Asalaam aleykum, shekhe mimi nipo nje kikazi ila leo jumatatu nimeota ndoto, baada ya ndoto nimepewa ujumbe kuwa kazi basi nimeachishwa kazi na boss😭mbaya zaidi kasema siwezi kufanya kazi popote pale na wala ofisini ajent kaniongelea vibaya pia nimejisikia vibaya sana wamenikatisha tamaa tena ya kufanya kazi nje ila Allahu sw mwingi wa rehma atajibu, 🤲🤲🤲kwa machozi yaliyonitoka
Inshaallah Allah Atakufanyia Wepesi Katika Majambo Yako Inshaallah... Kikubwa Muombe Allah Kila Jambo Ni Utaraji Kutoka Kwake Mazur Hakika Allah Ni Mwingi Wakupa...🤲🤲🤲

Allah akufanyie wepes
@@ZAINABUTINDWA Allahumma Amiin🙏🙏🙏