Kutetea huyu dame ni gumu 1: hakusema ako disabled 2:hakusema ako na mtoto 3: badala anyenyekee na ni yeye ako na makosa , ako na kiburi "mh niko hivi bydheway" Acha niende hivi narundi 🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶
@mohaclassicfamily no matter what never hide ua babe .actually men loves when u tell them the truth. If he told him earlier she has a babe it's could be easy for him to handle. Women let ua kids be the first priority in ua lives
Amezaa mtoto mzuri wallah mmefanya mbya kuleta mtoi kwa hii isue jameni na lavendar mungu alimuumba ivyo sio kupenda kwakw jameni kama uko mzima shukuru mungu hii imenitia uchungu aki😢
Say the truth and it will set you free...The right person will accept you the way you are with your child..The girl is wrong for hiding the truth..That was a desperate move and it ends wrong..Involve God and He will connect you with the right person for you..
It's fine dem alikosea kutoambia boy all this scenarios 'but this guy hafai kujudge maumbile ya huyo mrembo aki😢it's really sad 'boychild hujafanya poa weeh'!!
@RwachiryoraWema yes najua owongo si nzuri but mama hakumwambia vizuri,,,,vitu zingine unamezea mate, today is her tomorrow might be her or one of her child
@veronicaayako3174 the person that wrote the script is who to blame let me ask if a person plays a witch in movie does it mean the actress or actor ni mchawi. U blame the script. Tusiwe tunaingisha God kwa vitu myu ametunga. I get what u mean but they r acting a script
Mimi nimewai date mtu kwa Facebook,,siku moja kukapanga tutameet weeeh sema kiliniramba😂😂😂😂i meeet a man that is not the one he sent a picture 😭 na ilikuwa usiku ilibidii nilimruka hapo nikamuacha ikabidii niombe pakulala nikarudi hadi kitale the following day😂😂😂😂
😂😂😂😂pia mm niliona miujiza nilidate pia but uzuri nilifika mahali tulikuwa tunameet nikamuliza umevaliaje ndio nikuone akanielezea nikapata n mzee lika ya dad nilishindwa kucheka wee mm nilimdanganya vile nilivalia ndio nikapita na nikamgonga mkono nikamwambia sorrrrrrr😂😂😂😂nikarudi manze
Waiting bro usiseme huezi date k8wete si yeye alijiumba hivo better yeye ataishi na heshima kwa ndoa yako kuliko slaygueen wenye tunaona vile wa na fanyia boychild viwete ni wengi si lazima awe na ulemavu
Wacha kulaumu kijana....same Ako na makosa.hajielewi juu angesema ukweli .. Kijana pongezi kwa kukanyaga kubwa kubwa juu huyu dame pia ni mjeuri na mwizi
From the time Eastern TV was ankwand, I have never again believed on these loyalty tests.. Some of the lies in this video... 1. Someone travelling from Qatar with a back bag.. Ata kama ni kupoteza bag haziwezi sahaulika zote hivyo anasema bags zimeachwa Ethiopia.. 2. International arrival na mtu anatokelezea side inakaa msitu 😂 3. Kwani hana familia wanaweza kuja pia kumpick kutoka kwa airport.. 4. Moha goes direct kwa chats za boy na mamake. How did he know that there was something suspicious??? The whole script not making sense
Ladies let's not hide our identity to find love,,,, TRUTH is a simple word when mention but it carries alot of meaning.........never pretend to be that somebody you know you can't be..........skurahisi😢
Mi nachoka venya huyu mjamaa anauliza maswali then anabaki kushangaa tena anauliza tena anajibiwa tena anashangaaa bt to speak the truth huyu mjamaa hataki huyu dem juuu ya vitu mbili1,DISABLE 2,MTOTO
Pole Mamaaa,Hukujiumba And INABILITY IS NOT DISABILITY Na Haikuwa Kupenda Kwako..Ugemuambia Tu Hali Yako Na Venye Uko Ili Akija Akuwe Sure Na Mwenye Anakujia,,Huyo Mwanaume Pia Achunge Maneno Yake Yenye Yanatoka Mdomoni Mwake,We Know Hakukuambia But Hungemuambia Ivo Kimaumbile.But Sorry Baby Girl, God Will Bless You With Yours Who'll Give You Love That You Deserve...Be Patient Mamaa..God's Time Is The Best...You'll Get Yours...Though Tujifunze Kusema UKWELI Aki..That's The Main Thing Kwa Relationship.
Mbona uongo sasa. I can't believe this. Siungesema ukweli kama mbayambaya. Then uko na mtoi . Mbona unamficha. Just be true my sister. Stop blaming the guy. 🚶🚶 Terrible nashukuru mungu sinaga Kuma
Janet-p6k 😂😂😂 hata mm niko single na 3boys mwingine aliniambia ananipenda nikamwambia ukweli niko na watoi 3 akaniambia ananipenda pamoja nawatoi wangu akaniambia nimtumie picha za watoi wangu nikamwambia aje tukutane down awaone alipo waona ukweli aliwapenda sana juu ni watoto hata wewe ukiona utawapenda juu wako na heshima sana hadi majirani wanawapenda but niliambia huyu mzee kwamba mimi kuolewa siezi niko sawa na watoi wangu juu sai niko na 33 yrs first born wangu anafanya kcse sai second ataingia form 2 next year last grade 2next year ukweli mimi nashukuru mungu juu niko poa na watoto wangu
@Janet-p6k yeah kumuita kiwete si poa na kusema ako na mtoi ,mtoi hana kosa but mimi siezi kubebelesa mwanaume hivo bora niko na watoi wangu ndoo furaha yangu
Lavender don’t be disappointed , you deserve better than this but in the next relationship please let the person know your status. If the person is meant for you, they will take you for you are.
Accept the way you are na mtoto ka uko naye, whoever loves u will always love u,,,,,tell someone the reality wakikataa kubali coz God created each and everyone with purpose dont force wait for His timing.... Lavender keep strong stll God loves u and you have a very handsome boy ❤may God bless and protect and provide for u all ❤❤❤❤❤
This girl can never be a genuine wife. If she’s started lying even before she meets the fiancée this means she’s good at this game of cheating then she’s not even remorseful instead she’s arrogant and rude. The guy is in shock and she’s playing the victim trying to make the guy feel guilty.she’s very cunning
@rolinekatand reckless to Even though haingechange anything at least he would have been prepared phycologically the guy is calm and she is denying that amekuwa akipewa pesa even though hawajai patana physically and she Is denying hure3021
Na yeye mbona hakusema ukweli? 2 years is a long time to hide the truth. Jamaa akona haki ju foundation ni uongo. Maybe ako harsh but amelipa mpaka ticket, akarudi kuanza life. Shock on him
She should be truthful and this guy has every right to say Yes or No because you can’t force love and I pray for them to find someone they can settle down with marriage is a life time commitment. So sad though
It's good to say the truth...just be proud of who you are..disability is not inability
💯 ju hasahii ata sikia vibaya zaidi bora angemwambia ukweli kama niku wachana wawachane bila kuonana
@@rahema907nipitieni guys
Pia Ako rud kweli
EXACTLY 💯
she could have told him the truth nayeye achague..sure he is disappointed.
lavender don't give up you will find someone who will love you the way you are
But only if she is transparent.
Don't worry God is with you dear dota ❤
the lady is rude
Lavender ,ndoa haiwezi anzwa na uongo.kijana hana makosa
🎤 😊
VERY TRUE 👍 👌
Hii tunasimama na huyu jamaa lavender angesema tu ukweli
True
True ni heri uwambie mtu ukweli kama ata kumbali sawa pia akikataa sawa kuliko kuingea uongo haki
Hehehe i blame the lady mbona hakumwambia ukweli about her looks 😮. Hapo hata siwezi mhurumia she did wrong to hide her personality from the guy.
Always be truth sama ukwelii Ndio mtu akitaka asonge ama atabaki .lies doesn't make
Kutetea huyu dame ni gumu
1: hakusema ako disabled
2:hakusema ako na mtoto
3: badala anyenyekee na ni yeye ako na makosa , ako na kiburi "mh niko hivi bydheway"
Acha niende hivi narundi 🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶
Ukweli purity lazima useme Ukweli kwa mtu
Huyo ako na clogs na amekuwa gulf wapi huko😂
@@Emmah-u8w😂😂 pia mm naulza Ivo ,hii n acting walai
Scripted
Truth sets us free you did the wrong decision for not telling your partner how you are
The lady ako na makosa 😢😢😢angeambia tu the truth
Ongeza volume plz
Nadhani alikuwa anaogoja the best time akifika
@Wilgister very true
Angesema tu the truth
Think alikuwa anahofia hatapendwa aki we don't have to judge her
Disability is not inability ni vizuri kusema ukweli be proud of who you are.i blame the lady jamaa hana makosa😢
Exactly angesema tu ukweli alafu isitoshe amekuja mpaka na mtoi😢😢
True
@@AntoniizCaylehnipitieni guys
True angesema ukweli, then anasema eti hakuona importance ya kukuambia 😢
@@ShacksiShish-m6gimgn na ajamwambia ako na mtoi
MI naraumu dame angemwambia tu kweli waelewane but hii ya kushtukia ni ngumu Sana
Kabisa hakumwabia ukweli pia mtoi hakumwabia sasa chali amestuka kabisa
Kabisa 😢
Kabisa😢😢😢
Kweli
Ni vipindi za moha😊
I blame the lady why should u hid mtoi tena why hid ua personality. Be proud of uaself
Mtoi haki ni baraka na handsome
Hakujua jamaa atamkataa
@mohaclassicfamily no matter what never hide ua babe .actually men loves when u tell them the truth. If he told him earlier she has a babe it's could be easy for him to handle. Women let ua kids be the first priority in ua lives
Guys uyu jamaa anajaribu ku challenge god ama? Ok!
@@ovoxo1691 he's bitter coz the lady has been hiding alot of things from him, angesema tu ukweli hata kama atakataliwa
Amezaa mtoto mzuri wallah mmefanya mbya kuleta mtoi kwa hii isue jameni na lavendar mungu alimuumba ivyo sio kupenda kwakw jameni kama uko mzima shukuru mungu hii imenitia uchungu aki😢
Makosa hakwambia kijana mapema
Shida sio kuwa lowered, shida ni Huyu madam sio genuine.
Kwelii
Awa mnasema eti mbona ukusema mafikiria nn ivo mungualifanya makosa kuumba watu viwete
Mm siwesi enda mahali na mtu anajua Niko poa kumbe mm kiwete ona angemwambia to
My name sake lavender to 👉laventah you look so black beauty mama God will bless you with a man who is loving
❤lovebeand💝💗✍️🙏🌷🌹
Love yourself first my sister then followed by others....usipojipenda hakuna mtu mwenye hatakupenda
Itabidi nicheke tu kidogo, enyewe n tricky,lkn lavender Ako n mtoi msupuuu, pole mama lkn n vizuri mtu kusema ukweli wake
Aliona jamaa hawezi mkataa
People should be honest !!!😢😢😢
Mm niko ivi bythaway 😢😢aki uko na kibuli mama
Dem akona kiburi mingi ghai 😮
😂😂😂😂
@@shanhakeem9435 😄😄😄😄sa utafanya🫢na niko ivi bythaway😂😂😂
@@Maliadoriz mingi sana aki duuuh
@@Maliadoriz😂😂😂usishautie cuzo yangu aki😅😅
Say the truth and it will set you free...The right person will accept you the way you are with your child..The girl is wrong for hiding the truth..That was a desperate move and it ends wrong..Involve God and He will connect you with the right person for you..
She' is beautiful❤❤ and kind to is cute my lord 😢
Akiwa truthful atapata mtu wake. Kuna watu hawajali disabiloties.
Dem angesema tu ukweli jamaa hana makosha
Unajua jamaa hakuwa anatalajia mtu kama huyo lakini angemwabia mapema angejua tu mwenye anakuja kupatana na yeye
Ukweli jamaa Hana makosa ,ata ingekuwa ni ww lazima ingekuwa shocked na ni kitu hakutaranjia.heri kuambia mtu ukweli mapema kuliko kufikia hapa
Kwelikabisa
Pole my sister
Ndeke kumbe withaa mupaka kuuu
Better to slap someone with the truth than hiding your reality😊
Mtakoma online relationship mundu kwa mundu dio poa
Hahaha 😂 mundu Kwa mundu sasa fanya hivi joo kwangu live kama Una mtu
😂😂 kweli Mundu Kwa mundu
It's fine dem alikosea kutoambia boy all this scenarios 'but this guy hafai kujudge maumbile ya huyo mrembo aki😢it's really sad 'boychild hujafanya poa weeh'!!
Aki ukweli nikitu yamaana sana unajificha kwa nn jipende vyeye uko😢😢
It's so bad,,she could have said the truth from the word go
Disability is no excuse for dishonesty
Very true 👌🏾👌🏾👌🏾
Pole sana lavenda kwa hiyo changamoto , Mungu ata kupatia atakaye furahishwa na kupendezeshwa na hiyo hali yako.
Angesema tu ukweli. Be proud of who you are
She needs to be loved aki,may the heavens interveen for her
Anaeza mkataa bt aoe bibi mwingine amzalie kiwete ataroka ama taaishi na huyo mtoi..
True
Jamaa hana shida,huyu dem angesema mwanzo ameficha mtoi na ulemavu wake,naona angesema maybe jamaa angekuwa naye akijua ako hivo
Lkn sion jamaa ako na shda mim huyu dem ndie alifanya makosa mbn hakusema ukwel
Aaai joyce. She could have told him the truth
@@immaculatemushira8192nipitieni guys
Pia wewe unawesa kuwa kiwete,usicheze na mungu,bona hukumu video call?????
Imagine hujafa hujaumbika 😢
Walai sio uongo
But jamaa hana makosa ni Dem ndio Yuko na makosa imagine hizo vitu zote zenye amemficha isitoshe mpaka mtoto surely angesema tu ukweli ndio awe huru
@@ShacksiShish-m6gUyu dema angeambia huyu jamaa akona mtoto na ni mlemavu akona makosa pia
Zii huyu dem ndio mwenye makosa angeambia huyu boy tu ukweli mara ya kwanza wakianza kudate akiachwa aachwe ama wadate
Her disability should not be a point of discussion the problem with her she was not open with him.
Na yeye kwani siku moja hatawahi kuwa kiwete, Lavender don't worry, God has a special one for you
That's not the point you tell someone the truth hata kama si kiwete na una mtoi bado sema ukweli tusianze kueka mungu kwa u wongo.
@RwachiryoraWema yes najua owongo si nzuri but mama hakumwambia vizuri,,,,vitu zingine unamezea mate, today is her tomorrow might be her or one of her child
@veronicaayako3174 the person that wrote the script is who to blame let me ask if a person plays a witch in movie does it mean the actress or actor ni mchawi. U blame the script. Tusiwe tunaingisha God kwa vitu myu ametunga. I get what u mean but they r acting a script
@@RwachiryoraWema okay dear 😊
Unasemaje? Nani alikwambia siku moja lazima mtu atakuwa kiwete? Kwani ni kifo?
People are afraid to be real in this crazy world.
I love lavender bro wekea this girl duka
Khai as long as anapenda mbona amkatae woiyee this girl is beautiful woi the problem angemshow ako na mtoi woiyee i feel for her pole girl🫂❤️
It's good to be true
Lavender be humble
Msichana ako namakosa angemwembia
Demu anakaa gaidi badala anyenyeke na yy ndio ako na makosa anaongea mbaya
Walai 😊
😅😅😅
Kweli
Ni wengi disabled gaidi......I know another group based in Nrb.
😂😂😂unafanya nicheke bure
please don't blame lavender sometimes it's hard to say something online because of low self esteem
You just say akikupenda fine akikataa atembeze
Angekua boychild who lied ataitwa marina ya ajabu. No she was wrong no matter how hard tell the truth and give him choice
Hakuna mwenye Hana ukiwete wake na sio lazima ukue unatembelea miti.uviwete ni mwingi
Yap, na wengine ni viwetewa akili😂😂😂
Truth will set you free... That man has a good reason to leave...
Akhy na feel huyu boy , maybe hii ni mtihani na ni mngumu
In a relationship try to tell your partner the truth,,,kama atawexa azonge mbele kama injili😮
Nvy12-6 😂😂😂😂 eti azonge mbele kama injili 😂😂😂😂 usiniue aki
@SusanMaroa-bb6vj 🤣🤣🤣
@Nvy12-6 huyu mwanamke aende kwa baby dady wake 😂 😂
@@SusanMaroa-bb6vj kwanxa huyo mwanaume baba ya hyo mtoto kama ashughulikii mtoto anastahili kufungwa ,,
@Nvy12-6 kabisa inafaa afungwe juu huyu dada hatawesa pkee yake na nikama baba mtoto aliweka mimba na akajitoa akaenda
Mimi nimewai date mtu kwa Facebook,,siku moja kukapanga tutameet weeeh sema kiliniramba😂😂😂😂i meeet a man that is not the one he sent a picture 😭 na ilikuwa usiku ilibidii nilimruka hapo nikamuacha ikabidii niombe pakulala nikarudi hadi kitale the following day😂😂😂😂
😂😂😂😂pia mm niliona miujiza nilidate pia but uzuri nilifika mahali tulikuwa tunameet nikamuliza umevaliaje ndio nikuone akanielezea nikapata n mzee lika ya dad nilishindwa kucheka wee mm nilimdanganya vile nilivalia ndio nikapita na nikamgonga mkono nikamwambia sorrrrrrr😂😂😂😂nikarudi manze
@ruthmomanyi1085 walaii 😂😂😂this thing is real sitawai date online 😂😂😂
😂😂😂weuuh mapenzi ya Facebook
@@mohaclassicfamily 😂😂😂😂moha izi vitu ni real for sure can't blame the boy for real 🤣🤣🤣🤣
Pia Mimi nilidate mwingine kumeet kwa airport tukaenda kwa hotel Wacha atoe mboro kubwa 😮😮nilitoka mbio sijawhai ona mboro kaa hiyo😮
The lady could hve said the truth b4 they meet
Lavender Mungu anakupeda jipede zaidi na usilasimize mwanaume akupede wanakuanga sumu
The truth shall always set any humankind free 😢😢
True
The lady is to blame
God be with you sister, don't lose hope. You've a pure heart and stand with God
Huyo dame si muitie lamonike 😊😊
Na wewe ungesema ukweli mnipitie guys tugrow pamoja plz
Waiting bro usiseme huezi date k8wete si yeye alijiumba hivo better yeye ataishi na heshima kwa ndoa yako kuliko slaygueen wenye tunaona vile wa na fanyia boychild viwete ni wengi si lazima awe na ulemavu
But atleast angeambiwa before
Bt kitu y kwanza Dem ageogea tuu ukweli boy ajue tu mwenye wanadate n yy hadi kuficha mtoi
Wacha kulaumu kijana....same Ako na makosa.hajielewi juu angesema ukweli ..
Kijana pongezi kwa kukanyaga kubwa kubwa juu huyu dame pia ni mjeuri na mwizi
Kipindi
Broo usimjaja huyo dem sio kupenda kwake ni kama alipata ajali ata ww unawesa pata
These are ppl who love u for what u have not who u are... that's not good.😢😢
Ungesema ukweli mamaa
Sema ukweli upendwe.ukikataliwa songa mbele kama ambulance
Irene -12m 😂 😂 ambulance inasonga juu inaesa hata kukungoga 😂 😂 😂
Ati wwe pia umeqnza kuniboo unafanya nacheka tena😅😅😅
From the time Eastern TV was ankwand, I have never again believed on these loyalty tests.. Some of the lies in this video...
1. Someone travelling from Qatar with a back bag.. Ata kama ni kupoteza bag haziwezi sahaulika zote hivyo anasema bags zimeachwa Ethiopia..
2. International arrival na mtu anatokelezea side inakaa msitu 😂
3. Kwani hana familia wanaweza kuja pia kumpick kutoka kwa airport..
4. Moha goes direct kwa chats za boy na mamake. How did he know that there was something suspicious???
The whole script not making sense
Haji ni scripted
Sio uongo Hawa wanatupima fao kwanza anakaa kuchanganikiwa ata zaidi ati Qatar😂😂😂😂
Me nilianza kuboeka especially when watch dog alituonyesha kina Pasta show wakiact
Kama hujawai travel usiongee juu hata ukitoka Kenya huendangi na bag huwa unazipata mbere
@@joycekungu4557 😂😂 unazipata mbele wapi?? You take your bags before you go out of the airport buildings
Kumbe this is the reason men insist on nitumie full picture!. Wah.....😢
Yupp!
@josephineo8546 But angesema tu ukweli. Mimi nami Huwa ninasisitiza on video call
Ladies let's not hide our identity to find love,,,, TRUTH is a simple word when mention but it carries alot of meaning.........never pretend to be that somebody you know you can't be..........skurahisi😢
Mi nachoka venya huyu mjamaa anauliza maswali then anabaki kushangaa tena anauliza tena anajibiwa tena anashangaaa bt to speak the truth huyu mjamaa hataki huyu dem juuu ya vitu mbili1,DISABLE
2,MTOTO
Very pain 😢😢wallah ..kwani kiwete sio mtu sually....hujafa hujaumbika broo
Woooiiye si poa pia yeye ni mtu akh
But ange mwambia tu ukweli
Hata kama ni kiwete bona afiche mtoi na Hali yake
@LucyWambugu-qi1hl mm siwezi ficha mtoi wangu utanipenda Sawa huta nipenda tembeza bwana
@@rahema907nipitieni guys
Disability is not inability. How I wish the lady could talk the truth from the beginning, trust could be build.
The kiburi in this lady 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
its good to say the truth, pole Dada
Pole Mamaaa,Hukujiumba And INABILITY IS NOT DISABILITY Na Haikuwa Kupenda Kwako..Ugemuambia Tu Hali Yako Na Venye Uko Ili Akija Akuwe Sure Na Mwenye Anakujia,,Huyo Mwanaume Pia Achunge Maneno Yake Yenye Yanatoka Mdomoni Mwake,We Know Hakukuambia But Hungemuambia Ivo Kimaumbile.But Sorry Baby Girl, God Will Bless You With Yours Who'll Give You Love That You Deserve...Be Patient Mamaa..God's Time Is The Best...You'll Get Yours...Though Tujifunze Kusema UKWELI Aki..That's The Main Thing Kwa Relationship.
It's good to be open to your partner
Kazi ya mungu inamakosa ata kama akumambiya ,mungu onekaniya huyu msichana ,bro mungu anakuona tu😢😢😢😢😢😢
Mbona uongo sasa. I can't believe this. Siungesema ukweli kama mbayambaya. Then uko na mtoi . Mbona unamficha. Just be true my sister. Stop blaming the guy. 🚶🚶 Terrible nashukuru mungu sinaga Kuma
😂😂😂
@saintmary703 polepole my friend
😂😂eti hunaga nn 😂😂😂
Kwa c angejieleza Kila kitu mm siwezi ficha mtoto hata wawe wangapi😢😢
Janet-p6k 😂😂😂 hata mm niko single na 3boys mwingine aliniambia ananipenda nikamwambia ukweli niko na watoi 3 akaniambia ananipenda pamoja nawatoi wangu akaniambia nimtumie picha za watoi wangu nikamwambia aje tukutane down awaone alipo waona ukweli aliwapenda sana juu ni watoto hata wewe ukiona utawapenda juu wako na heshima sana hadi majirani wanawapenda but niliambia huyu mzee kwamba mimi kuolewa siezi niko sawa na watoi wangu juu sai niko na 33 yrs first born wangu anafanya kcse sai second ataingia form 2 next year last grade 2next year ukweli mimi nashukuru mungu juu niko poa na watoto wangu
@SusanMaroa-bb6vj ndio iyo sasa ambia mtu ukweli akikupenda sawa akikataa sawa kuliko kukupotezea mda but uyo kijana ajafanya poa🥺
@Janet-p6k yeah kumuita kiwete si poa na kusema ako na mtoi ,mtoi hana kosa but mimi siezi kubebelesa mwanaume hivo bora niko na watoi wangu ndoo furaha yangu
Hata hapo mtoi was not an issue, being disabled ndo kijana hakuamini,mtoto anasingizia tu
Why people hide their selves, now look 😢😢😢😢, i will never hide anything from mee
Mwapenda kutafuta wa rembo online ayaa lavender mungu akupe nguvu wenye atuna sura wee
Nakuonaa nakutafuta😅😅😅
Mimi nataka picha zile alimtumia, yaani, hazikuwa na sign yeyote. Wa! Alafu Hiyo makosa yote Lavender amefanya kutosema ukweli, Bado Anakuwa mkali.😂😂😂
I brame the lady for the first time angekwambia akubali ama akose simple 😢😢😢
Nipitie nkupitie dear ❤
😅😅😅😅
@@Seal_nation unacheka 🤭🤭 hata Mimi nikiwa kinjana siwezi kubali
Lavender don’t be disappointed , you deserve better than this but in the next relationship please let the person know your status. If the person is meant for you, they will take you for you are.
Ata wee unaweza zaa na mwingine uzae kiwete kuliko laveda wee mlaumu tuu
Watu viwete
Ni wa maana sana
Watoto. Wai wako amazing
And future good leaders
She is beautiful and the kid too is cute
Sure
Accept the way you are na mtoto ka uko naye, whoever loves u will always love u,,,,,tell someone the reality wakikataa kubali coz God created each and everyone with purpose dont force wait for His timing.... Lavender keep strong stll God loves u and you have a very handsome boy ❤may God bless and protect and provide for u all ❤❤❤❤❤
Mm Niko side ya Chali, be proud the way you are,Na Yule anakupenda anakupenda tuu, angemwambia Niko hivi, so don't blame that man
Me too Mungu amsamehe huyo chali, Dem alikosea sana
Ukweli hata Mimi mtu akiniambia ananipenda namwambia nko na watoto Tano ndio awe anajua
Be truthful it is important
Ukicheka mwenye chongo, utazaa kengeza😢😢😢😢young man trust me, mungu atakupa kiwete😢😢😢😢
This girl can never be a genuine wife. If she’s started lying even before she meets the fiancée this means she’s good at this game of cheating then she’s not even remorseful instead she’s arrogant and rude. The guy is in shock and she’s playing the victim trying to make the guy feel guilty.she’s very cunning
And she is talking very rudely
@rolinekatand reckless to
Even though haingechange anything at least he would have been prepared phycologically the guy is calm and she is denying that amekuwa akipewa pesa even though hawajai patana physically and she Is denying hure3021
Moha naona uko na spirit ya kucheka😂😂
Lavender you are fearfully and wonderfully made but makosa ulifanya niku kosa kusema ukweli 😢😢
Maybe ni vile aliona jamaa ako serious akaamua amsurprise
Mbona unafanya nicheke...eti Surprise@@mohaclassicfamily
@@mohaclassicfamilyaty kumsurprise ?????watu tuko na sura mbaya tuko na shida...lakini lavender ni Black beauty
May God locate a man to this lady,,n Lav😊zoea kusema ukweli hata ivo msichana mrembo hakosi kasoro you are beautiful enough❤
Its like hamukuogea kila kitu kabla mumeet mm nitaabia mtu yangu yote heri aniache n ulemavu c ugojwa
Lavender is soo beautiful
Hujafa hujaumbika. Huyo kijana achunge, malipo ni humu humu duniani.....
Kweli kabisaaa ivo ndio hata mm nimeona
Na yeye mbona hakusema ukweli? 2 years is a long time to hide the truth. Jamaa akona haki ju foundation ni uongo. Maybe ako harsh but amelipa mpaka ticket, akarudi kuanza life. Shock on him
Waaah,so sorry to her but so rude,God help our ladies to speak the before engaging to a serious courtship relationship
Hapa kukona uongo fulani Jamaa ametoka Qatar na flota 😮😮
Relax,kwani huoni ako Airport
@MagdaleneMaingi-p7c watu c wajinga
@Verokimwesh inaitwa life ya majuu huku tunafaa slippers na socks 😂😂😂😂
@@carolinemuriithi9784 najua bt labda kemboi ndo anaweza home nazo akishikwa na alfazaa
Pia mimi nlikuja na sandals
She should be truthful and this guy has every right to say Yes or No because you can’t force love and I pray for them to find someone they can settle down with marriage is a life time commitment. So sad though
Hujafa hujaumbika,ungetafuta tu namna nzuri ya kumwacha na sio kumtoa kasoro hivo,
Ujafa ujaumbika 😢😢usimcheke kelema ujuii kesho yako😢😢😢Allah atusehm atyjalie mwisho ulio mwema
This generation and the truth is two different things
But truth will set you free heri useme too ukweli aky either akupende ama awache
Mm I won't judge ...but Lavenda you are beautiful na next partner utapata usifiche mtoi ,say the truth always in courtship ❤❤
Yes lavender accept the way you are and be proud
Si unaweza mfungulia biashara atamanage tu Wacha kuua huyo msichana moyo sio kupenda kwake 😭😭😭😭😭😭 22:57
Ipo siku yako mamaah na ukipata mtu mweleze life yako vizuri
The truth would set you free, always speak the truth lady, never lie 😂❤❤