Pastor umeongea neno gumu sana, Naomba Mungu akukutanishe na hao wachungaji ambao wametengeneza mazingira ya kuingilia mahusiano ya mtu na Mungu wake. Badala ya kuwafundisha kuomba wao wanawaambia njoo nikuombee na hivyo wanapata nafasi ya kujua mahitaji ya mtu anayotaka kutoka kwa Mungu wake. Mungu akifanya kazi yake wao wanajisifu kwamba ndio waliomuombea mtu huyo akafanikiwa lakini na mfanikiwaji pia husahau kwamba yote ni neema ya Mungu na kuzidi kuamini kupitia mchungaji na kumbe daima hawezi kujiombea daima maishani mwake.
Pastor ubarikiwe sana, Hili somo linenigusa sana. Kuna wakati najihisi sisitahili hata kulitaja jina lake kwa sababu alivyo nitendea wema na jinsi ninavyodondoka kwenye dhambi..! Amina
Mch: tupatie mfumo wa kupata mahubiri yako yatubadilishe kwa kile kinachopungua kwetu tunapoelekea mwisho wa Ulimwengu huu tujazwe na Roho wa Mungu ilituwe washindi.
Nilivyosikiliza hili somo nimegundua sijui kuomba na Mungu anifundishe kuomba asante pastor kwa somo zuri barikiwa sana
Pastor umeongea neno gumu sana, Naomba Mungu akukutanishe na hao wachungaji ambao wametengeneza mazingira ya kuingilia mahusiano ya mtu na Mungu wake. Badala ya kuwafundisha kuomba wao wanawaambia njoo nikuombee na hivyo wanapata nafasi ya kujua mahitaji ya mtu anayotaka kutoka kwa Mungu wake. Mungu akifanya kazi yake wao wanajisifu kwamba ndio waliomuombea mtu huyo akafanikiwa lakini na mfanikiwaji pia husahau kwamba yote ni neema ya Mungu na kuzidi kuamini kupitia mchungaji na kumbe daima hawezi kujiombea daima maishani mwake.
Blessed and highly favored, thank you Jesus God bless you Pastor, Praising His name🙏🙏🙏
Asante pastor nimeguswa na kweli yako ktk kujua kuomba, ...A prayer is an acknoledgement of God lordship in my heart....halleluyaa
Thank you very much pr Mbwana. Am really blessed by you sermons. May our Heavenly Father help us to live together in the heaven for eternal life
Baba Mungu akubariki sana na kukulinda,, mana na wengine kama ww mnaozungumza kweli ya Mungu, devil is against. But GOD has never failed.
Pastor ubarikiwe sana, Hili somo linenigusa sana. Kuna wakati najihisi sisitahili hata kulitaja jina lake kwa sababu alivyo nitendea wema na jinsi ninavyodondoka kwenye dhambi..! Amina
God bless u pastor
Lovely way of delivering scripture message. The Pastor is just too humble and easy to understand and follow. God bless him.
nimeelewa amina
Mungu akubaliki sana
OK
Thanks you postor kwa SoMo nzuli God bless you
Amen hakika nimejifunza jambo la maana Sana Mali hapa .. God bless you pastor
A very powerful preacher careful in presentation Gods blessings mbwana
I love this man, May God bless him
Thank you God for this powerful word be blessed pastor i always love your sermons may God bless you abundantly Amen
Aminaa ukiniubiria pastor ninaona mungu nishio mwona asante sana kwa maubiri matamu barikiwa sana pastor amen
A very powerful sermon..Thankyou for changing my mind.Am Blessed!
Asante Sana nilikuwa. Sijuwe kisi yakuoba mugu akubariki Sana Tena Sana Asante kwa mungu
Asante sana mbwana kwa mafunzo nzuri God bless 🙏 you
..
Amen Mwenyezi Mungu Ndiye wa kupewa sifa 🙏
Your the blessings our pr, elder Geoffrey
I appreciate..may Lord be praised
Am blessed pastor and l have known on how to pray
GODBLESS YOU PASTOR FOR YOUR PREACHING
Barikiwa baba kwa ujumbe,asante yesu
Mtumishi wa bwana Mungu akulinde na kuzidi kukutumia kufundisha neno lake.
Asante sana kwa elimu hii ya kiroho
Kwa neema ya Mungu leo nimejua jinsi ya kumuomba Mungu asante kwa hili neno
Amen
I feel blessed by this powerful words
Fact
Tunabarikiwa sana mchungaji ubarikiwe wewe na nyumba yako, utukufu kwa Mungu juu mbinguni.
Amina. Mungu na Akubariki sana na jamaa yako yote. Ujumbe huu umenibariki sana.
Nimebarikiwa Sana.Barikiwa Mchungaji
God bless u for the teaching..it has changed my mode of prayer
Thank you pastor my God bless you.
God lift u more pastor, I'm blessed with ure teachings
Mungu Wa Mbinguni Muumbaji Wa Mbingu na Nchi Kubariki Leo Nimejuwa Namna Ya Kuomba
Asante kwa mafundisho mazuri, ubarikiwe Pastor
Ahsante Sana kwa elimu hii ya kumjua Mungu
Thank you so much pastor, you've inspired me
Mungu akubariki Mchungaji..mwenye maskio na asikie Ujumbe wa Mungu
Asante kwamafundisho mazuri
Ameen thank you postr God blesss
Mungu ni muweza sana nimesikia neno nimebalikiwa
Thx very much for your words God bless you
Ameen......Pr
Be blessed my pastor elder geofrey mbwana
Amen. Barikiwa sana baba.
Pastor mungu akubariki sana........ Lishe bora kiroho unitia nguvu sana as a team.....
Barikiwa Sana Pr. We are really blessed by you
I learned a lot to you GOD bless u.
Amen. Be blessed pastor
Asante sana umenifundsha kitu
Asante pasta kwa fundisho
Amina paster, unamenibariki kwa msg hii nzito.
God bless you postor
Asante mch. Wngu
Pastor ahsante sana kwa fundisho hili
Asante pasta mungu ni mwema kwangu kwan ameniepusha na mengi
Amen PR. Barikiwe sana umenigusa
I MISSED THIS. ASANTE SANA PASTOR MBWANA
Amen nimebarikiwa sana
Nabarikiwa sana na mafundisho ya pr Mbwana.
God bless you
Be blessed pastor.
Ahsante kwa mafundisho mazur
Barikiwa sana mtumishi waMungu
Ahsante kwa mahubiri mazuri🙏🙏🙏
Amina amina amina
thnks pastor
mafundisho mazuri pastor jinsi ya kuomba
Asante pastor
God is great
Ila tupe vipengeli vya kusoma kuhusu hili somo 🙏✍asante
AMEN 🙏🙏
Amna kunawat inanitokea mm binaps naomba ukunafikir vingine Leo nimejifunza
Nimebarikiwa,Siku hizi uko wapi,sikuoni hope channel!!
Ni kweli kabisa baba mchungaji.
Karibu tena karatu pastor
Amina barikiwa mchungaji
Aminaa
aaha blessed dear pastor much.
Good lesson be blessed pastor
thank you pastor
Maombi ya kusimama mnayo ktk masinagogi yenu ni ya kinafiki yesu hayatambui Math 6:5
Amen
Hallelujah Amen
Godbless
Mch: tupatie mfumo wa kupata mahubiri yako yatubadilishe kwa kile kinachopungua kwetu tunapoelekea mwisho wa Ulimwengu huu tujazwe na Roho wa Mungu ilituwe washindi.
subscribe haps youtube na pakua maombi app kwenye sim yako
AMEN pst
be blessed our lovely pastor
mmebarikiwa sana na mtumishi anayeijua imani...natamni angekuwa mtumishi wetu
nimebarikiwa kupitia mafundisho yenu.
God bless you 🙏
🙏🙏🙏
Barikiwa zaidi
Amen
great message
🙌
nabarikiwa Sana na mahubiri yako ila lugha BABA unaniacha maeneo flani
Amen🙏🙏🙏🙏🙏🎓
ubarikiwe Pastor
Amen
Somo limenigusa sanaa
What a wonderful word
🙏
Amen
amen