❤
Hapo umenena ukweli kabisa mie niko nayo , nako hivyo hivyo ulivyo sema keep it up.
Ni ukweli wako na hasira ni ngumu sana kusamee be blessed kwa mafunzo mazuri 🙏
Ni mim kabisa yaan uwi🙈 kama hakakosea kakaaa dondosha likes apo
duuuh! nikweli kaka mi nimezaliwa na tundu sikio la kulia na nilikuwa mkolofi sana kipindi nipo mdogo yaani ugomvi wangu ulikuwa hauzimiki namshukuru Mungu kwa sasa ninaweza kuji contol na huwa sikubali kushindwa
Jamani mwanangu huyo M/ Mungu ambariki endelee hivyo hivyo .
better late than never..kumbe tulifikiwa,✌
Ninae upande wa kushoto 👊👊
Waoooo good bless you
You are exactly talking about my daughters.. thanks for this piece.
Atabmm ni moja wao sikio moja lina vitundu viwili
Daaaahh uyo ni mimi kabisa yani ddddaaaahhhh 😀😀 kamata sofa kisha jifiche usije ukaombwa ndugu
Mwenye tundu kama mie weka like hapa
Mm ninayo na nko nauruma na nko na hasira sana
Nikwel kbc jamn Mungu anatupenda
Sanaaa
Adorable that my daughter 🙏🏿🙏🏿
Wow pia mimi nina tundu❤😂😊
Kweli mm n Moja wapo
Haaaa ni kweli tupu kaka mm sifa zote ninazo
Kwanza najiamini ninachosema na kusikilizwa na wakubwa na pia ni mtu wa kutatua shida za mwezangu mara moja
Hahaaaa na vile naamiliwa kwenye kikundi ni mshika Hazina wa siku nyengi najivunia kwa hili
Namshukuru mungu kwa hili niko powa
Namshukuru mungu kwa hili niko powa