Watu wawili wamefariki baada ya jumba jingine kuporomoka Kiambu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 вер 2024
  • Watu wawili wamefariki baada ya jumba jingine kuporomoka katika eneo la ruaka kaunti ya Kiambu. Waliofariki ni mume na mkewe walioangamia baada ya jumba hilo la ghorofa tano lilipoporomoka

КОМЕНТАРІ • 4