Sawa bhana ila ipo siku utabadili maneno yako maana mshahara ushaingia mfukoni mwako ila simba kumfunga yanga mtasubiri sana kuotea goli Moja Leo mtaongeeeea sana ila simba amfungi yanga ng'ooooo
Ukristo tunauchafuwa wenyewe huyu kaka angekuwa mwislam sio tatizo ila huyu jama ni mukristo jamani kwenye vitabu vyote vyawa kristo kuna nabi eliya mpanzu kweli kweli mungu akusaee nimahaba yamakuchanganya maybe
@Ramadhanilawoga hata ukiwa mwislam umesha sikiya nabi eliya mpanzu angesema nabi elia kafanya maajabu uwanjani basi eti nabi elia mpanzu kwakweli hapana
Mchambuzi unayefuata upepo wa matokeo, nimekufuatilia na wewe ni moto wa mabua unafuata upepo unakoelekea, kiukweli mbwanduke na muro wa azamu watabaki kuwa wachambuzi Bora, na bahati mbaya njaa inakutesa.
MUNGU AMBARIKI SANA MPANZU. NA WACHEZAJI WOTE WA SIMBA.
Mungu nashukuru sana kwa kutujalia
Ifahamike kuwa simba bado inajikenga sio original ibaki hvo hvo wasituzoee ❤❤❤❤❤
😅😅😅
Wabaki hivyohivyo huku tunasonga mbeleeee
Unamjua simba myama wavikombe vingi simba Yakima taifa ❤❤❤❤🦁🦁🦁🦁🥰🥰🥰
Kaka ambokile Zambia zako nipewe mimi❤❤❤❤
😂😂😂 huyuu ambokile niwinga anapiga kulia nakushoto
chuma chamujereman nakukubari tangia uko abood 👍👍
Chuma cha mjerumani leo umeongea ukweli
Bado tunajenga Tim bro kombe atulitaki wabaki nalo TU😂😂
Kweli bado tunajenga team,kombe mwakani tutaanza kulipata
😂😂😂😂😂😂😂
@@mussamdetele5728mwakani hapatoshi kwa Africa
Tunasema inshallah❤❤🎉🏆
5G😅😅
Bado tunatengeneza team
Ila wazee huyu JAMAA mnafki kuliko unafki wenyewe
Saw bratha
Nabii Elia Mpanzu ni Msonda 6 😂😂😂
Tunasubiri burudani kutoka kwa side Kama side😅
Mshenyentaji hapa naongea we chimwaga
Nimesahau kma kuna kibu daaah htr
Huyu jamaa anajua kuuchambua mpira namkubali sana jamaa yuko vinzr sana nikipata no yake nitampa zawad kutoka oman
Unamsifia kw sabab anaichambua Simba iliyoshinda dhidi ya Kagera. Subir siku simba ipoteze mechi utamtukana matusi.
Huyu anakusifu ukifanya vizuri na anakuponda ukifanya vibaya
Wangefungwa angemtukana😂😂@@sospetershijah5619
Wachambuzi wa bongo wengi wanaenda na upepo😂
Tunajenga Tim na kumbe tunabeba
Tunajenga timu👊👊
Asante Mzee wa vibahasha
Huyu anataka matusi ya mashabiki wa utopolo eti akina Musonda sita😂😂😂
Hataar sana
Wakati nacheki game nilikuwa nasubiria interview ya My Bro. Ameniokoa aka Ambokile😂
Nilikuwa nakufuatilia tokea Jana kumbe ww ni msema kweli🤣🤣🤣
Ndiyo tunajenga timu matoke ni sehemu ya ubaya ubwela.
Ni kweli mpanzu tumepata mtu
Hawa vijana gari imewaka😂😂😂😂
Nenda kalime baba mpira wachie wenye nao
Fisadi Huna zamana wanafiki kesho utubadilika
Bado timu yetu ijakaa saw
Chuma umetisha
Big up
Mnafiki Huyu siulisema simba hatoboi kagera timu bado mbovu leo umeshushuka we nishabiki sio mchambuzi
Ananifurahisha sana jamaa huyu
Nakubali
Mpanzu on fire
7:51
Sema sema wape wape😮😮
Kwn ahoua kaamia yanga
Mwambie Atunze maneno
Sawa bhana ila ipo siku utabadili maneno yako maana mshahara ushaingia mfukoni mwako ila simba kumfunga yanga mtasubiri sana kuotea goli Moja Leo mtaongeeeea sana ila simba amfungi yanga ng'ooooo
Ukumbukw mume wenu kayoko hayupo kafuungiw
We mchambuzi inacheza na upepo upepo unapo elekea nakusubili kesho.
Ambokile dhambi zako nimechukua upo huru😂😂😂
Safi ambokile
uyoo nikolo
Huyo uchambuzi ni mnafiki sana
Kabisa unajua
Huyu fara msimsikilize ni kigeugeu sana hajitambui leo atasifia kesho ataponda
Kwa hiyo hata wakikosea unataka asifie tu!
Ahuwa huku pakome huku😂
Nisikilize ben usiwe mbishi😂😂😂😂😂
Allez Mpanzu mwanaCongo
Kumbe we ni kolo boy😅😅😅
Kama kuchambua uwezi acha kuliko kuchafua watu
Ohua tena
Ahoua au Yao Yao 😂😂😂😂😂😂 mbn umedata
Tuna jenga tim
Mpanzu😂😂😂😂 jina tu
Bado hamjasema utopolo
Unajifarij ila kaz yake inaogopexha 🐸🐸🐸🤣🤣🤣
Ukristo tunauchafuwa wenyewe huyu kaka angekuwa mwislam sio tatizo ila huyu jama ni mukristo jamani kwenye vitabu vyote vyawa kristo kuna nabi eliya mpanzu kweli kweli mungu akusaee nimahaba yamakuchanganya maybe
Acheni Imani potovu Imani uislam hatuna ushetani huo
@Ramadhanilawoga hata ukiwa mwislam umesha sikiya nabi eliya mpanzu angesema nabi elia kafanya maajabu uwanjani basi eti nabi elia mpanzu kwakweli hapana
😂😂😂😂chuma cha mjerumani uwekewe ulinzi baba
Saivi SIMBA sc kama Chelsea tu hatutaki kombe bali kombe linatutaka lenyewe tena linatulazimiisha
Bado tuna Jenga team ndugu wa tangazaji
pamoja kaka chuma chamjeluman
Huyu nimegundua kuwa hajui mpira kabisa!
Dube anaingia 10 kwa ateba mara dube katupia 3
Ukasema dube kawaka.
Sasa mbn unatuchanganya
Tatizo la huyu mchambuzi ni bendera fata upepo, unasifia siku timu imeshinda timu ikifanya vibaya mechi moja unaongea usenge wako.
Chuma pigakazi
Bado tunatengeneza simba tuacheni
Leo ambokile kanichekesha
Huna jipya
Umechanganya habari Tena kaka ahouwa katokea wapi Tena?
Tunachosigana na ambokile ukwer wake
Amechezq simba, musonda anahusika kwa lipi? Kwa kigezo kipi unamhusisha mpanzu na musonda?.
Wachabuzi madazi
Kocha anarudia makosa yaleyale anawaingiza mtale wa nini sasa
😂😂😂
Chuma cha mjerumani ahunguruma tena
Huÿo Bendera ķùfuata upepo SIO MCHAMƁUŹI HUYO NYUMA
MWÌKO!!
Musinda 6 😂😂
Huna lipya
Kunbe nirikuwa nakufatiria were ni solo 2
Mchambuzi unayefuata upepo wa matokeo, nimekufuatilia na wewe ni moto wa mabua unafuata upepo unakoelekea, kiukweli mbwanduke na muro wa azamu watabaki kuwa wachambuzi Bora, na bahati mbaya njaa inakutesa.
Nabii kaja kutoa vibarua vya kima balua
Hatutaki unafiki wako
Cut
We ni kuma2
La mama yako
Acha matusi
@JonathanMGAIWA-ow4py matus ya mamako
Mboo yako
We jamaa sio mchambuzi, una mihemko sana tushakustukia😂 nilikuwa nakufatilia sana ila nimeona mpira hauujui kbc
Kabisa hata mie nimeona.
Akili yako imeganda😂😂😂😂😂