Nilini mtakubali kuwa Simba wamecheza vizuri ndio maana wameshinds,ndio maana uliponda Kwa sababu young watakuwa bingwa,mchambuzi mchongo,wewe Utopola,mwisho wa siku aibu
Umeona makosa ya walinzi. Mshauri kocha afukuze walinzi wote na asajili.... Maongezi yenu yana agenda...mmeshakua lakini mmependa kubaki wadogo kwa kukubali kuendelea kutumwa "dukani". Je Black Stars wakifungwa magoli mawili mtatuambia nini?? Kesho Yanga akifungwa goli moja utatujiaje?
Simba nguvu moja❤❤❤ mdog mdgo tuu utatuelewa
Mutaleee akiingiaa n sawa na simbaa tunachezaa pungufuuuu
Yaani Hii Simba mtaikubali tu bila kupenda
Ubayaa ubwelaa ❤❤
Ucha wa kiutopolo sana
Jamani nimelia sana eti unazungumza ukiwa timamu
Mchezaji bora ni chasambi kafanya kitu wengine Wameshindwa katoa asist tatu sio kitu rahisi kafanya kazi yake kama kiungo haswaaaaaaa
Kunamchambuzi apa yupo ziro
sawa
Bado tutashinda 5
JOSHUA NENDA KWA BABA MTALEMWA UKAOMBEWE. MUNGU ATABAKI KUWA MUNGU TUU. MUNGU IBARIKI SIMBA NA WACHEZAJI
Nilini mtakubali kuwa Simba wamecheza vizuri ndio maana wameshinds,ndio maana uliponda Kwa sababu young watakuwa bingwa,mchambuzi mchongo,wewe Utopola,mwisho wa siku aibu
UTAELEWA TU KUWA ULIKUWA HUNA AKILI TIMAMU UNAPOZUNGUMUZA
Chamou ndio chanzo cha tatizo la ulinzi
Ety anamaanisha singida black star atatufunga au atapata sare na Simba...mchambuzi hana akili timamu ndo maana kaulizwa
Kuna mchambuzi hapo sijui anachambua nn half anajibu kichwani yupo timamu
YANGA KUWA BINGWA SAHAU USHABIKI UTAKUUWA
Hakuna shabiki wa simba aanayeweza kuaema mchezaji wa simba anacheza vibaya ni nyie waandishi ndiyo mnaoongea ujinga
Simba walibebwa
semeni Jani Chaz mche zaji mzuli
Mtale apishe watuwengine
Huko Zambia mutale alimfunua nani?
Umeona makosa ya walinzi. Mshauri kocha afukuze walinzi wote na asajili.... Maongezi yenu yana agenda...mmeshakua lakini mmependa kubaki wadogo kwa kukubali kuendelea kutumwa "dukani".
Je Black Stars wakifungwa magoli mawili mtatuambia nini??
Kesho Yanga akifungwa goli moja utatujiaje?
Chamou sio beki ni kujishikiza tu nguvu tupu akili ndogo
Sasa refsree dadaako mgunda kuna nn tena