Vigogo wa Azimio wanapinga mazungumzo yoyote na serikali
Вставка
- Опубліковано 9 лип 2024
- Mpasuko katika muungano wa Azimio la Umoja one kenya umeendelea kuibua cheche huku baadhi ya vigogo wa chama hicho wakipinga mazungumzo yoyote na serikali ya kenya kwanza. Akizungumza katika mkutano wa chama cha wiper jijini nairobi, kiongozi wa chama hicho kalonzo musyoka, amesema kwamba hatatumika kusafisha jina la kenya kwanza ambalo limechafuka.
Kalonzo I salute you, wewe sio wa kuhongwa, jinsi wengine wanafanya that's good
Good move kalonzo , let's Raila not take you for granted this time..ruto must go with his Raila.. their time has come
That is what we want from you Kalonzo i wish you be a president to mentor and usher in the younger fresh generation
Funny how Azimio thinks just because they voted No they are the government we need.
Raila loves Dialogue... let him have it😂
Raila is not a fool as you think.
Let GenZ talk.. Kalonzo you are 70years,, GenZs were born between 1997 and 2012... Kalonzo when will you know who you are?
😂 2012 ni alpha-Gen anaelewa nn sai
He's a Kenyan he has a right to talk nobody is saying that has taken over from Gen z let everybody be free to address issues facing all kenyan
@@chrispinesimiyu But he is not talking about peace,
Did you understand the news?Kalonzo said he will not Dialogue with Ruto since it was a GenZ matter
Ama watu wa odm walikuwa wanafikiria genz inawatetea haki zao 😂😂😂hii chama diyo itamaliza genz 😂😂😂
😂😂😂Maybe they thought so
😂😂😂😂 nyani sasa inataka kuchange misuti
😂😂😂😂 nyani sasa inataka kuchange misuti
😂😂😂😂 nyani sasa inataka kuchange misuti
Let them talk between themselves ....what is there to talk about anyway. Reducing your cabinet is as clear as day ..no dialogue needed there.
For the first time I salute mheshimiwa kalonzo
The writing was already on the wall and ODM was going to support Ruto in 2027,I don't know how Kalonzo didn't see this
Yes Kalonzo sema ukweli nayo ukweli ikuweke Huru Ruto Abebe mzikovwake mwenyewe Ameua watu saana watu waki dai haki yao ambyo Ni yeye ana faa kuisimamia ruto must go
Raila should keep off. It is Ruto and GenZ.
He's being Kofi Annan without being invited
azimio.msikubali..kabisa.msikubali.kuhogwa
Raila was doing well staying away and keeping quiet.....
Hata. Uda. Ishakufa. Subiri. 2027. Kwaja. Chama. Kipya. Mtajua. Chips. Ni. Vyazi
I agree with Steve, no dialogue
Watu wengi hapa wenye wanakashifu Ruto ni wenye walimpigia kura, so hii shida ni nyinyi mlijiletea wenyewe na mpende msipende ataenda kubadilisha katiba akae kama mseveni wa uganda, kwa hivyo nyinyi wenyewe ndio mmepanda na lazima ukipanda uvune, mlisema Uhuru kumi Ruto kumi, so bado hamjamalizia Ruto yake.
Akili kidogo hio
If miracle happens and ruto go home who will take over. Just asking.
Am not sure, gachagua, Weta, or military. I would prefer military .
Exactly musyoka.hapo sasa.serikali ya kenya kwanza imekuwa chafu
Raila kigeugeu, mpaka lini atatumika kama option
Thumb up kalonzo
Raila Odinga akwende huko kabisa na Zakayo na waizi wake
I will support kalonzo fully raila is apolitical broker nonsense
Congratulations kioni Jeremiah
I see Raila as a betrayed, He betrayed mudavadi and the current speaker now he wants to throw Kalonzo.... Bure kabisa
Raila is a businessman who takes advantage of every opportunity he sees.
@@classicwriters8525😂😂😂Exactly
Kalonzo knows he has very low bargaining power because he does not command a big population. Pale Kwa negotiating table numbers are everything
Eheheheheeeeeee nitacheka til kesho ngojeni 2042 hii ingine imeshaenda
The truth is dividing politics and Gen zs we are not going "back then"
Free History Lesson!
2000 NDP started to cooperate with the KANU-government of president Daniel arap Moi.
From June 2001 three MPs of NDP joined the cabinet
Creating the first coalition cabinet in Kenya's history.
First handshake
-2002 NDP merged with KANU. NDP leader Odinga became the Secretary-General of the united Party.
Gen z keep the fire burning 🎉
We aren't giving a fuck...wakwende na hand shake zao but as long as whatever we as Gen z want hasn't been done we aren't giving up!!!!
Kwan huyu Raila pia anataka kujiunga na mambo matatu ambayo ruto alituhaidi sisi wakenya,kwañza hii ua kupeleka watu mbinguni mapema😢😢😢😢
Raila ofious anakuanga hivyo ukimuonyesha pesa ameisha kabiza
Hii ni mbinu safii saanaa kuivunja makali azimio juuu watagawanyika
the pplant from the start was to defeat Raila on the ballot and prop up Kalonzo -- you can see that Kioni man fornting kalonzo as the Leader of Azimio ------- soon Gachagua and Mount Kenya will back Kalonzo - and they will support kalonzo against Raila/rUTO
No comments. Let ruto pack and go.
Mtanyosha. Nanii.
Well done 👏 ✔️ 👍 👌
No dialogue between Ruto and Raila, Ruto carry your own cross.
Stand strong kalonzo
Hapo sasa
When was kalonzo clean?he was in the dirty moi regime for 20 years before becoming a kibaki project in 2007
Sasa nyani zinataka kubadili misuti kuptia mazungzo 😅😅
RUTO MUST GO
PERIOD
Kalonzo ako sawa kabisa
No to dialogue
❤
I rember there was a time Kioni was supposedly supporting Raila to become president only for people to later discover that in the polling station where Kioni voted, Raila got zero votes (Must be 2017 elections)
Kalonzo Ako sawa
But you were there
What does Kalonzo stand for??
Silly
Kalonzo Serikali utaionea Netflix. Gava wala haikuoni wa Muhimu sasa. Topic ni Gava Vs Youth only.
Poverty speaking 🔊
❤❤❤❤❤❤
Aende wapi?😂
Its 10yrs contract Mhpeople rlx
Poor man speaking
People above 40 years, who called?
Msishangae mkinyolewa. Nyie. Mambo. Yamungu. Sio. Mengi....yakuku. Ndio mayai. Huwa. Mengi.
Conmanship
We don't need politicians to dialogue on our behalf. We have seen these games over and over again. Wajinga wameisha
Kalonzo mchochezi
Raila usituangushe !
Ni kitu gani mpya inaletwa na hao akina kalonzo, kioni , martha, wamalwa, and etc bao wamekuwa kwa serikli tangu enzi wa moi mbaka wa leo hao wajinga wanataka kuchoma kenya.
Baba Can't be seeking peace after killings of innocent Kenyans, Stop being broker this dialogues never benefited any Kenyan neither implemented fully at any given time.
Rao and ruto quit
Kwani hawa loosers by their true name ni Gen z😅😅 we don't want u ni ruling Government and Gen z ama haulewi kingeresa😅😅😅
Let Raila go there alone it's not in the best interests of Kenyans after The Ruto regime has been chest thumping occasionally bragging how they won the elections let him full fill the promises
Mca katonyi your level is at county not national level let fight for development at your ward . Your work is to appear before a camera kyuso is waiting for your oversight
Vigeugeu
Kalonzo + kioni 😂😂😂 they failed to make raila president u think raila value u?? Haha kioni uko na kura ngapi ndaragwa na ulipata just 11% haha
Hunyu mafi rahira for years hamehisi kuhomba nusu mukate Saitan
Kalonzo 😂😂don't u know u don't have relevance in Kenya politics without raila ???
Useless man
Ruto remain in power tl 2027 as per constituon
Azimio imeisha hamna chao pia
So is true for UDA, in politics there's no permanent party or coalition. What works at that time takes center stage
Kalonzo was the chair of NADCO sasa saa hii anaruka hyo kwely ni watermelon kwely
Na wewe ni malenge.
ODM endani mkaongea na ruto peke yenu , hata ruto alinunua wabunge wenu wote ndio maana mnaona anawadharau , 😅😅 ruto call all ODm waingie uda OK , 😅
Fact check; The last I checked 73 ODM mps voted against the finance bill. Those who were bought for 2m are known.
Kalonzo wacha rais n baba wafanye kazi pamoja,
Sure. I think he wants to be included. That's all.
Azimio hawajielewi
Kalonzo wants nothing but ruto to fail he thinks he will be president if ruto weak.
Gen z you are going nowhere with your threats, you can not hold ruto at ransom, register in large numbers and vote him out in 2027,hii ingine ni upuuzi mko nayo na tutawaua tu, kwani kioni na kalonzo watoto wao si Gen z ama hao wazee ndo Gen z?
Nkt
We had lots of confidence with Raila but you're in the wrong court and your input is useless....just vie for the AUC position whereas your own country is on fire....birds of the same feathers flocking together..... history used to teach us that black was vs white but now history has taught us the vice versa...black vs black to please the west!....Kibaki Return If Possible (RIP,)and save us... we're your grandchildrens in the wrong hands!
Jubilee is dead, tutawanyoa bila maji 2027
Even uda is dead wait 2027
@@paulthogo9607 UDA is dead only in Nyanza
When was kalonzo clean?he was in the dirty moi regime for 20 years before becoming a kibaki project in 2007
You are lost