GAIRO SERIES EP |19&20| SEASON 01 FINALLY
Вставка
- Опубліковано 19 вер 2024
- GAIRO SERIES SEASON 02 COMING SOON....
Ewe mpenzi na shabiki wa GAIRO FILM MEDIA inakutaarifu kuwa GAIRO SERIES SEASON 01 Imeishia hapa na tutaileta SEASON 02 Soon as possible.
Hivyo kwa sasa kaa tayar kupokea kazi nyingine mpya na kali kutoka hapa hapa GAIRO FILM MEDIA... TUNAWAPENDA SANA NA AHSANTEN SANA
❤🎉🎉🎉
Big up!!!!!
Bonge la move respect one love gairo ❤❤❤
GAIRO bonge ya move ❤❤ GAIRO kwetu 😊
Wa kwanza nipeni maua yangu
Jaman Kaz nzur
Hongera director nocko pizzo kwakuja kuinua sanaa ya gairo unapizani ww paffect
A aaa vijana wetu mko vizuri sana kwa chaguo lenu zuri la kuitangaza
wilaya yenu nzuri gairo
Kupitia sanaa hii.
Maana tumewaona kwenye zoezi la mwenge wa uhuru kiukweli mmelinogesha sana hakika mnastahili
Maua yenu nasi tunatakiwa kuwashika mkono Asanteni sana.
Ahsante sana baba ni jukumu letu kama vijana kuakikisha tunaipambania gairo yetu