Mchungaji Daudi Kusyelia. Nimefurahi kukisikia miaka mingi imepita. Ni mimi Dorothy. Uliniubilia nikiwa Arusha Ngaranaro na baadaye ni kuwa Dar es Salaam. Nikiwa na sali Kanisa la Pentekoste Ilala Mchikichini. Zamani 1980s.Sasa nakuona tena bado hujazeeka. Duh Mungu Mkubwa. Nimefurahi sana mimi naishi Ughaibuni. Ubarikiwe sana mzee wangu.

Rohomtakatifu nisaidie kukulinda Moyo wangu asante Mtumishi wa Mungu Yesu akuongezee nguvu zake uishi Kwa ajiri ya kanis lake
Neno nzuri❤
Short and clear mesej
ASANTE SANA KWA SOMO ZURI.GLORY BE TO GOD.
Amen