The owners and residents of Mkanyageni have neglected the area. Very old door of my great grandma's house was taken by burglars. And people just ignored or were afraid of talking who took the doors and the old colonial iron cast sewage cover outside our house. The whole area has BIG potential and it is up to us all the owners and residents to unite and make that change.
Kitu chengine, yasikitisha sana...na sisi wenyewe tumeituma Old Town yetu...miaka yaliopita watu watamani kuishi old town na hawapati nafasi. Kwa nini wenyeji wasichangamke na kuduumisha usalama....kisha haya mambo hayawezi kutokea. Inshaallah Allah ataleta kheir yake.
WATU WA MKANYAGENI U R SO SELFISH.LAU KILA NYUMBA IWEKE TAA MOJA NJE YA NYUMBA THE WHOLE NEIGHBOURHOOD WILL BE FILLED WITH LIGHT.HAWA NDIO WALE WALE WATAKA SEREKALI IWAPE MAZIWA NA BIRIYANI NA KAZI INSTEAD KUTAFUTA BIASHARA YA KUJIKIMU MAISHA
Hiyo idara husika kama wapitiya hayo mashimo, barabara na taa kama walikua na uradi wa kupitia kazi zao khususan wakati wa mivua ingekua hakuna malalamiko
Na hiyo mifiniko ya mashimo wevi wayaiba wakisherekeyana na wahusika katika county ili waweze kupeyana tender za kununua nyengine. Na kama sikweli kwa nini wanao nunua scraps hawafuatiliwi na kushikwa na kuchukuliwa hatua.
Abu Shurain wazungumza maneno gani? Gavana Abduswamad ni kazi yake. Wafanyi kazi wa Kaunti ya Mombasa wa khidmu wale waliompigia kura fakat? Mngu awapatie suhulisho haraka kwa hali yao inshaAllah

COMMUNITY POLICING IS VERY IMPORTANT
Kitu chengine, yasikitisha sana...na sisi wenyewe tumeituma Old Town yetu...miaka yaliopita watu watamani kuishi old town na hawapati nafasi. Kwa nini wenyeji wasichangamke na kuduumisha usalama....kisha haya mambo hayawezi kutokea. Inshaallah Allah ataleta kheir yake.
Khatari sana.😢
Asalamu aleikum yafaa hayo mafiniko yachomelewe ndio suluhisho hawawezi kuiba wakijaribu kugonga watasikiwa
WATU WA MKANYAGENI U R SO SELFISH.LAU KILA NYUMBA IWEKE TAA MOJA NJE YA NYUMBA THE WHOLE NEIGHBOURHOOD WILL BE FILLED WITH LIGHT.HAWA NDIO WALE WALE WATAKA SEREKALI IWAPE MAZIWA NA BIRIYANI NA KAZI INSTEAD KUTAFUTA BIASHARA YA KUJIKIMU MAISHA
Hiyo idara husika kama wapitiya hayo mashimo, barabara na taa kama walikua na uradi wa kupitia kazi zao khususan wakati wa mivua ingekua hakuna malalamiko
Sio lazima eti mtu ampigie governor nduo apate usaidizi...hii ni public roads and it needs to be fixed.
duh hatari sana
Na hiyo mifiniko ya mashimo wevi wayaiba wakisherekeyana na wahusika katika county ili waweze kupeyana tender za kununua nyengine. Na kama sikweli kwa nini wanao nunua scraps hawafuatiliwi na kushikwa na kuchukuliwa hatua.
abu shuraim hiyo shimo yataka cement na cocoto ufuniko mukiweka çhuma itaibiwa tena
Hiyo nihatarai na hayo mashimo mifiniko yake yenda yakiuzwa wapi chunguzine kwenye mascre
Sad wallahi to watch this,, sio mambo ya kuomba kwa county ni MUST for them do deal with any situation in Mombasa.FAKE leadership SHAME on THEM.
Abu Shurain wazungumza maneno gani? Gavana Abduswamad ni kazi yake. Wafanyi kazi wa Kaunti ya Mombasa wa khidmu wale waliompigia kura fakat? Mngu awapatie suhulisho haraka kwa hali yao inshaAllah
Eti anafanya nini? Wacha shobo wewe
@@_king_bwouy_sawa Shukran ndugu. Mngu awahifadhi inshaAllah
@mas2913 sure 🫡
@@mas2913mashallah
Mca wa Old town ataka ubunge na kazi yamshinda, mulimuokota wapi maziwa fresh?
MCA?