- 341
- 165 775
NURU YA SUNNAH.
Tanzania
Приєднався 24 бер 2023
ASSALAM ALAIKUM WARAHMATULLAH WABARAKATUH
➡ Hii ni chaneli makhsusi kwa ajili ya kusambaza na kueneza duruus, mihadhara, mawaidha, khutbah na kalima mbalimbali za walimu na mashekhe zetu
➡Lengo kubwa ni kutafuta radhi za Allah na kuielimisha jamii kwa mafundisho sahihi ya Quran na Sunnah sahihi.
➡kwa maoni zaidi tutafute Whatsapp kwa namba ⏩ +255628009906
au email
nuruyasunnah@gmail.com
ALLAH AWABARIK

24. JINSI YA KUTAYAMAM, SEHEMU YA PILI ||USTADH ABUUAQLAAN ABDURAZAQ QASSIM
24. JINSI YA KUTAYAMAM, SEHEMU YA PILI ||USTADH ABUUAQLAAN ABDURAZAQ QASSIM
Переглядів: 39
Відео
23. JINSI YA KITAYAMMAM||USTADH ABUU AQLAAN ABDURAZAK QASSIM
Переглядів 2322 години тому
23. JINSI YA KITAYAMMAM||USTADH ABUU AQLAAN ABDURAZAK QASSIM
22. YANAYO WAJIBISHA KUOGA, sehemu ya tatu,||ustadh abuu aqlaan abdurazaq qassim
Переглядів 2722 години тому
22. YANAYO WAJIBISHA KUOGA, sehemu ya tatu,||ustadh abuu aqlaan abdurazaq qassim
21. MAMBO YANAYO WAJIBISHA KUOGA, sehemu ya pili
Переглядів 19День тому
21. MAMBO YANAYO WAJIBISHA KUOGA, sehemu ya pili
20. Mambo yanayo wajibisha mtu kuoga||ustadh abuu aqlaan abdurazaq qassim
Переглядів 38День тому
20. Mambo yanayo wajibisha mtu kuoga||ustadh abuu aqlaan abdurazaq qassim
19. Mambo yanayo tengua udhu sehemu ya tatu|ustaadh abuu aqlaan abdurazaq qassim
Переглядів 25День тому
19. Mambo yanayo tengua udhu sehemu ya tatu|ustaadh abuu aqlaan abdurazaq qassim
18. Mambo yanayo tengua udhu, sehemu ya pili||ustadh Abuu Aqlaan
Переглядів 23День тому
18. Mambo yanayo tengua udhu, sehemu ya pili||ustadh Abuu Aqlaan
17. MAMBO YANAYO TENGUA UDHU ||USTADH ABUU AQLAAN ABDURAZAQ QASSIM
Переглядів 18День тому
17. MAMBO YANAYO TENGUA UDHU ||USTADH ABUU AQLAAN ABDURAZAQ QASSIM
16. NAMNA YA KUTAWADHA KWA MWENYE BANDEJI AU KUVUNJIKA||ustadh Abuu Aqlaan Abdurazak Qassim
Переглядів 17День тому
16. NAMNA YA KUTAWADHA KWA MWENYE BANDEJI AU KUVUNJIKA||ustadh Abuu Aqlaan Abdurazak Qassim
15. SIFA ZA UDHU NA KUPANGUSA JUU YA KHUFU MBILI||USTADH ABUU AQLAAN ABDURAZAQ QASSIM
Переглядів 14День тому
15. SIFA ZA UDHU NA KUPANGUSA JUU YA KHUFU MBILI||USTADH ABUU AQLAAN ABDURAZAQ QASSIM
14. MLANGO WA TWAHARA||sifa za udhu||USTAADH ABUU AQLAAN ABDURAZAK QASSIM
Переглядів 46День тому
14. MLANGO WA TWAHARA||sifa za udhu||USTAADH ABUU AQLAAN ABDURAZAK QASSIM
13. KUONDOA NAJSI SEHEMU YA PILI|\\USTADH ABUU ANAS ISMAIL KIZA
Переглядів 36День тому
13. KUONDOA NAJSI SEHEMU YA PILI|\\USTADH ABUU ANAS ISMAIL KIZA
12.KUONDOA NAJSI||USTADH ABUU ANAS ISMAIL KIZA
Переглядів 50День тому
12.KUONDOA NAJSI||USTADH ABUU ANAS ISMAIL KIZA
11. MLANGO WA KUKIDHI HAJA SEHEMU YA PILI||USTAADH ABUU ANAS ISMAIL KIZA
Переглядів 26День тому
11. MLANGO WA KUKIDHI HAJA SEHEMU YA PILI||USTAADH ABUU ANAS ISMAIL KIZA
10. MLANGO WA KUKIDHI HAJA||ABUU ANAS ISMAIL KIZA حفظه الله
Переглядів 22День тому
10. MLANGO WA KUKIDHI HAJA||ABUU ANAS ISMAIL KIZA حفظه الله
9. MLANGO WA VYOMBO ||Ustaadh Abuu Anas Ismail Kiza
Переглядів 3214 днів тому
9. MLANGO WA VYOMBO ||Ustaadh Abuu Anas Ismail Kiza
8.MAJI ||KITABU CHA TWAHARA||USTADH ABUU ANAS ISMAIL KIZA
Переглядів 1414 днів тому
8.MAJI ||KITABU CHA TWAHARA||USTADH ABUU ANAS ISMAIL KIZA
07.MAJI ||KITABU CHA TWAHARA ||ABUU ANAS ISMAIL KIZA
Переглядів 714 днів тому
07.MAJI ||KITABU CHA TWAHARA ||ABUU ANAS ISMAIL KIZA
06. MLANGO WA MAJI فصل في المياه ||UTAADH ABUU ANAS ISMAIL KIZA
Переглядів 4421 день тому
06. MLANGO WA MAJI فصل في المياه ||UTAADH ABUU ANAS ISMAIL KIZA
05. HUKMU ZA FIQ-HI SEHEMU YA PILI||USTAADH ABUU ANAS ISMALI KIZA
Переглядів 2621 день тому
05. HUKMU ZA FIQ-HI SEHEMU YA PILI||USTAADH ABUU ANAS ISMALI KIZA
04. HUKMU TANO ZA FIQ-HI||USTADH ABUU ANAS KIZA
Переглядів 3921 день тому
04. HUKMU TANO ZA FIQ-HI||USTADH ABUU ANAS KIZA
02. UTANGULIZI WA KITABU||ABUU ANAS ISMAIL KIZA
Переглядів 4121 день тому
02. UTANGULIZI WA KITABU||ABUU ANAS ISMAIL KIZA
01.TARJAMA YA MTUNZI WA KITABU MANHAJ SALIKIIN||USTAADH ABUU ANAS ISMAIL KIZAحفظه الله
Переглядів 5021 день тому
01.TARJAMA YA MTUNZI WA KITABU MANHAJ SALIKIIN||USTAADH ABUU ANAS ISMAIL KIZAحفظه الله
UJIO WA MASIH DAJJAL NA FITNA ZAKE ||ustaadh abul mundhir salim حفظه الله
Переглядів 60Місяць тому
UJIO WA MASIH DAJJAL NA FITNA ZAKE ||ustaadh abul mundhir salim حفظه الله
HUU NDIO UBAYA WA KUACHA NJIA YA SAWA YA SALAF||abul mundhir salim
Переглядів 103Місяць тому
HUU NDIO UBAYA WA KUACHA NJIA YA SAWA YA SALAF||abul mundhir salim
07. MWISHO, KULAZIMIANA NA SUNNAH KATIKA ZAMA ZA FITNAH|USTAADH ABUL MUNDHIR SALIM
Переглядів 21Місяць тому
07. MWISHO, KULAZIMIANA NA SUNNAH KATIKA ZAMA ZA FITNAH|USTAADH ABUL MUNDHIR SALIM
06. MASIHI DAJJAL NA FITNA ZAKE||Abul mundhir salim حفظه الله
Переглядів 12Місяць тому
06. MASIHI DAJJAL NA FITNA ZAKE||Abul mundhir salim حفظه الله
05. KUKAMILIKA KWA SHERIA YA DINI YA KIISLAMU||abul mundhir salim
Переглядів 18Місяць тому
05. KUKAMILIKA KWA SHERIA YA DINI YA KIISLAMU||abul mundhir salim
04. UBAINIFU WA UKAMILIFU WA SHERIA YA UISLAMU ||Abul mundhir salim
Переглядів 30Місяць тому
04. UBAINIFU WA UKAMILIFU WA SHERIA YA UISLAMU ||Abul mundhir salim
Allah akuhufadhi sheikh Abdallah humeid.. Unatuelemisha vyema sana
MASHAALLAH TABAARAKALLAH SHEIKH. NAMUOMBA ALLAH SWT AKUZIDISHIE AFYA NJEMA, UMRI, NA KILA LA KHERI DUNYA NA AKHERA NA PEPO FIRDAUSI PAMOJA NASI TUNAOSIKILIZA TUWE NA MWISHO MWEMA AMEEN
Amiin
Innalilah wainnailah rajighun
Kama huamin uliza walio fanya hiyo miamla
Mmmhhhh inategemeana na mwanamke sheikh
Kwa hiyo demokrasia ni halaal?.
Maashaallah❤❤
Jazaaka lllahu khayran😊
Sasa huo ndio msimamo wa watu wa tabliigh? Hebu wacha kupotosha watu shekh. Eti maswahaba hawakua na elim huo wala sio msimamo wa tabligh
1:41
Innaalillah wainnaailayh raajiun 😢😢😢 ni msiba mzito sana maana yake hata mtume hakua na elimu maana hao maswahaba mwalimu wao ni mtu s.w.a Je sheke ulimkabili huyo tablikhi na kumpa elimu
بارك الله فيك
Shukran sana jazaakallahu khayran y Ustadh Kwa ukumbusho mzuri
Naomba Allah
Baarakallahu fiik wa Jazaakallahu khyra Uhibbukafillah Alhamdulillah
Hilo ni la kweli kabisa
wallahi nampenda shek abdallah kwaajili ya allah kwakuonge maneno yaliyo nyooka kabisa allah akulipe kila la kheri.
kweli kabisa
Shukran ahekh
Baarakanllah fiykum wajazakumnllah khairay
Akhy, WAFIIK BAARAKALLAH
Shukran sana Kwa ukumbusho mzuri Sheikh, jazaakallahu khayran
Kwa sababu nyie hubadilisha wanawake kma nguo
Akiwemo mama yako
Allahu Akbaru
Inkwell kwasasa ndoa zimekuwa si muhimu tenaaa...Eti husema yanini kuoa ikiwa unapata utakacho kwa leal moja. Mungu Atuongoe njia iliyo sahihi
Huo ni mtazamo tu, halafu ni ubinafsi.
Nikweli mm wakwanza nikijuatu nampangia kilakitu pesaikitoka aniambie kaitumia je 😂😂 peni na daftali mezani
Eti mbona yesu akujenga😂😂😂😂😂
Na benk account za bank ziwe mbili true shekh
Sheikh sahih hujakosea
Cyo kweli kila penye mafanikio bac mwanamkee yuko nyuma ya hlo labda awe hana mapenz yakweli na wew
Sheikh yuko sahihi hajakosea
Huyo mwanamke ni mama sio mke kaka
❤❤❤mungu Wangu tusamehe Sidi wakosefu allaah wakibaroh 🎉🎉🎉mungu naomba unipe MUME wahaki ilimwisho Wangu uwewa kheriii
Aamin..utapata mume dadangu nawe Rudi Kwa Mola wako kisawa sawa
Haya n mafundisho ya dini au stori tu Ikiwa n vyovyote vile si sahihi kusemwa na sheikh Na kaul hzi ndo znaharibu taswira ya waislam!!! Huyo sheikh muulze yupo radhi mtoto wake kike afanyiwe hvyo,yupo tyr mama yake afanyiwe hvyo, yupo tyr dada ake afanyiwe hvyo?? THIS IS NOT ISLAM!!!
Wadhanieni wanawake dhana njema na wanapokosea ni viumbe muwape nasaha na makosa ya baadhi yasivalishwe wote tujue ya kuwa Hawa wanawake ni ktk madhaifu wawili na ishini nao Kwa wema japo kuwa Wana madhaifu pia wame wao japo ni kidogo.
Suala Hilo ni hulka za watu SI wanawake tuu hata wanaume wapo wa namna.. Ninacho amini ni kauli ya mtume kuwa hawajuti wenye kushauriana.. wanandoa wanaendesha maisha Yao Kwa kushauriana bila kusahau suala la kiuchumi Allah huwa anatia baraka na Kwa taufiiq yake wanafanikiwa. Muhimu mtu atafute mume au mke mwenye tabia njema na mwanaume asisahau kuwa yeye ndie kiongozi wa familia.
Je mtume s.a.w aliishi hivyo na wakeze?
S.A.W ' kuandika hivyo ni makosa
Ni haki ya mke kujua chumo la mumewe kama jambazi hapo vipi? Au kama anachukua riba inakuaje? Vp wanaume wako wanapaswa kujua Pato la mkewe? Sbb pia wapo wanawake Allah kawaruzuku na kawakunjulia rizk kweli kweli?
Kweli sheikh Mimi nakuunga mkono Kwa hilo
Allahu Ackbaru
Allah akuhifdh sheik Abdhala humeid
Mimi napita tu
Allahu Aqbar❤❤❤❤
Huyo mke atakua si mke Bali atakua mfanya biashara
Kweli kabisa
Ukikimbilia safu ya mbele lkn ukitoka msikitini unawadharau na kuwagawa watu je, mbona husemi kuhusu riba, au vp tutawasaidia waislamu wanaoudhulumiwa, mbona maharishi ya quran unayapuuza, au hufahamu quran . ??unawania safu ya mbele usinukie , itakusaidia nn
Si kweli ..huu ni uongo kabisa
masha alla
Wewe sh kasome mashi hawana shahada tatu azanan hiyio hata wewe muite unayo taka kwenye swala tunashada mbili tu
Wewe sh kasome wewe bado sana