NGUVU DHIDI YA ROHO ZA MAJI PRT 2

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 лют 2025
  • Gospel Teachings for soul winning Purpose.

КОМЕНТАРІ • 23

  • @GraceNyakoa-uv8nc
    @GraceNyakoa-uv8nc 3 місяці тому +1

    Nakushuru sana pastor.umenifunza.mengi.ubarikiwe sana

  • @Maua-y2c
    @Maua-y2c Рік тому +4

    Nabarikiwa sana na mafundisho yko pastor,..God bless you,🙏

  • @DAVIDIEMANUEL-s5g
    @DAVIDIEMANUEL-s5g 4 місяці тому +1

    duu ama kwel watu.wa mwanza wepatachungaji

  • @barakabigambo8487
    @barakabigambo8487 4 місяці тому

    Asante sana pastor mungu akubariki.nimejifunza mambo nisio yajua kupitia mafundisho yako.barkiwa sana

  • @Anifanusura
    @Anifanusura 4 місяці тому

    Mtumishi wa Mungu Mungu aliye hai akubariki sana na azidi kuinua huduma yako mimi niko Dar lakini nafuatilia mafundisho yako yananiponya sana tena sana somo hili la uchungu nimepona.

  • @EllyMasam
    @EllyMasam 3 місяці тому

    Mungu akubariki kwa huduma yako njema

  • @Mariaeboso
    @Mariaeboso 5 місяців тому

    An eye opener,, asante pastor kwa haya mafundisho

  • @Maua-y2c
    @Maua-y2c 2 роки тому

    Asante pastor nimebarikiwa sana 🙏

  • @GraceNyakoa-uv8nc
    @GraceNyakoa-uv8nc 3 місяці тому

    Amina pastor

  • @bivictoriangina1208
    @bivictoriangina1208 Рік тому

    Very powerful Man of God

  • @GraceNyakoa-uv8nc
    @GraceNyakoa-uv8nc 3 місяці тому

    Amina

  • @kissamwamunyange1018
    @kissamwamunyange1018 Рік тому +1

    Huyu mtumishi🙌🙌🙌🙌❤️❤️❤️❤️😭😭🙏

  • @Marie-AnneSenge
    @Marie-AnneSenge 3 місяці тому

    mafundisho haya ni mapya kwangu kabisa, nafunguka macho n'a akili

  • @janekuloba7856
    @janekuloba7856 4 роки тому

    Ahsante mungu anakila sababu ya mimi kusikiza haya maubiri nimebarikiwa nimejifunza mengi

    • @samuelbahati7976
      @samuelbahati7976 2 роки тому

      Amen mtumishi waMungu Mungu akubariki sana mtumishi waMungu.

    • @samuelbahati7976
      @samuelbahati7976 2 роки тому

      Nakuomba number yako samahani nimeota nikonatafuta chumba

    • @samuelbahati7976
      @samuelbahati7976 2 роки тому

      Nikajikuta juu ya mlima kwenye jiwe kubwa likiwa na jingine juu likatikisika lakini hapo juu. Nikataka niende choo jiwe lile kukawa baada ya Chookuna ufa ili nijisaidiye usingizi ukaishia hapo hii Nini mtumishi?

  • @odhiaodhia9898
    @odhiaodhia9898 3 роки тому +1

    IQ kubwa

  • @fulgencenayingo8919
    @fulgencenayingo8919 Рік тому

    Ameeeeen

  • @CatherineMakokha-dg6ws
    @CatherineMakokha-dg6ws 7 місяців тому

    Amen 🙏🙏

  • @salomejabarikalenga886
    @salomejabarikalenga886 6 місяців тому

    Jeshi la Maji ni Navy

  • @fredrickmikera5998
    @fredrickmikera5998 3 роки тому +3

    Mtumishi namba mmetoa ila simu nikipiga kwa ajili ya msaada huwa sipati hvy basi ningependa kuwaomba mtusaidie ktk hilo

  • @cnm2976
    @cnm2976 2 роки тому

    Part 3 iko wapi please