Hiyo ndio njia sahihi kabisa sijawahi ona fundi aliefanya hivi zaid yako brother big up hii njia tulitumia wakati wa upauwaji wa messeven school kule chato kwa magufuli tofauti tu sisi tulitumia bati za G 26 ndio tulizikunja mfumo wa zes Yani ni mkataba

👏👏👏👏👏
Tatzo liko hapo katika kuchumbia bati ndani ya ukuta bati baada ya muda linaoza next time usichimbie kuna jinsi yakufanya
Wala sio tatizo, hapo tayar kumewekwa side flash( side sheeting) ili kulilinda bati
Kwa macho.yqngu.lazima itavuja
Tumia kigezo cha kitalaamu, unahisi wapi hawajawekwa sawa na kwanini
Naweza kuwapataje?
wasiliana nasi kupitia +255762156762
Kupau bati ficha mnafanya kwa kwa bei gani
Kupau bati ficha mnafanya kwa kwa bei gani
Kupau bati ficha mnafanya kwa kwa bei gani
Kupau bati ficha mnafanya kwa kwa bei gani
Mko wapi wazeee
Mikochen, Dar es Salaam , Tanzania
no ya simu
Naomba contact zako za simu
+255762156762
Naomba mawasiloano nina nyumba ya aina hii ila Bado sijaipiga bati
+255762156762
Me kujenga nyumba ukiona mvua unaishi kwa mashaka sitaki 😂😂😂
Nyumba yeyote iki pauliwa vibaya itavuja tu
Wacha
@@swahiliunits hizi zimezidi bhana
Naweza kuwapataje?
Via phone call +255762156762 or email info@swahiliunits.com
@swahiliunits njoo Kenya bro
Naweza kuwapataje?
+255762156762