Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

USIKU WA ANNIVERSARY MIAKA MITANO YA GABO NA MKEWE WAFUNGUKA, ZAWADI YA RANGE ALIYOMPATIA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 лип 2023

КОМЕНТАРІ • 102

  • @chausikumasau8194
    @chausikumasau8194 Рік тому +4

    Nawapendeni xan jmn .....mnapendezana mungu awatunze 🙏🙏❣️❣️♥️🥰

  • @rukiasalum2248
    @rukiasalum2248 Рік тому +2

    Gabo huniagushagi kakangu kwa sisi wanawake tunaopenda kusifiwa na waume zetu hakika huniangushagi ila na mimi ipo siku wangu atasimama na kusema asantee

  • @mashakashobo2529
    @mashakashobo2529 Рік тому +2

    Gabo na Mr Blue ni mfano wa kuigwa sana aiseee

  • @user-gk6oc8pm8f
    @user-gk6oc8pm8f Рік тому +2

    Naipenda hii couple❤️

  • @theresiamwacha7845
    @theresiamwacha7845 Рік тому +4

    Napenda mume akimsifia mkewe ivyo Tena mbele zawatu isse mpakaraha

  • @user-xe9uu6wu3z
    @user-xe9uu6wu3z Рік тому +2

    Mr&madam misifa

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 Рік тому +3

    Mashallah tabarakaallah khery twawaombea

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq Рік тому +3

    Hongereni Allah awape miaka 100❤❤❤

  • @frolabenjamin6243
    @frolabenjamin6243 Рік тому +1

    Gabo ni mzuri kwakweli

  • @faizamohamed6993
    @faizamohamed6993 11 місяців тому

    Mashallah ❤❤❤❤ mingi mungu awazidishie

  • @bimkubwaali1605
    @bimkubwaali1605 Рік тому

    pesa baba kwakweli mie nna miaka 40 lakini sifahamu umuhimu huu. hela shikamooo mungu simama na hawa viumbe wafikie umfi watu ameen

  • @frolabenjamin6243
    @frolabenjamin6243 Рік тому

    Hongereni jamani kwanza mmependeza kweli Mungu awabariki katika ndoa yenu

  • @shakilabakari6928
    @shakilabakari6928 Рік тому +5

    Kwamm nisie na pesa. Ninaona hayana mana lakin pesa ingekuwepo wenda yangefanyika haya kwahy tusimalize maneno sisi wenye hali ya chin

  • @anoldamkumba3208
    @anoldamkumba3208 Рік тому +1

    furaha ya moyo,sura mbaya ya mwanamke inahusu nini? acha husda ya wazi.wanapendana ,wanaheshimiana na kuthaminiana kwa kutudhihirishia wamefanya hivyo waache kwa raha zao,mungu awajalie maisha marefu.

  • @ashaali6125
    @ashaali6125 Рік тому

    Tuna miaka16 ktk ndoa alhamdulillah 🤲

  • @sagboison6297
    @sagboison6297 Рік тому +2

    Mimi naona kaka unampenda sana mkeo aiseee namimi niipate wapi furaha jamanii kila sikuuu majutooo nawaonea wivu sana

  • @rayanndizeyes3161
    @rayanndizeyes3161 Рік тому

    hata mimi na mupenda sana Gabo ni mwanaume muzuri sana anajali ,upendo uruma umendo wa Gabo niikweli siyo maigizo na mimi nilikuwa nawaza kuja kumutafuta awe mume wangu

  • @sarahmohd-qj5hn
    @sarahmohd-qj5hn Рік тому +1

    Miaka mitano kama harus 😅😅😅😅 mastar w bongo bhn

  • @omanmct135
    @omanmct135 Рік тому +1

    Mashallllah naic❤

  • @melanialeonard4031
    @melanialeonard4031 Рік тому

    Hizi gari hizi zitakuwa nzuri kila anae igiza lazima zawadi iwe range

  • @johanjoha5262
    @johanjoha5262 25 днів тому

    Umeseme Mme wako ni Mwenye dini uyo kichwa wzo

  • @rachelaisha5084
    @rachelaisha5084 Рік тому

    Couple smart

  • @magrethyeremia2279
    @magrethyeremia2279 Рік тому

    Hongera saaan kwa hiloo

  • @user-bi6uf7mr3y
    @user-bi6uf7mr3y Рік тому

    Nawapenda sana❤❤❤❤

  • @HalimaHalima-id2cb
    @HalimaHalima-id2cb Рік тому

    Mashallah ❤❤

  • @asiamohd5516
    @asiamohd5516 Рік тому +3

    Gabo na nywele tn. Mwenzenu nna zaid ya miaka 15 na sitamani ata kuchinja kuku.

  • @zainabfarashua1861
    @zainabfarashua1861 Рік тому

    Nawapenda sana

  • @elizabethmajaliwa5189
    @elizabethmajaliwa5189 Рік тому +1

    5 Bado angalau 10

  • @gudimbwana8088
    @gudimbwana8088 Рік тому

    Mitano tuu bado sana broo

  • @Official83640
    @Official83640 Рік тому +7

    Yaani huyu Tiffer anapenda shughuli mzaramo akasome hawezi maliza mwaka bila shughuli ht akianguka chooni ataita watu wafanye part kah anajitahidi kumtengeneza bwana asisepe

    • @salamasaidi6620
      @salamasaidi6620 Рік тому +1

      😆😆😆😆😆

    • @messaabbas739
      @messaabbas739 Рік тому +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂aki ww loh 😂😂😂😂

    • @raybby9291
      @raybby9291 Рік тому +2

      Kwanini wazaramo lakini mbona mnatuonea jamani sasaiv makabila yote yanapenda shuhuri mpaka wametuzid wazaramo 😂

    • @user-cg6sq4qy5l
      @user-cg6sq4qy5l Рік тому

      Kweli

    • @Official83640
      @Official83640 Рік тому

      @@raybby9291 Mm mwemyewe mzaramo kabisa lkn shughuli nazisikia kwa watu ila tuna sudi mbaya tu

  • @RacherBakari-qh2gx
    @RacherBakari-qh2gx Рік тому +1

    Uyo mwanamke anapenda apo ujinga

  • @alleyxonjnrtv1725
    @alleyxonjnrtv1725 Рік тому +1

    TV ,friji,sound bar zipo offer ya warranty mwaka mzima na free delivery

  • @tamemahmad9902
    @tamemahmad9902 Рік тому +23

    Tulo na miaka 20 kwenye ndoa tuna comment wapi na hatujawah kufanya sherehe yyt. Ata njiwa hatujachinja 😂😂😂😂

  • @faridaally-jp1gx
    @faridaally-jp1gx Рік тому +5

    Maadili hakuna muogopeni Allaah

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx Рік тому +1

      Mm mpk najiuliza hivi hawa wanawaza kaburi siku ya kiama allah awajaalie wawe miongoni mwa waja wema allahumma amiin.

    • @user-cg6sq4qy5l
      @user-cg6sq4qy5l Рік тому

      Kweli

    • @balkissMuhammad-sk1ic
      @balkissMuhammad-sk1ic Місяць тому

      Nimtiyani utafikiri wanahahandi na mungu Yani wakotu Kwa dunia​@@malak-lz6kx

  • @dayana5513story
    @dayana5513story Рік тому

    ❤️❤️❤️❤️

  • @johanjoha5262
    @johanjoha5262 25 днів тому

    Chwele hazichanulikai

  • @bebebebe5677
    @bebebebe5677 Рік тому

    Mi naomba niulize gabo kuna kipindi niliskia umeoa mke wa pili vp iyo ndoa iyo ndoa ipo au

  • @simonitaagesti4765
    @simonitaagesti4765 Рік тому +2

    inaonesha jinsi gani mlikuwa amuaminiani kama mtamaliza hata mwaka sasa mmepitiliza mitano mumeona ajabu mkaona mjipongeze ongereni

  • @jennytugara9470
    @jennytugara9470 Рік тому +3

    Hii anniversary ni Golden au Silver everything have meaning and time. Bongo they mixed up events😂😂

    • @miryamswee1064
      @miryamswee1064 Рік тому +1

      Muhim kume pendeza sio shida zetu

    • @florangido202
      @florangido202 Рік тому +3

      Hiyo ni marriage Buthday Not anniversary, Unniversary ni 25years, 50years, 75years, 100years, Wabongo bana WASHAMBA ALAFU WANAJIFANYA WANAJUA SANA!!

    • @magrethmbuma3045
      @magrethmbuma3045 Рік тому

      Hakuna watu mbona

  • @HalimaSalym-jl2ui
    @HalimaSalym-jl2ui Рік тому

    Kama si waislamu vile

  • @HalimaSalym-jl2ui
    @HalimaSalym-jl2ui Рік тому

    Na siku mukiachana fanyeni sherehe na mtujulishe pia

  • @huldamichael4445
    @huldamichael4445 Рік тому

    😂😂😂eti wanawake ni akina Tomaso😂😂....Gabo bhana

  • @SekelaJakson-ls7dd
    @SekelaJakson-ls7dd Рік тому

    Afu uyu Dada ni mbaya tu😢

    • @gracekenan4665
      @gracekenan4665 Рік тому

      Mmmh sio vizuri ....acha wivu hujui anampenda nini.halafu Lilia bahati sio uzuri

    • @mimikimanga3126
      @mimikimanga3126 Рік тому

      Mbna me naona ni mzuri sanaa me naona

  • @ashaali6125
    @ashaali6125 Рік тому

    Izo ps si wangelish mayatima 😂

  • @TahilaRamadhan-hz3pd
    @TahilaRamadhan-hz3pd Рік тому +2

    Shingo dada itachokaa

  • @AsdDsa-fi5qk
    @AsdDsa-fi5qk Рік тому +2

    Ibada kichwa wazi

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 Рік тому +1

    Wanaona wameupiga mwiiiingi😎 watu wana miaka 50 wengine zaidi ya hapo na hakuna matangazo.
    Mi 5 😎😁😁 kazi kwakweli.

  • @abdulazizimohd4230
    @abdulazizimohd4230 Рік тому

    Nywele wazi🤣