JINSI YA KUTUMIA CAPCUT

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024
  • Tazama na ujifunze jinsi ya kutumia Capcut Kwenye simu , Hii ni hatua za mwanzo kabisa kwa begginers au wale wanao anza. #capcut #capcutedit #capcuttutorial
    jinsi ya ku edit video Kwenye simu.

КОМЕНТАРІ • 16

  • @peterclavery89
    @peterclavery89 3 місяці тому +3

    Umetisha sana mkuu, sema fanya utengeneze na clip za namna ya kurekodi sauti ya kuweka kwenye video ads,, kuitoa sauti yako kawaida iwe sauti ambayo iko professional. Yote hiyo iwe ni kwa kutumia simu,,, utakuwa umetusaidia wengi sana ikikupendeza 🙏

  • @AlvenusAnthony
    @AlvenusAnthony 3 місяці тому +2

    Bigup San

  • @CINEMATZ
    @CINEMATZ 3 місяці тому +2

    Naaam 🔥🔥

  • @uniquemwalo
    @uniquemwalo 3 місяці тому +3

    Og kabisa mwamba

    • @Vinei
      @Vinei  3 місяці тому

      Pamoja

  • @PeterPetro-pt2jc
    @PeterPetro-pt2jc 3 місяці тому +3

    Bro naomba no yako

    • @Vinei
      @Vinei  3 місяці тому

      0624741607

  • @eagtmakimbiliochato
    @eagtmakimbiliochato 3 місяці тому +2

    Mimi hapo nataka kujifunza umerecord vipi wakati unaelekeza namna ya kuedit kwa simu

    • @Vinei
      @Vinei  2 місяці тому

      Nimetumia screen recorder

  • @mittid2492
    @mittid2492 2 місяці тому +2

    Bro et nimetumia zile pro but kusave wanakata wanataka ni join pale kulipia nafanyaje

    • @Vinei
      @Vinei  2 місяці тому

      Tumia za Free

    • @mittid2492
      @mittid2492 2 місяці тому

      @@Vinei sante bro

    • @mittid2492
      @mittid2492 Місяць тому

      @@Vinei bro naswali tena mfano nataka niweke nyimbo.ila ile nyimbo nataka ikaanzie labda katikati nafanyaje?

    • @NDETEKHANY
      @NDETEKHANY Місяць тому +1

      Hizo za free zinapatikana wap atamm inasema I vyo ivyo

    • @mittid2492
      @mittid2492 Місяць тому

      @@NDETEKHANY kuna zile zimeandikwa pro ziache chukua ambazo hazina neno lolote