EXCLUSIVE: Simulizi ya mtu mrefu kutoka Chato hadi Marekani | Futi 7.5

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • Mtazamaji wa Mwananchi Digital Wakati binadamu wa kawaida akikadiriwa kuwa na urefu wa futi 5 hadi 5.5, hali ni tofauti kwa Julius Charles mwenye urefu wa futi 7 na inchi 5.
    Katika exclusive wiki hii Hariet Makweta ametembelea katika eneo la mbagala mbande jijini Dar es Salaam na kukutana na Kijana Julius Charles ambaye amefunguka na kuelezea historia ya maisha yake kutoka chato hadi Marekani Karibu.

КОМЕНТАРІ • 87