MIMI MARS: LA LA,ALICHOFANYA VANESSA MDEE HATUKUTEGEMEA, KASEMA WATANZANIA WASUBIRI, SIMBA KWENYE DM
Вставка
- Опубліковано 8 лют 2025
- Ni kitambo kidogo Mimi Mars hajakaa kwenye EXCLUSIVE Interview na Millard Ayo, hizi ni dakika 26 za kufunguka kwa Mimi Mars kuhusu goma lake jipya la 'La la" lililovunja rekodi, kasimulia ilivyokuwa baada ya kwenda Atlanta kumsalimia Vanessa na Mtoto wake, Simba kwenye DM na mengine.
My favourite presenter! Can't afford to miss your interviews! Much love from Kenya.
pamoja mpaka mwisho Doreen ! muchlove 254
Q
Nice one❤❤ brother
Unacheka kama kimkadashian
Mariiia wa jua kali binti wa Yesu 😊love you so much sister you are international figure
Jaman kaka Millard unaijua kazi yako vizuri jaman💕
Mimi mars ur ma fav musician ever🤍
Millard hakuna kama wewe.. big up broo🥰🥰🔥
You speak verywell.i usually views your interviews.
You're professional.
You make even your guest comfortable.i like that upp she feels safety around you.
Watching 👀from Sweden🇸🇪.I like that.well done men
Jaman nampenda Sana minmars
Ulitisha Sana kwenye jua kali
Na napenda Sana nyimbo yaKo ya mua ni🔥
Mimimars na vee money 💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘💘ma fav pretty girls
Minmars nampenda muda wote anacheka 💞💞💞💞💞💞💞💞
Millard hongera mno, unajua broo
The lady is absolutely gorgeous
Tunampenda maria wetu 🥰🥰🥰🥰🥰
Professionalism na creativity ndo kitu nakipenda kwenye interviews zako kitu ambacho kimeniinspire sana katika kazi sana .Zidi kupiga kazi safi, love nyingi kutoka 254 Kenya
I agree with you
asante sana Malenga, tuko pamoja mpaka mwisho
@@millardayoTZA karibu, zidi kusukuma kazi
Millard anajua sana kumfanya mtu kuwa confortable sana kwenye interview inamfanya mtu afunguke zaidi na hata kama kuna kitu mtu hataki kuweka wazi anajitahidi kumpa privacy yake bila kumforce huyu jamaa ni level nyingine
asante sana Saida, pamoja mpaka mwisho
@@millardayoTZA😊
Uko vzr mno ktk kazi yako Allah akutunze Milard
Amen, asante sana Bahati
Appreciate Millard ayo
shukrani Majdi, pamoja sana mpaka mwisho
Waw nawependa sn hii Familiar ya kina Venessa jmn...😘😘😘😍😍😍Nakubali Interview zko Bruh wng
My favorite Mimi Mars ❤️❤️❤️
asante kwa kutazama Maryam !!!
Mimi Mars l love you so much
Mazee Ayo we hunibamba sana na interviews zako, much love from Westlands Nairobi.
pamoja sana mpaka mwisho Gibson ! peleka salam kwa Watu wangu wa Westlands
Mwambie wakenya tunampenda Sana
Mimi nakupendeni sana jmn nyie watu! Big up mirad ayo hata sijutiag kumaliza zangu MB ktk Chanel yko . Wafanya vitu kwa usahihi mno na wala hukurupuk.
Goooooooood ayo
Waooh nemeenjoy
Nampenda sana huyu dada❤️❤️
asante kwa kutazama Edda !!
NAPENDA SANA KAZI ZAKO BROTHER MILLAND AYO ILA MIMI MARS NIMZURI SANA TENA SAAANA. 🇰🇪🇨🇿
pamoja sana Ndugu yangu
Interview ya kizazi sana brother Millard 👍
Ayo uko vzr kwa interview zako nakufatiliaga sana..
Shukrani Paul, tuko pamoja mpaka mwisho
Ayo Mimi hufurahia sana vipindi vyako.
can't miss mallard interviews from 254
muchlove Doreen ! tuko pamoja mpaka mwisho
Beautiful girl damn❤️
Your like your sister we love you mimimars always your are good like your sis*** v
Congrats........
I like her
Wooow...I love de interview😂😂Millard I say ure de best...napenda interview zako sana...God bless u man🙏love u from Kenya❤️❤️
Muchlove kwako Winny !! shukrani sana, tuko pamoja mpaka mwisho
So much love from Tanganyika
pamoja sana mpaka mwisho Mary
Nice
Nampenda sana huyu dada jmn nikirudi tz nitamsaka tupige hata picha❤❤❤❤
Ni mdogo wake huyo sio vanessa
@@rizoibrahimovich8217 oooh kumbe shukrani brother❤❤❤
Mimi Mars mdogo angu wa damu ujue!mpare mwenzangu na wa Ar mwenzangu nakupendaaa dogo
Nimependa sna kka ulivyo jibu comment za wadau wako. Hongera sna, nakukubali Millard Ayo
😊mashaallah jamani 🥰
asante kwa kutazama Kellen
Tunaooshi huku... Tunamiss sana sana tena sana vyakula vya bongo aisee
nadili na wingstop tu upande huo
Awoooooooooote!!! 💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥
Safe sound
nmefurah kukuona Millard bt nmemmis vido❤
Asante Grace, yupo sana mchek kwenye playlist ya HABARI ZA MASTAA kajaa tele
Noma Sana brother pongezi kwa hii manzi💪hatushindwi sisi❤️
au sio au sio 👊🏿
Interview zako bro nitamu sanaaaa,,,,,,,,
Tupo Asia tunakuwakilisha mama
Ila milard😂
Watching from 🇱🇷🇱🇷.
🙌 🙌 🙌
Mimi mars chuga queen
Kali sn
Upo vizur kaka hongra akunaga kama wew
Ayo unanikosha sana nahiyo sauti Yako ya zege nakukubali sana big
pamoja sana Hamza, shukrani
Millard.. nimesikiliza.. Moyoni kimoyo kama umemdondokea Mimimars Vileeee 😂🤭Nisamehe lakini....
Namu penda sana mimi mars kutoka kongo
Murembo ❤❤❤
🤝
Millard ulikuwa unampenda sana Vanessa( rafiki) umemuulizia kama mtu uliyemmiss sana
I just loved the way she talked she very nice and I wish I can get a sister like her to be honest 👌🥰🥰🥰🥰♥️♥️❤️🌹💋🔥
Kweli huyu ni crush wa millad
Millard comment yako pliz🥰🥰🥰
Ilibidi nirudi kuangalia iyo nymbo kwnz😅 kweli bhana mdundo ni wa ukwee kabsa
Amshuru Mario tu haijawahi kufanya nyimbo kama hii bila Mario kiukweli Mario anahote mashaili nimusanii WA kisasa kila ngombo afafanyalo noma.......... Naogopa na armo noma
Amazing interview 👌🏽
pamoja sana Faudhia
Big up interview ✊✊✊
👊🏿👊🏿
🥰🥰
Let's enjoy 🙌😂
🔥🔥
Wa kwanza leo
hongera sana kwa kuwa wa kwanza kutazama Glory, tuko pamoja mpaka mwisho
Kidizain Millard unamipango hapa.
😂 😂 😂 😂 😂 😂 Nyoosha maelezo
❤❤
Watching all the way from China, Interview safi💥
muchlove Wansibho !
ayo ni levo za mbere kabisaa
Contact zako Millard naziomba kna jambo
Ila mimi Mars ni mzur balaa
Hilo pini la lala nimelikubal
Interview ya kibabe 🙌💪
Asante kwa kutazama Kefa, pamoja mpaka mwisho !
Kuikagua simu ya mtu ulie naye kwny mahusiano ni kulazimisha kutafta sabab za kuachana., kwnn ujihangaishe kuztafta km kwl unampenda, pia ikiwa hajaonesha dalil za kutotaka kuendelea na ww?
Hiv watumnajua huyu dada ni kama Miladi
Sikuwahi kumfuailia huyu dada kwenye mziki ila sasa namuangalia kwenye jua kali ndo nimeanz kumfuatilia vizur duh unaniacha hoi sana binti mlokole 😂😂😂
Millard nipe namba yako
Mwanangu Amanda in NY na yeye Anasema wabongo na yeye hawaendani... Naelewa na huyu binti kabisaa...
Mars mbna kama anaruka viunzi sana😂😂😂😂😂
umeona sio 😁
Hujawahi kuniangusha milady ayo🤬🤬🤬🤬
Mery..wa lukasi
💪💪
Huyu mtt mzuri kuliko dada yake
Millard iyo tano mliyopeana ni sign ya freemason msipende kuitumia mtajikuta pabaya bila kujua,ushauri tu
We umejuaje dear
Mimi mars usiseme kupata mtto bado ufikirie now unamiaka mingapi usije ukamlea mtto uzeeni
Jaman ebu muacheni huyu binti anaukubwa upi jamani umri wake ata miaka 29 bado jamani du TZ
@@vanessarobyn4584 Ww kazaliwa 1990 na vanessa 1988 miaka 32 unaona midogo labda kama anataka azae na miaka ya kama dadaake
@@vanessarobyn4584 Ww kazaliwa 1990 na vanessa 1988 miaka 32 unaona midogo labda kama anataka azae na miaka ya kama dadaake
Haaaa we uliezaa mapema umefaidi nn acheni ushamba kuzaaa kuzaa ukizaaa wewe inatosha
Wapili...hahahaaaa
pamoja mpaka mwisho Hadija
❤❤❤❤
❤️❤️❤️
🥰