MADHAIFU YA REFA YALIIBEBA ZAIDI SIMBA KULIKO YANGA | ILE YA SIMBA ILIKUA PENALTY HALALI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 20

  • @LucyMtewa-ch6hd
    @LucyMtewa-ch6hd 2 місяці тому +5

    Safi Sana unajua uchambuz kaka

  • @EmilianoNazario
    @EmilianoNazario 2 місяці тому +2

    Well said, maamuzi yanapofanyika Kwa wakat mbonu na kila kitu kinabadilika

  • @hawamasanje9589
    @hawamasanje9589 2 місяці тому +4

    Huyo refa Elisasii hafai kabis kuchezesha mechi kubwa kama Yanga na Simba tena anafanya huo ujinga mbele ya ugeni wa CAF CAF

  • @hamisimsosi6237
    @hamisimsosi6237 2 місяці тому

    Ni kweli wewe unaujuwa mpira😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @nabiimgongolwa8728
    @nabiimgongolwa8728 2 місяці тому

    MCHAMBUZI UMEWINI KUWA WA KATI KULIKO KUWA MSHABIKI KAZINI.

  • @allymganga3223
    @allymganga3223 2 місяці тому +1

    Refa jana aliondowa ladha ya mchezo

  • @TumainiMbati
    @TumainiMbati 2 місяці тому +1

    Katika watu ambao nawaelewa saaana ww namba Moja maana unaongea ukweli

  • @masungaiwvata5835
    @masungaiwvata5835 2 місяці тому +1

    Kelele penati ipi,karudie kuangalia ye ndo amemgonga mchezaji wa yanga

    • @dicksongeorge7745
      @dicksongeorge7745 2 місяці тому

      Wewe mpumbavu balansi Shobo, kwahiyo unataka waseme yanga ndo wameumizwa tu?
      Mpuuzi

  • @KadustaBoy
    @KadustaBoy 2 місяці тому

    sisi Simba hatuna lawama

  • @MariamMarusu
    @MariamMarusu 2 місяці тому

    Ocar..umeingia pont

  • @JILBERTDaniford
    @JILBERTDaniford 2 місяці тому

    Mwamzi yule afungiwe. Mfurulizo wa matukio ya penalty simba wamenyimwa penalty 2 baada ya Gol la yanga liliongoza ad MWISHO wa mchezo

  • @christianjohnmwalugaja8090
    @christianjohnmwalugaja8090 2 місяці тому

    No Ile ya Simba haikuwa penati kwa sababu alichofanya boka ni kuukosa ule mpira lakini baada ya kuukosa yule mchezaji wa Simba alijigonga kwa Boka.

    • @dicksongeorge7745
      @dicksongeorge7745 2 місяці тому

      Balansi Shobo, basi hata ya Aziz k nayo ilikua offside tuseme jana refa hajakosea jana mpuuzi

    • @buberwazimbeiya7406
      @buberwazimbeiya7406 2 місяці тому

      Alijigonga akiwa anatafuta nn? Na sehemu gani

  • @drallan6879
    @drallan6879 2 місяці тому

    marefa mnatuagisha mno

  • @SalumMkumba-wj2wl
    @SalumMkumba-wj2wl 2 місяці тому

    Ni wewe au manake ndonakusikia leo😂😂😂😂

    • @proisolution7166
      @proisolution7166 2 місяці тому

      oscar ongela mpira there were no enalt kwa simba as b4 fred ali faul watu angalia vizuri,msiwaogope simba refa aliwasaidia sana simba.

  • @salimnkome4727
    @salimnkome4727 2 місяці тому +1

    We Oscar akili hauna simba walipata penat wapi sio unaongea upuzi wakati refaa alikua upande wa simba mpila sio mchezo wamapenzi useme watu wanajifungia chumbuni Kila mtu kaona kilichofanyika pale uwanjani sema ukweli tu simba kabebwa sio unang'ata maneno mbwa mkubwa wewe

  • @wechemakambo2182
    @wechemakambo2182 2 місяці тому +1

    Vipi pale simba wako kwenye move kisha mpira unamtoka Diarra na beki anamrudishia na anadaka ndani ya penalty box...mie naona ni kosa pale