SONGA NA SAMIA MIAKA MITATU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024
  • Mhe. Samia Suluhu Hassan tarehe 19 Machi, 2024 ametimiza Mwaka wa tatu tangu alipoapishwa rasmi kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na hapa yanabainishwa baadhi tu ya mafanikio yaliyopatikana katika muda huo.

КОМЕНТАРІ • 18

  • @rodrickmataba8999
    @rodrickmataba8999 5 місяців тому +1

    Such a great Illustration of the Unexpected doing BIG and HUGE unexpected stuffs... Longlive Madam President, Mwenyezi MUNGU akubariki sana... Tunategemea kukuona kwenye Ballot 2025 ❤

  • @sasi_tv6702
    @sasi_tv6702 5 місяців тому +1

    Makala Inafunza Na Inatowa Mawazo Finyu Yalio Tuamwa Kwenye Vichwa Visivo Na Fikra Chanya...Hongera Muheshmiwa President (Tanzania) Hongera Muheshmiwa Director (Ikulu)... Tanzania Ni Nchi Wananchi Tuishi🇹🇿🤞

  • @kasimkassam9565
    @kasimkassam9565 5 місяців тому +1

    Asanteni sanaa viongozi wetu wote kwa kazi eyendelee🎉🎉

  • @Hasey.7
    @Hasey.7 5 місяців тому +2

    Mama Samia Suluhu Hassan ooye'e ❤❤❤🫵🏾💪🏾💪🏾🇹🇿

  • @fatmaaliomar9733
    @fatmaaliomar9733 5 місяців тому

    Ahsante mama kwa kazi nzuri unazozifanya.Kazi iendelee

  • @user-yi8qv1lg5e
    @user-yi8qv1lg5e 5 місяців тому

    KAZI IENDELEE 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @musajoseph7896
    @musajoseph7896 5 місяців тому

    Mtafute nabii Boniface akusaidie katika ulimwengu wa roho

  • @joackimgeorge6306
    @joackimgeorge6306 5 місяців тому +1

    Mama anafanya kazi ila Wakuu wa Wilaya,Wakurugenzi,Watu wa Tarafa,kata ndiyo kikwazo cha maendeleoo ya Nchi.Nipo Kisesa Magu Mwanza miundombinu akuna nikama tumeachwa yatima bila Mama.Kayenze to Kisesa tunashida sana

  • @livinjoseph2728
    @livinjoseph2728 5 місяців тому

    Pongezi nyingi kwako sana Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa uongozi mzuri wenye maono mazuri kwa taifa letu .

  • @khamismgunya4519
    @khamismgunya4519 5 місяців тому

    Good mambo kama haya tusipo ambiwa tunaona kaz haifanyiki

  • @musajoseph7896
    @musajoseph7896 5 місяців тому

    Ikulu inatawaliwa kwanza katika ulimwengu wa roho kwanza

  • @michaelsamwel4169
    @michaelsamwel4169 5 місяців тому

    Congratulations 🎉3 years Mama kazi nzuri,, pia congrant Zuhura Yunus you know how to minimize information with important content, safi sana kazi nzuri

  • @kisenyuzimudachi1008
    @kisenyuzimudachi1008 Місяць тому

    Vema sana

  • @user-hg7oz8ze4d
    @user-hg7oz8ze4d 5 місяців тому

    Nipeni kaz jaman wakubwa kwenye railway

  • @musajoseph7896
    @musajoseph7896 5 місяців тому

    Mama samia nenda umuone nabii Boniface ili uwe salama

  • @musajoseph7896
    @musajoseph7896 5 місяців тому

    Ikulu hapatakalika patakuwa pamoto
    Ikulu imejaa ushetani

  • @user-kj3yy5cs1z
    @user-kj3yy5cs1z 5 місяців тому

    Hii ndii man halisi y kaz iendelee wapinzan mpoooo!?

  • @aishaseif7852
    @aishaseif7852 5 місяців тому

    Mama tusaidie Ile barabara ya kule kwetu tanga inayo toka tanga kwenda dar Kupitia pangani ijengwe imalizikize tutashukuru Sana tunapata tabu Sana kipindi cha mvua na watoto wetu kwenda Shule mtihan mana daladala zinakuwa hakuna. Kazi iendelee Samia juu