SIMULIZI :Viumbe sita vinavyoishi miaka mingi kuliko binadamu/maajabu ya baharini
Вставка
- Опубліковано 15 вер 2024
- #story#simulizi#mwananchi
Samaki kwa jina Jellyfish Turritopsis dohrnii hana ubongo na moyo na anadhaniwa kuwa kiumbe pekee asiyeweza kufa duniani; ainaishi katika maji ya kitropiki.
Kama wanasayansi walivyothibitisha, jellyfish hawafi kwa uzee kwani huishi hadi umri fulani kisha wanaanza kuwa wadogo na kurudi kwenye hatua yao ya asili.
Na kutoka hatua hiyo ya kuwa mchanga , anaanza tena kukua. Kwa bahati nzuri, hakuna kikomo kwa idadi ya nyakati ambazo wanaweza kufanya hivyo! Kwa hivyo, kiumbe huki kinaweza kuishi idadi isiyo na kipimo .
Safi sana ino
Mimi naami huyu mtoa hii stori anajua vizuri huyu samaki hafi kweli kwahiyo wanasayansi hatawakijua hawawezi kupanga Ili wawakee watu mungu atawachapa ila hiyo hafi
Wow
makala ya kipuuzi, there is no consistency. ujinga kama huu simulia wanao barazani kwenu, bladshwain.
Na waukamilishe tu huo mpango tuijaze dunia hii yani mim nitakua nacheza miaka 14 na 18 tu mbna pisi zitanikoma
Mbona pisi kali zitatukoma kabisa
😂😂😂nakojoa
Asee namtafuta huyu samaki tubadishane asee yeye awe mm mimi.niwe huyu samaki 😅jeli fish😂😂
Nilisha wahipitiwa na samaki huyo nikiwa beach aliniunguza sana baadhi ya mwili nakunifanya kushindwa kutembea na kuishiwa na nguvu na pressure kushuka namjua nilikimbizwa hospitali nakumbuka ilikuwa IMTU mpakaleo bahari naiogopa nahapo alikuwa nimdogo je angekuwa mkubwa nahisi ningekufa
Nyoka tusimuuwe eti wanasema utalii,najat killar
Kwenye kobe muongo umetudangany kobe anaishi mpaka miaka1000 wapo huko zanzibar kweny kisiwa cha utalii wanamiak 1000 kobe mpka miaka500
Wamaanisha huyu jel fish niyule yule aliyeanza dunia ?
Sikweli kuhusu jelly fish anakufa 2 akipatabjoto
Wa000
😮
Scary
Mimi ninamashaka na hizi taarifa kuwa hazina ukweli ni kweli wapo viumbe hapa duniani nanaishi miaka mingi lkn hizi taarifa zinawekwa chumvi
Duh na vipi kuhusu nyoka
Sijamsikia kunguru
HALOWEEN
KWAIYO WALE TINAOWAONA WAMEKIFA?
Hakuna kiumbe asie kufa
Je nikimkamata na kumuua hafi acheni uongo
Nikweli kakaangu hajaonge uwongo kumhusu huyo samaki
Asee ikipatikana iyo dawa mm wa kwanza asee 😂😂😅
Tukimuua