Vile watu walisema badilishia mamako maisha ukasema umepitia hizo comment zote na ukasema utamujengea pia pitieni hizo comment tumesema uvaee vizuri ndio hueshimike otherwise mungu apendezwi na kujisitiri kwako
Ako kwake lkn aelewe heshima ni mhimu pia watu watamheshimu wewe unaeza vaa hivi baba mkwe akiwepo acha kumpoteza hivi ndio mnachangia bavyaa zetu wanatutongoza na unaenda kulala na yeye juu ya kukosa adabu
Si nadhan juzi ulikua kwa nyumba mpya tena ukaenda kwa ingine tena sai uko kwa ingine waaa si mnitumie ata 10k please si kwa ubaya ninunulia watu wenye hawajiezi food juu mnachange nyumba kila siku waa mungu si anione pia mim aki😢
Kila kitu hapa ni kwwy Brighton mbona mdanganye watu kwa camera behind the camera your together hizi ni content najua hamtaniamini but mtakuja kuniclapia
Aky hawa watu kwani Aggie ulirudi kubeba kila kitu kwa Brighton 😂😂😂coz kila kitu hapo sitting ni yenye ilikuwa tu kwa nyumba yako na mverify wako, kweli mshenee haipendi uzembe
Sitting room Iko smart,, bt siujifuze kufaa nguo ziko na adabu uache kuonyesha mwili yako,, naona ulitoka age ya ma sly queen, wwe ni mama Sasa,, na vyenye unafalishanga mtoto vizuri bt side yako.....😮😮😮😮😮
Angie na hiyo wembamba yote bado unaanika mifupa yako inje,sasa ukijipata na figure km vera,amber ama trisha si uta shoot video ukiwa uchi,msichana change your dressing code you resemble a scarecrow.
Mimi nikipata hii yote it's about cloud chasing not only subscribe,i will not even watch ur vedios a single day.endelea kutubeba ufala but this will come to end
Juzi umeingia sijui bedsitter hata hujamaliza month ushaamia hapo aaih hii ni kubebwa wanna bana kufake tu life na kupea watu mapressure ndio maana mnarogwa😅😅😅😅😅😅
Si wanataka watu wa kuchanga sai kila kitu tunaonyeshwa ni za nyumba walikuwa na Briton we sai kwa hyo nyumba Kuna kitu ilikuwa kwa bedsitter ameonyeshana hapo
Wenye hana kitu utawaona tu kwa comment wakiongea ooh umekonda ooh uko na mdomo kuna mifupa yenu ilipotea na midomo mkasikia iko kwa angie ukiona mwezako amefanikiwa wacha wivu ndio pia wewe ubarikiwe

True hii si heshima kabisa
Yaani you're proud kusema mmeachana just to make your fans happy? Weuh kukuwa celeb c rahisi
Imgn ndo manaa ako hivi utoto mingus na vitu ni za bwna si zake😂
Bdo wanaclout chase ndo apate subscribers soon utaona we are back together hizi vipindi tumeona wengi wakifanya
Hii kipindi inaisha lini ,,,season 7 episode 3
Umetubeba ufala sana mcheeew io ni utoto
Huyu dem alidropia class ....juu akona utoto mingi na village mentality
Volumes ngoma nyingi
😂😂😂khai anakaa tu
😂😂😂😂😂
😂,😂,,asking the same question ⁉️
Angie mamaa vaa vile unataka uko kwako. As long as uko you're okay with who cares. Go on and be blessed more and more
Ako kwake lkn aelewe heshima ni mhimu pia watu watamheshimu wewe unaeza vaa hivi baba mkwe akiwepo acha kumpoteza hivi ndio mnachangia bavyaa zetu wanatutongoza na unaenda kulala na yeye juu ya kukosa adabu
Watu mko na wivu pooooh sa kuvaa Kwa uyu dem inawaumaa nni her dress her choice I see nothing bad na mavazi yake Angie keep winning girl❤
Yaani hio kulia yote na kujimwagia makamasi ilikuwa vipindi😂😂😂na uvae vizuri ufiche hizo mifupa
😂😂😂😂😂 elewa ni views
😂😂😂😂😂😂😂😂
Kaa Kuni 😂
😂😂😂🤭🤭
Sitting room iko poa but uvae vizur umekonda sana sisi kama mafans wako tunasema uvae poa
😂😂😂😂😂,, amebaki bone
@user-yy8pv4bc9v 😂😂😅
Aaah 😂
@@Nicah_verah mifupa mikavu 😂😂😂
@@user-yy8pv4bc9v 😂😂😂😂 utanimaliza
Ako pamoja na pl wanatuchezea tu
The chairs looks like Britons chairs,,,you guys are together 🙏
You ve so much funs but u cant here them waaah nakutucheza anyway nisawa Nipitienii team Agie
Angie anaonanga watu wakiwa washamba sana lazima aulize watu kama wanajua hiyo kitu
Vaaa vzr mama iyo sio nguo unafaa iyo nguo uvae umuonyeshe bwanako but sio sisi
True anajidhalilisha
Ona please Angie toa tu nguo utembee bure 🤗🤗🤗its allowed 😊😊 you are married hata kama its your choice but hakuna UA-camr nimeona kama wewe
Happy for you,when you fall,you stand up,shake off and move on
Aki Agie unaomba muachane n your husband,aki ww n mko pamoja,,end this movie please n mkae poa
Vaa nguo vizuri
Kabisa anani boo
Congratulations 🎊 nyumba inaka so amazing 👏 🤩
Weeeh
Ile maombi tulikuombea aky,
Wee unatuchezea sanaa,
Anyway your house is beautiful
Team Aggy let grow together 🎉🎉🎉nipitie nikupitie❤❤
Done nipitie pia gal
Done nipitie
Nipitieni pia
Done nipitie pia
@@leahndungu3060done
Hahahaha! Me nacheka hiyo video ya kwenye tv tu, watu wawili wagombanapo kaa kimya tu usiingilie coz utaaibika
Izi nguo unavaanga SI mzuri vaa kigeshima
C uvae vizuri ufiche mifupa
😂😂😂😂
Team aggy nipitieni kindly kwa GEE MWESH tugrow pamoja aki am requesting
Nipitie
Nipitie
@@FaithMukami-gg6kt done at number 2,,pitia pia
Done nipitie pia
@@FaithMukami-gg6ktdone nipitie pia
Nipitie nikupitie team Angie let's go
Huyu hii part ndio hujifanya haonagi
Done nipitie pia
@@keziahnjuguna4463done nipitie
@@judymulewa9302 done @78 now
done nipitie pia
Vaa vizuri mama
Team under 100 tupitiane ❤❤
you're going far swry
Which far huyu bado ako na pl
Uyu dem aki....pressure itamuus
Nipitie plizzz
@@cynalleinnipitie
Btw unaboo na hizi nguo😢😮kwani zote umenunua ziko ivo..huna nguo descent
Nipitie plizzz
Hata vile and how off 😮😮😮nimekupitia tudonge!
Hadi nashanga anavaa bra ATI ni nguo 😂
Qwani umefanya vitu mingi qwa mwezi waah how comes na umekuanga qwa bedsitter waaaaah
Hii ni ile nyumba yao ya kitamboo anabeba wau ufala
But incase tujue ni prank hamkuachana na bwanako nitakuwa wa kwanza ku unsubscribe
Wee uulisema uwezi vaa nguo ziko na Adabu😏😏😏😏
Juzi si alikua kw bedsitter how now?
Hata Mimi hapa nimepotea
My mum calls this dressing" tuhandkerchief😂"
Cloud chasers
Wale watu wa congratulations gal watakuja kuregret
Mcheeew in the name of content creation bones
Si nadhan juzi ulikua kwa nyumba mpya tena ukaenda kwa ingine tena sai uko kwa ingine waaa si mnitumie ata 10k please si kwa ubaya ninunulia watu wenye hawajiezi food juu mnachange nyumba kila siku waa mungu si anione pia mim aki😢
Dress like a married woman unaboo na izo nguo
Kila kitu hapa ni kwwy Brighton mbona mdanganye watu kwa camera behind the camera your together hizi ni content najua hamtaniamini but mtakuja kuniclapia
Aky hawa watu kwani Aggie ulirudi kubeba kila kitu kwa Brighton 😂😂😂coz kila kitu hapo sitting ni yenye ilikuwa tu kwa nyumba yako na mverify wako, kweli mshenee haipendi uzembe
Wako pamoja😢😢
Hi Angy your house looks waooo hook me up with the one who mounted your Tv area please
Tuonyeshe Brighton
Hii video kwa tv haungetuwekea hata wildlife amd birds
Next video yako nataka tips za kukuwa successful tuambie aki coz unagrow haraka
Amewekwa
brighton pl behind the camera mmtttttttchw
Juzi tubulikua kwa bedsitter mwezi haijaisha umehamia uku aki hueleweki 😅😅😅
Sasa umevaa nini na ivi vipindi vyenu visivyo isha😂, unakaa kuni ya kukauka😂
umetubeba umh! iyo yote juu ya content!!!!!
Siku hizi Angie unavaa aje akh siz
Bt how will it cost u ukivaa kama mwanamke🤔
Otherwise unakaa kama milaya za koinange na n mifupa tu😢 nkt vaa vizuri ubwa
Sitting room Iko smart,, bt siujifuze kufaa nguo ziko na adabu uache kuonyesha mwili yako,, naona ulitoka age ya ma sly queen, wwe ni mama Sasa,, na vyenye unafalishanga mtoto vizuri bt side yako.....😮😮😮😮😮
Why can't you change your dress code ,hiyo ni mavaxi ya maraya
Very amazing ❤
Angie na hiyo wembamba yote bado unaanika mifupa yako inje,sasa ukijipata na figure km vera,amber ama trisha si uta shoot video ukiwa uchi,msichana change your dressing code you resemble a scarecrow.
Gosh the word sexy is not used just anywhere
Nguo hizo sio zamtu ameokoka kabisa try to change your dressing in the people not all fuss are good be having decent dressing.
Mungu wangu!!kwani unavaa nguo za mtoto wako😢
😂😂😂😂😂😂
Aky mii cjui mbona mtu abaki uchi na ni public na juzi yeye ndo alikuwa anafaa vibaya kwa Brighton c uvae hivo off camera waah😮😮
Angekuwa na tunyama ingeeleweka sasa tukionyeshwa mifupa tuseme nini
Umevaa Nini sasa
💫❤❤❤❤❤
Hii ngrey was just chilling 😂
Mimi nikipata hii yote it's about cloud chasing not only subscribe,i will not even watch ur vedios a single day.endelea kutubeba ufala but this will come to end
Yaaani haukujua from the word go bdo unasubiria kitakuramba this pple are talented when it comes to clout chasing
Si ukule jamani hii mwili 😢
Shida nyingine unavaaa vibaya ata adabu huna wanawake wengine ni kama rad tu😊
😢navile alikuwa anasema ety sister ya Brighton alikuwa anavaa vibaya kwa Brighton 😮😮
❤❤❤❤❤mm nakupenda tu mamaa
Sasa amevaa nguo kweli ama ako uchi
Nipitieni please team Angie ,show me some love please.
Nipitie
@@Rynahsworld lam already your sub
Team kupitiana tupitiane tukisonga pamoja please 🙏🙏
Nipitie
Nipitie
Sijawai elewa huyu dem...too much pressure
Nibariki mimi na viti mzee angie❤
Dadangu usipende kuchukua vitu muzee, vinaleta umaskini.
True maisha yako yote
Tugrow woteeee❤❤❤❤❤❤❤
Nipitie
Kwani amevaa vibaya gai kwani mnataka watu wavae aje alaaar watu wa ushago mshinde na hukoo washamba nini
Guys nipitie nikupitie
Congrats 👏 beautiful
Utaheal kweli ukijikumbusha Brighton na hizo mavedio zenu???nkt utakufa na pressure wwe
Juzi umeingia sijui bedsitter hata hujamaliza month ushaamia hapo aaih hii ni kubebwa wanna bana kufake tu life na kupea watu mapressure ndio maana mnarogwa😅😅😅😅😅😅
Si wanataka watu wa kuchanga sai kila kitu tunaonyeshwa ni za nyumba walikuwa na Briton we sai kwa hyo nyumba Kuna kitu ilikuwa kwa bedsitter ameonyeshana hapo
Change mavazi kindly
Mbon uko kam hukulangi umekond san alafu unajiachiliy mifup tuuu njooo inatembey
Hata kutembea nyumba za watu ukichukua video inakubaliwa😂😂😂hii ndio kufake life ama
Wenye hana kitu utawaona tu kwa comment wakiongea ooh umekonda ooh uko na mdomo kuna mifupa yenu ilipotea na midomo mkasikia iko kwa angie ukiona mwezako amefanikiwa wacha wivu ndio pia wewe ubarikiwe
Sasa tunajonja utuonyeshe kwenye unawekanga pesa,supu saaana.
😂😂😂😂😂😂😂
Unavaa nguo size moja na mtoi wako surely?? 😂😂
This guyx though si mnatuonanga mafala
Kumbe umejua 😂😂😂😂hata awanananga ngari wao hukomboa wanaishi hizi side za imara ni majirani wangu 😂😂😂😂
😂😂😂😂@@victoriamwongeli
Aggie uko na utoto sanaaaaa tukiona nyumba yako tunasaidika nanini? Kwanza change dress code juu wewe ni bibi ya mutu
Kiki bado inaendelea😂
Wacha kusema ni kiti ya mtu wangu special sema tu brigho😅😅😅😅
Na nyumba ulisema umenunua
Amazing
Ata kama ni my dress My choice hii ____
Team angie nipitie nikupitie❤
Done nipitie pia
Nipitie
@@judymulewa9302nipitie
Aggie nakupeda bure
😂😂😂😂😂😂tunajua uko na Brighton pamoja nivile2 anaficha white ataki haibu
Umekonda umebaki tu mifupa na vile unavaa vibaya Sasa juu bado uko na Pl ulikuwa unalia nini,,,
Was the video yako Na pl on the tv necessary?
Pluto is the one behind camera
Utajuaje mapenzi bado iko Kwa roho
Hapo if you're wise hope your answered tayari
Nipiteni guys tugrow pamoja
Nipitie
Vaa mzuri
Haunanga nguo zingine??
Magazine msichana chunga saana wewe
Umecopy hanabenta
Hii c ni ile kiti yenu na beanako