JE, NI NANI MWENYE HAKI YA KUKAA NA WATOTO WAKATI WA MGOGORO WA MKE NA MUME? (HUBBUL HALAL)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 лис 2024
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

КОМЕНТАРІ • 9

  • @MesaidiAli
    @MesaidiAli Місяць тому

    Kipindi kizuri mno....MashaAllah kirudishwe

  • @fatimasaid9469
    @fatimasaid9469 Місяць тому +2

    Alhamdulilah. Sheikh Khamis unapita kwenye haki ameen ya rabil ❤❤❤❤

  • @Fathasssane-vs2th
    @Fathasssane-vs2th Місяць тому +1

    Mashaallah

  • @zedpineaple7824
    @zedpineaple7824 Місяць тому

    Allah awape umri mrefu mzidi kutufundisha

  • @queentanitah1346
    @queentanitah1346 Місяць тому +1

    Asalaam alaykum, hii mada ni kubwa na inatesa sana watu wake kwa waume, lakini mmeifupisha sana kaka yangu. Tafadhali tunaomba kipindi kirudiwe kwa urefu kidogo. Ikiwezekana watazamaji tupewe nafasi ya kutuma masuala ili tupate majibu. Shukran

  • @Khadjaty
    @Khadjaty Місяць тому

    Mada nzuri sana jmn twaomba muendelzzo

  • @naimajuma3577
    @naimajuma3577 Місяць тому

    Asalaam Aleikum sheikh je kma n mtoto wa nje ya ndoa yule mume amekubali kuishi nae na kuwa kma babake inaruhusiwa au

  • @ashaidd2912
    @ashaidd2912 Місяць тому

    Sasa shekh km baba kafariki je ni sahihi mama wa watoto kubaki kulea watoto wake hd watakapokuwa? Maana hawana msaada wowote

  • @subralugege7019
    @subralugege7019 Місяць тому

    Huku wqnaleta elfu 60 kwq mwezi watoto 2 na watoto chini ya miaka 2 😂😂😂dhulma italipwq na Allah