Mhudumu wa bodaboda aliyetoweka apatikana amekufa Kiambu
Вставка
- Опубліковано 27 тра 2021
- Mhudumu wa bodaboda aliyetoweka apatikana amekufa Kiambu
Wakazi wa Nderu Kiambu wateketeza mali ya mshukiwa
Mwili wa Albert Njenga ulikuwa umezikwa nyuma ya bucha ya mshukiwa
Skuizi Kenya mtu yoyote akipotea eti anapatikana maiti kwani Kenya imerogwa🤣🤣🤣
Aki...shida iko wapi
waaaaa ii noma saana
Aki. Watu. Wamekungua. Wanyama. Siku. Hizy
Faith from kSA Pole Sana😭😭😭😭
This is so sad indeed 😢..what's happening seriously 😢
Society this broken😓
😭
Mmmmmh
Diiiii na gago🤔🤔🤔