SIMBA DAY 2022 | Balaa la Zuchu akiingia kupiga show kwenye Simba Day

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024
  • #SimbaDay2022 | Sehemu ya onesho la vijana wa halaiki wakiandika neno “Miaka 14 ya Simba Day”
    Iko #LIVE #AzamSports1HD
    #SimbaDay2022 #SimbaWeek2022 #Unstoppable #WikiYaSimba2022 #SimbaSC #SimbaSCVsStGeorgeSC #Simba #StGeorge

КОМЕНТАРІ • 209

  • @rosemahenge9071
    @rosemahenge9071 2 роки тому +35

    Wasafi hawanaga dogo ukiwapa pesa yako wanaitendea haki 🔥🔥🔥

  • @happygeorge8200
    @happygeorge8200 2 роки тому +19

    Simba mtakuja mnitoe roho jamani♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️

  • @venitarugemalila9290
    @venitarugemalila9290 2 роки тому +9

    Hapo ni zuuuuuchuuu je ingekuja Diamond tungekesha hadi asubuhi hadi tarehe 9/8/22

    • @ramadhanmohamed1712
      @ramadhanmohamed1712 2 роки тому

      🤣 nafurah tu kuwa wew ni mshabiki wa Simba pia kimziki upo WCB 4life❤️❤️❤️

  • @isayamnyimwa1411
    @isayamnyimwa1411 2 роки тому +2

    Sisi tunawafundisha mulipo kosea yanga alifanya konde boy sawa Ila si alianguka au mumesahau? Sasa sisi kwadharau amefanya mwanamke😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

    • @samybrown1670
      @samybrown1670 2 роки тому

      Pole alikua ashashuka chini washamba nyie

  • @dicksononlinetv525
    @dicksononlinetv525 2 роки тому

    tanzama mgoli wa kibu dens na goli la pili hapa 👇🦁
    ua-cam.com/video/-lN77t6zA0M/v-deo.html

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 2 роки тому +1

    Eti Manara alikuwa anasema yeye ndie aliyekuwa anasababisha uwanja ujae,,,,,,,,,!!!!!

  • @tamrunaharuna4739
    @tamrunaharuna4739 2 роки тому +3

    Wasafi kwa kuiga IGA mko vizur 😂😂😂

  • @amirikoshuma6022
    @amirikoshuma6022 2 роки тому +7

    Huyu zuchu🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 the best love

  • @jumanichanicha1599
    @jumanichanicha1599 2 роки тому +6

    😂😂😂😂 nimecheka sanaaa zuchu kushuka na kamba kama konde boy wa yangaa ha ha ha endeleeni kuiga sisi ndiyo wana nchi💯

    • @lailaoman3856
      @lailaoman3856 2 роки тому

      💛💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚tupoooooooooooo,awana maajabu

    • @zenamkwepu4095
      @zenamkwepu4095 2 роки тому +1

      Wamezoea kuiga hao hawana kpya

    • @samybrown1670
      @samybrown1670 2 роки тому

      Umeeona ehee

    • @UlimeA
      @UlimeA 2 роки тому

      14-4 = 10 vzur vinajulikana wap vinaanzia

  • @Ikunji56
    @Ikunji56 2 роки тому +3

    Kwa Afrika mashariki na kati,
    Wanalo la kujifunza kutoka kwa simba na yanga,
    Vile wanafanya mambo yao,
    Lakini wakisikia timu zenyewe hazina grounds za kueleweka.
    Hapo ndo wanachoka

  • @winnyotuoma1899
    @winnyotuoma1899 2 роки тому +1

    Kamuiga harmonize

  • @kakorejrboyz6447
    @kakorejrboyz6447 2 роки тому +2

    Wasafi ukituma Kazi tunafanya mpaka tunazidisha. Yani kama DEMU unafanya mpaka ujauzito nan anaweza😂😂😂iga u fir is Ike no

  • @mnyamatv505
    @mnyamatv505 2 роки тому

    ALICHOKISEMA IRENE UWOYA BAADA YA VIDEO CHAFU ua-cam.com/video/3Ut_msM1Lgk/v-deo.html

  • @nsamymidabo4499
    @nsamymidabo4499 2 роки тому +7

    hatunaga jambo dogo sisi❤❤❤❤

  • @irakozemwajei2549
    @irakozemwajei2549 2 роки тому +3

    Mpaka nimelia wcb wanajua kubrand

  • @meckywadyatv.9016
    @meckywadyatv.9016 2 роки тому +3

    The first comment..but me ni mwananchi💚💛💚💛..

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 2 роки тому +3

    🥴🥴🥴Kweli huu mwaka wa konde gang

  • @zulfaungele3484
    @zulfaungele3484 2 роки тому

    Tunachoangalia nan kafanya?? Na sio nan alifanya, we don't care on that,, sisi kafanya mtoto wa kike, kitoto kidogoo chenye mvuto wakee, kitoto chenye ujasiri wa pekee wa kupanda na kushuka like a 🕊️ dove no one be like Zuchu kweny shoow..

  • @kakorejrboyz6447
    @kakorejrboyz6447 2 роки тому +2

    Kama watu waligombania mchezaji Waka shindwa kwenda #PRESEASON Je wakiiga HII SIWANAFIRIAIKA KABISA😂😂😂😂

  • @rehemazinga8167
    @rehemazinga8167 2 роки тому +4

    Jaman wanasimba kwa utoporo huh bodo hTA hamjanishawish style ya msanii wenu kushuka na lamb ndo mmeniongezea % za kuipenda tanga ingawa ilipoteza 🤗🤗🤗🤗 big up young Africa 4fever😍😍😍😍😍

  • @happylove3823
    @happylove3823 2 роки тому +3

    Oh my gosh u guys are loved💕

  • @matanohamisimwijaka3686
    @matanohamisimwijaka3686 2 роки тому

    Weee usifananishe na konde zuchu unabembea konde alishuka kijeshi iga ufee

  • @godfreykenani7838
    @godfreykenani7838 2 роки тому +2

    Tumesubir kwa mda mrefu ukubal mmakonde fire

  • @gracegalus1027
    @gracegalus1027 2 роки тому +2

    amekopi hamna jipya hapo🤣🤣

  • @aminarashidi1621
    @aminarashidi1621 2 роки тому +7

    Duuu kweli simba imevunja lekodi ❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @rashidimkumbeni5430
    @rashidimkumbeni5430 2 роки тому

    Ye sio wakwaz kufanya ivo kuna watu wamesha fanyaga uko nyuma akuna cha ajabu

  • @mbwanarajab4756
    @mbwanarajab4756 2 роки тому +1

    Nimeamn asilimia 78 hapa nchini ni washabiki wa Simba sc

  • @janetdaniely7945
    @janetdaniely7945 2 роки тому +1

    Penda San my Tz nawatu wake pie Simba oyeee🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🇹🇿🇹🇿🥰🥰🥰🥰🥰

  • @hamidayanga8224
    @hamidayanga8224 2 роки тому +2

    Kamuiga konde boy mwaka juzi🤣🤣

    • @francissamson8028
      @francissamson8028 2 роки тому +2

      Kafanya zaidi ya konde

    • @kakorejrboyz6447
      @kakorejrboyz6447 2 роки тому +2

      ILA yeye hajadondoka😂😂😂👀

    • @samybrown1670
      @samybrown1670 2 роки тому

      Umeona ehee bado wamuige nandy waingie na boksi na zuchu yanga wanamfos tuu simba

    • @ramayonline2281
      @ramayonline2281 2 роки тому

      Mla panya kaja kuelekezwa namna ya kushuka na mtoto wa kike(Zuchu), yey alidondoka kama gunia la mchele😂😂😂

  • @japhetlinus3891
    @japhetlinus3891 2 роки тому +1

    Abarikiwe Kondeboy Jeshi..Mana bila Yeye leo tusingeona marudio ya kipindi

    • @immtm4930
      @immtm4930 2 роки тому

      konde anafundishwa namna ya kushuka ndugu...

  • @laubboniphassimama2935
    @laubboniphassimama2935 2 роки тому +4

    Hakika Simba tunawenza💪💪💪💪

    • @samybrown1670
      @samybrown1670 2 роки тому

      Acheni kuiga

    • @atupelemsyani7411
      @atupelemsyani7411 2 роки тому

      @@samybrown1670 mbona nyie mmeiga siku ya mwananchi Mara ya kwanza mlikuwa mmelala utopolo nyie

  • @francissamson8028
    @francissamson8028 2 роки тому +4

    Zuuuuuchuuuuuu umefunika mbaaaaaaa

  • @galachagalacha1808
    @galachagalacha1808 2 роки тому +4

    Simba nguvu moja hatali sana

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 2 роки тому

    Duu uyu mtt ndo akifanya ivi jmn kaa uyu simba jmn jike

  • @velejilyomhongole1641
    @velejilyomhongole1641 2 роки тому +1

    Huyo mtu kafumwa utafikiri Tenga la nyanya🤣🤣🤣

  • @venitarugemalila9290
    @venitarugemalila9290 2 роки тому +2

    Wahaya hatukosi namsikia Rwemamu hiii simbaaaaa lazima iwe juuu

  • @rashidsuleiman1531
    @rashidsuleiman1531 2 роки тому

    harmo kashindwa na zuchu kuingia km commando

  • @salumjrsaidjr7150
    @salumjrsaidjr7150 2 роки тому

    Vp Rajabu alianguka halafu anajiita jeshi!

  • @mdsaid1527
    @mdsaid1527 2 роки тому +3

    Weweeeeeeeee simbaaaaa weeeeeeee

  • @msambaawisetz5990
    @msambaawisetz5990 2 роки тому

    wazee wa kuiga mpooooooooooooooooooo
    copies and pastee

  • @johntee7016
    @johntee7016 2 роки тому +2

    Idea ya Konde boy for everybody sasa mshacopy yaani hamna jipyaa🤣🤣🤣

    • @mohammadoman8963
      @mohammadoman8963 2 роки тому

      Dunia nzima mbona kamba washuka naye pia si kaiga ovyo

    • @bonnymwasekaga9617
      @bonnymwasekaga9617 2 роки тому

      Konde hii kidogo imuue ilimshinda

    • @enzoon5796
      @enzoon5796 2 роки тому

      Afu alianguka konde 😂😂kwaiyo kaferi zuchu katoboa

    • @johntee7016
      @johntee7016 2 роки тому

      @@mohammadoman8963 no matter alishuka ovyo ama vyema Konde katisha Tena sana kwahio ukweli nausemwe zuhurq kacopy Kwa mjeshii mbona asikete style yake basi?

    • @johntee7016
      @johntee7016 2 роки тому

      @@enzoon5796 hamtaki kuambiwa msanii wenu kacopy shida mnaanza kumtetea SI nimeona izo drums zikipigwa kama raisi SI angeingia ma style yake ila kaboa alivyomuiga jeshi 😂😂😂 kubali ukatae jeshi mtu harari sana

  • @zarafikazumari2071
    @zarafikazumari2071 2 роки тому +1

    hamonaizi iyo mumekopi jangwani

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 2 роки тому +4

    Simba hiyoooooo ❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @shokashara1511
    @shokashara1511 2 роки тому

    Na motoni mutaingia hvyo hvyo munavyoingia

  • @norbizzyofficial3863
    @norbizzyofficial3863 2 роки тому +2

    Kweli konde mwalimu mpaka watoto wanaiga daaa

  • @biggievandar254
    @biggievandar254 2 роки тому +2

    Sasa Waenda imba sukari

  • @christopherhilary9453
    @christopherhilary9453 2 роки тому

    Simba uangu hapa kwenye picha ya zuchu hapana cjapapenda, wale wadada wakati wanaingia wangeingia na picha ya full kikosi cha timu sio yeye coz kikubwa cha i ho kilele ni timu ya simba co zuchu, yeye tunamjua na kaalikwa kutoa burudani tu sio kujitangaza siku nyingine kuweni makini hawa wajanja wajanja sana usafini

  • @sirsebaonline9106
    @sirsebaonline9106 2 роки тому

    Anaesema kuiga mshamba. Huyo mmakonde wenu si aliiga akadondoka zuchu kamanda hta hajaanguka

  • @johnsonkibadeni5053
    @johnsonkibadeni5053 2 роки тому

    Haya sasa matamasha na preseasons tushamaliza tuanze ile michezo ya kuchuma points hapo ndipo tutajua mbivu na mbichi

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 2 роки тому +1

    Mmeingia Kama harmonize 😀😀😀😀🤸🏼‍♀️🤸🏼‍♀️🤸🏼‍♀️

    • @ramayonline2281
      @ramayonline2281 2 роки тому

      Zuchu amekuja kumuelekeza mla panya namna ya kushuka kibabe, yey si alidondoka...???😂😂😂

    • @chrispinmkanda6097
      @chrispinmkanda6097 2 роки тому

      Tofauti ipo bingwa njomba nchumali alipiga chin huyu huyu kashuka taratibu bila kupiga chin🤣🤣🤣🤣

    • @salamasaidi6620
      @salamasaidi6620 2 роки тому

      Na nyie yanga mmeanza tamasha baada ya simba kuanzisha

    • @ramayonline2281
      @ramayonline2281 2 роки тому

      @@chrispinmkanda6097 alafu ameshuka kama soldier yaaan bila papara wala nini huku akitabasamu na kuwapa mashabiki vibes

    • @msambaawisetz5990
      @msambaawisetz5990 2 роки тому

      no new

  • @daudkhatib4678
    @daudkhatib4678 2 роки тому

    Unamkejeli. Binaadamu. Unamwita. Tikiti. Maji?? Ujuwe. Tuu. Hujafa. Hujesha. Kuumbwaa

  • @mpawenayoemmeline8522
    @mpawenayoemmeline8522 2 роки тому

    ❤️❤️❤️❤️❤️💪💪💪💪💪💪💪 zuchu zuchu zuchu 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌👌👌👌👌👌👌🙌🙌🙌🙌🙌💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪 zuchu zuchu zuchu kiboko yao 👏👏👏🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 simba simba simba kiboko yao

  • @godfreylutengano9367
    @godfreylutengano9367 2 роки тому +1

    Mtaiga sana

  • @netobatista1381
    @netobatista1381 2 роки тому

    Saivi mta-copy mpka kufeliii.....kuweni wabunifu bhana afu kwetu na dini yetu mwanamke hapandipandi juu ovyo...mtakula tu chakula msichokipenda mwaka huuu

  • @patrickymkoma3558
    @patrickymkoma3558 2 роки тому +1

    Tumefunika Ile mbaya

  • @erickabel6201
    @erickabel6201 2 роки тому +4

    No bud atakae Pinga hii show ni Zaidi ya hatariii 💉🤞🔥🇹🇿

  • @hamidangitu227
    @hamidangitu227 2 роки тому +1

    Simba day imefana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤💜💜💜💜💜💜💜💜💚💚💚💚💚💚💚💚❤💪💪💪💪💪🦁

  • @billgatejuniour8797
    @billgatejuniour8797 2 роки тому

    Konde boy alidondoka mke wa mondi anashuka Kwa madaha,,,levels

  • @vinayagamsefu4596
    @vinayagamsefu4596 2 роки тому +1

    Mbona kama harmo yanga 😅

  • @chekomhehe7473
    @chekomhehe7473 2 роки тому +1

    Mmeigiliziaaa hakuna jipyaaa

  • @barackmoses7003
    @barackmoses7003 2 роки тому +3

    Wonderfull

  • @venitarugemalila9290
    @venitarugemalila9290 2 роки тому +1

    Hawaweziiiiiiii tunawabusu tuu utopolooooooooo

  • @issack4091
    @issack4091 2 роки тому

    Utakuja ufe Kuna wewe

  • @wilsonkimaro6375
    @wilsonkimaro6375 2 роки тому

    Wale wabusu mapaja yawanaume wenzao mko wapi muone kitu la nguvu hapa

  • @malumamalz1461
    @malumamalz1461 2 роки тому

    Konde gang tulishaingia nayo hii style miaka ya zamani 😂😂

  • @magechuwa804
    @magechuwa804 2 роки тому

    Kama mganga kienyeji

  • @blodthobard5179
    @blodthobard5179 2 роки тому +1

    Simba noma one love by blod theobald

  • @selmesaid7405
    @selmesaid7405 2 роки тому

    Mhh atari na yoote

  • @hajrasaid1533
    @hajrasaid1533 2 роки тому +2

    Simba mtoto😁❤️💕

  • @janethjerald1737
    @janethjerald1737 2 роки тому +1

    Zuchu nakupendaaa umetupa Raha ktk siku yetu

  • @daudkhatib4678
    @daudkhatib4678 2 роки тому

    Mbona. Hawa. Polis. Wanajiingiza. Kwenye. Sherhe. Inakuwaje. Hapoo

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 2 роки тому

      Hiyo ni band , wakati Fulani inakodiwa Kwa wenye shughuli,,,

  • @tumasaid6538
    @tumasaid6538 2 роки тому +2

    Pambe pambe pambe na tena👌❤️❤️❤️❤️

  • @izackhongoli4395
    @izackhongoli4395 2 роки тому

    nomazi ngi

  • @yunusimdoeyunusimdoe1192
    @yunusimdoeyunusimdoe1192 2 роки тому

    Safi

  • @rosejoely4518
    @rosejoely4518 2 роки тому +2

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯💯💯

  • @mwajumarashidi1717
    @mwajumarashidi1717 2 роки тому +3

    Simbaaaa❤️❤️❤️❤️

  • @isakatoronto8426
    @isakatoronto8426 2 роки тому +2

    sisi ndio wenye nchi

  • @allinguwata1705
    @allinguwata1705 2 роки тому

    Farmenej

  • @zaituneadremaneadremane5698
    @zaituneadremaneadremane5698 2 роки тому

    zuuuu

  • @ahmadichina4524
    @ahmadichina4524 2 роки тому

    Hii ni tofauti kati ya Waanzilishi wa hili tamasha na wale wengine

  • @aloycemathew8191
    @aloycemathew8191 2 роки тому +2

    Niceeeea

  • @andrewraphael3098
    @andrewraphael3098 Рік тому +1

    💥💥

  • @babanahbabanah4004
    @babanahbabanah4004 2 роки тому

    Kwan apo no marehemu anaingia uwanjani hahaaa byuti byuti

  • @lupolamkomwa8478
    @lupolamkomwa8478 2 роки тому

    Hakuna jipyaaaa! Ameiga kutoka kwa Konde boy

  • @annearingo4857
    @annearingo4857 2 роки тому

    Daa zuuu hakuna mwanamke anakueza uwongo wao

  • @furahabombwe4859
    @furahabombwe4859 2 роки тому

    Mtaniua Simba jinsi ninavyoipenda daaaaa hatariiiii

  • @eliasbmbushi4490
    @eliasbmbushi4490 2 роки тому

    Xaf xan 🙏🤝💯💝 we are unstoppable 🚴🚴🚴🚴

  • @mariasheshe6310
    @mariasheshe6310 2 роки тому

    Tom

  • @elishaelisha6755
    @elishaelisha6755 2 роки тому

    Wcb

  • @ReginaJackson-y4i
    @ReginaJackson-y4i 2 місяці тому

    655

  • @aishasangali4880
    @aishasangali4880 2 роки тому

    wanaosema simba wameiga hii kawaida mbona yanga juzi waliiga kila kitu cha simba cha msimu ulopita?

  • @deogratiusvenance9663
    @deogratiusvenance9663 2 роки тому

    Harmonize kadhidiwa na mtto wa kike

  • @juliusjchizenga
    @juliusjchizenga 2 роки тому

    ua-cam.com/video/1yhy05OkGDQ/v-deo.html
    Baikoko miuno miguu juu

  • @hassaniswetti6243
    @hassaniswetti6243 2 роки тому

    Kwa hyo huyo Chu chu ndo raisi wenu?

  • @shakila1410
    @shakila1410 Рік тому

    Simba ni timu hatar naipenda Simba yang

  • @estermassawe1687
    @estermassawe1687 2 роки тому

    Kweli siku ya kitaifa imepita siku ya uhuru

  • @MayungaSemakwel
    @MayungaSemakwel Місяць тому

    Daah,Simba wametisha

  • @athmaniidd437
    @athmaniidd437 2 роки тому +1

    💯💯💯

  • @rahabyjoseph3373
    @rahabyjoseph3373 2 роки тому +2

    Ahhh stile ya harmo

  • @georginajohn8456
    @georginajohn8456 2 роки тому +1

    Waoooo Big Lion💪💪