Mama Lavender Spills On What Killed Mama Faustine After DCI Confronted Her😱Alihepa Na Pesa 😱💔

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 246

  • @periswairurl4288
    @periswairurl4288 13 годин тому +18

    Mama speak the truth and the truth will set you free.

  • @dorothyosoko4661
    @dorothyosoko4661 10 годин тому +6

    Team DCI and Moha God be with you through your case

  • @LidyaAl-i3z
    @LidyaAl-i3z 15 годин тому +14

    Watching from dubai D.C.I thanxs uko sura ya kazi mungu akuongoze kwa kazi yako

  • @annkiilu2510
    @annkiilu2510 14 годин тому +8

    Mbona watu wamegeuka wanyama hivi?, hongera Moha and DCI kwa kazi nzuri mnaofanya.

  • @KalekyeElizabeth
    @KalekyeElizabeth 18 годин тому +20

    Mbona nafeel mama lavender ako uai

  • @Tam.H.
    @Tam.H. 16 годин тому +11

    Mbona Leo napenda our DCI.......hakuna mchezo Kwa kazi

  • @NuruRashid-ml7oq
    @NuruRashid-ml7oq 16 годин тому +10

    Tunataka DNA test ifanyiwe kwa huyu Ashley na na aki na lavender please moha kazi safi unafanya mungu azidi kukubariki 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @loreenmwambinguloreen7373
      @loreenmwambinguloreen7373 9 годин тому

      Yes wafanye DNA alafu alisema watoto aliwapata njiani inakuwaje anajua kwenye uyo dada amezikwa hio ni story za jaba

    • @loreenmwambinguloreen7373
      @loreenmwambinguloreen7373 9 годин тому

      Then wajua huyu mama ndio amerusha hio sprit mbaya kwa lavender

    • @loreenmwambinguloreen7373
      @loreenmwambinguloreen7373 9 годин тому

      Ata mm nilishangaa ataokotaje watoto kwa njia na alienda mazishi ya mama lavender

  • @KELVINBRANDK
    @KELVINBRANDK 21 годину тому +16

    Waiting
    100peoples mnipitie niwapitie right now unasema uko number ngapí

  • @polly-h8z
    @polly-h8z 14 годин тому +5

    10 gd years working together,bila kujua family ya mama lavender,walete I'd ya mama lavender tujue familia Yao iko wapi wish tungekua hapo tusaidie kuuliza maswali na kuslap mtu akunie ajibu Kaa amekunia

  • @MercySanya-sn8gu
    @MercySanya-sn8gu 14 годин тому +5

    Bring them together waonge ukweli

  • @EdnahMonger
    @EdnahMonger 15 годин тому +5

    I thought Ashely ni sister akina lavender na faustine coz Hawa watu wako na Siri kubwa sana anyway let God protect our moha na akina faustine and lavender God mbele kama si mungu faustine na lavender hawangejua kama wao n mandugu

  • @GladysMonari-d4m
    @GladysMonari-d4m 10 годин тому +2

    Thanks moha na DCI,mbona anajichanganya hivyo,Kama alijitoa,alijuaje amekufa na anazikwa siku fulani!!!!!!

  • @TeresiaWanjiku-tk2py
    @TeresiaWanjiku-tk2py 15 годин тому +8

    Orphans really suffer...Mungu atusaidiange may God never forgive anyone who takes hand to make ophans suffer

  • @EverlyneAtuya-t3e
    @EverlyneAtuya-t3e 8 годин тому +6

    Kitu nimesoma kutoka kwa hii story, ni usiwahi kill mtu juu damu yake itakuwinda tu hata miaka mia moja hiishe

  • @RitahMilenja
    @RitahMilenja 8 годин тому +2

    this woman is speaking the truth

  • @NancyGachigi
    @NancyGachigi 16 годин тому +2

    Hawa wamama wawili hawakua wakijua itafika hivi Juz coz of 10 m Sasa wacha awkilipie ..MUNGU sio mtu kaa mwana damu Ogopeni MUNGU n live for HIM forever

  • @AnastasiaNKinya-gi5vw
    @AnastasiaNKinya-gi5vw 17 годин тому +3

    Nko on tu sana. Listening

  • @merrymerry5199
    @merrymerry5199 12 годин тому +1

    Aiiiii.... Dunia hii.... My God... Mtu anaua mzazi thn unachukua watoto kulea ukiwatesa

  • @shikusteve
    @shikusteve 9 годин тому +2

    Moha kindly fanyieni Ashley DNA pia maybe ni sister ya kina Faustine

  • @NatureWorld-c8u
    @NatureWorld-c8u 15 годин тому +1

    Mkono wa Mungu hakuna wa usinamisha,noboby can silence justice ,thank you God , your words are so true

  • @DaianaMakangai
    @DaianaMakangai 10 годин тому +2

    😢😢😢😢😂😂😂 ongelesha mama kiswahili wacha english mingi 😢😢 jamani 🫣🤣

  • @sarafinamuthoni8595
    @sarafinamuthoni8595 21 годину тому +26

    Huyu ashely ni sister yao kuna siri

    • @MaryKinyua-kw3gt
      @MaryKinyua-kw3gt 17 годин тому +2

      🙏🙏🙏🙏👏👍

    • @RoroRoserororo
      @RoroRoserororo 16 годин тому

      Kabisa

    • @PaulineMwaura-j6u
      @PaulineMwaura-j6u 14 годин тому

      Yap coz I remember sister yake akimuuliza ka yy ako n mtoto

    • @SWALHA577-y3z
      @SWALHA577-y3z 14 годин тому

      Yeah cz yake alitamka hio day wanagombana alimuambia azae watoto wake.

    • @MamrF-v9v
      @MamrF-v9v 13 годин тому

      Yaaa hapa kunakitu kweli

  • @sipiliankwamboka5193
    @sipiliankwamboka5193 11 годин тому +3

    Kuliendaje lavender akazalishwa na yule kijana wa mama faustine,kuna siri fiche apo

  • @marymasota7846
    @marymasota7846 5 годин тому +2

    God atatenda haki itapatikana

  • @RafhaelMuthadbon
    @RafhaelMuthadbon 11 годин тому +4

    Huyu mama anaongea ukweli naanza kuskia vibaya juu ya moha juu aeleawi alitumia lavender kuokota pesa lini n akpata wakati wa kumsomesha😢😢

  • @KarenusNafula
    @KarenusNafula 15 годин тому +2

    Kumbe mtu akufangi ,,,,nkama mama lavendar amekasirika,,

  • @ceciliamusavi-c8w
    @ceciliamusavi-c8w 11 годин тому

    I was waiting for this step of DCI. Thanks so much.Moha, God bless you

  • @zipporahmujiti5435
    @zipporahmujiti5435 16 годин тому +3

    Yani kwa akina mama lavender hawajui msichana wao aliuwawa na hawajui penye alienda hizi miaka zote 😢😢

  • @Everline-zt8qh
    @Everline-zt8qh 5 годин тому

    Asante
    Mama.kuwakazi.ulifanya.igekuwa.wegeni.ata.ageeda.shule

  • @tiffah1256
    @tiffah1256 13 годин тому +2

    Moha huyu mama ako na siri kubwa sana zimeni camera mfanyie kitu asememe ukweli😮😮

  • @ShiroNgure
    @ShiroNgure 10 годин тому +1

    nje after kupata watt mlilipoti kwakituo ya polisi?kama yes tunyesheni barua na kama No wachukuliwe hatua we need justice 😢😢😢😢

  • @Denniswise254
    @Denniswise254 10 годин тому +2

    Sasa apo ndo mnaharibu kuambia mtu eti yy ni Rika ya mamako , kubaliana na mm there's nothing she can say the truth, juu ataona akuna kenye unaeza Fanya,
    .... Piga mtu makofi mbili tatu pia mungu anaona you are doing the right thing,

  • @Mercy-f9r
    @Mercy-f9r 15 годин тому +7

    Hidden camera plus kunguni na wawekwe wakiwa pamoja wasemesane

  • @florencemuiruri6499
    @florencemuiruri6499 16 годин тому +16

    Muha put a hidden camera and put the ladies together simple

  • @JoyceKalekye-t3x
    @JoyceKalekye-t3x 14 годин тому +5

    huyu mama akifinywa vizuri ataongea kila kitu

  • @Princesssharleene
    @Princesssharleene 12 годин тому +2

    D A N kwa ashlay juu ni kama pia si mtoto wake na anakaa sibling wa lavender

  • @EvaKache
    @EvaKache 16 годин тому +4

    Ebu Moha ata huyo Ashley plz mfanyie DNA Juu Kuna kitu aki kinazungushwa aki

  • @FaisalAlota
    @FaisalAlota 14 годин тому +3

    Fuatilieni Hao wamama wawili ukweli ipatikane ata ikiwezekana wafungwe😢😢😢

  • @TecnoSp-e9e
    @TecnoSp-e9e 14 годин тому +1

    Asante saaana kwa kufuatilia kesi

  • @elizabethomoro5339
    @elizabethomoro5339 13 годин тому +2

    Wafanye DNA huenda Ashley ni dada ya lavender

  • @LLBOnline
    @LLBOnline 17 годин тому +6

    Hawa wamama walimua kina mama lavender wakachukuwa pesa hyu mama anachuwa kila kitu damu ya mtu ni mzito inawadai afta 21 years mfinye aseme ukweli

  • @MonicahWagana-vc1ff
    @MonicahWagana-vc1ff 17 годин тому +5

    Haki binadamu na pesa😢😢

    • @aminahassanali1190
      @aminahassanali1190 16 годин тому

      Hat cjui pesa zitawapeleka wapi na utakufa utaziacha😢

  • @jackmungerezah9012
    @jackmungerezah9012 17 годин тому +3

    Kweli pesa inapee watu kiburi .lavender na Austin mungu ata wapee haki yenu

  • @georginamaina2265
    @georginamaina2265 14 годин тому +1

    After regretting what you did please dci we need those kids right

  • @Ruthmueni-w1g
    @Ruthmueni-w1g 16 годин тому +2

    Hii pesa nikama ilikua ya mama lavender 💜 then Waka amua kumqua na wagawane watoi😢😢😢

  • @DaianaMakangai
    @DaianaMakangai 10 годин тому

    Naona spirit ya mama faustine imeanza kufanya kazi hao wamama watajutia 😢😢😢 hatakuwa imani 🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @sonniemsooh7613
    @sonniemsooh7613 7 годин тому

    Mbona akachukua watotoooo......She knows something

  • @lydia2696
    @lydia2696 13 годин тому +1

    Watoe siri hao watoto wawe ba amani rohoni

  • @austrinemutsotso1560
    @austrinemutsotso1560 15 годин тому +2

    The lady who raised fastine is Smart....she has all the information about the Lady who raised lavender...dig in wisely DCI... details zake ndizo zimetumika kindly zidisha uchunguzi n tell us..mlezi wa lavender ni innocent

    • @loreenmwambinguloreen7373
      @loreenmwambinguloreen7373 9 годин тому

      Yeah she knows everything..uyo mama ya faustin ni mkikuyu ndio na roho chafu mm nimuombezi na ninaona mama faustin ndio anajifunika kitambo muhushulike, mkimruidia awe ashaauza

    • @loreenmwambinguloreen7373
      @loreenmwambinguloreen7373 9 годин тому

      Kuna kitu nahisi sio swa

  • @Naomy-s9x
    @Naomy-s9x 17 годин тому +6

    Hao wamamaa wawili wako n siri hapo

  • @LamaribamJumbe
    @LamaribamJumbe 15 годин тому

    Mmhhh Huyu Mama Mwezangu na ni Mwanamke Mwezangu Wallah Hanajikanyaga Kanyaka Kweli Doooh Aisseh Mtihani Kweli Uhuu Weee 🙇‍♂️🙇‍♂️🙇‍♂️🙇‍♂️

  • @ZolufaMas-ie4un
    @ZolufaMas-ie4un 16 годин тому

    Hawa lazima watoe 10 million ya mama lavender

  • @sylviakiptanui9847
    @sylviakiptanui9847 15 годин тому +1

    Mohaa anakaanga last born ona sura😂😂😂❤

  • @MercyNadia-o1k
    @MercyNadia-o1k 2 години тому

    😢😢😢😢uyu mama anaongea ukweli yaawa

  • @Doriskapretty
    @Doriskapretty 4 години тому

    Af moha its gud mchukue simu za hawa wamama coz they arr communicating daily 😢

  • @NancyGachigi
    @NancyGachigi 16 годин тому

    Moha we love you keep up your GODS sent

  • @Doriskapretty
    @Doriskapretty 4 години тому

    Msipo onyesha hawa wamama thara war hakuna kitu mtapata,camera izimwe waonyeshe vita mzuri hadi waseme ukweli,juu mama lavender mzazi ni mwonga atasema ukweli wote😢

  • @SonniesoniaMuthoni
    @SonniesoniaMuthoni 15 годин тому +1

    Moha huyu mama ana jifanya anajua kitu ana fanya ebu pia mwangalie zile line lavender alisema n pia m sensitize simu zao

  • @salomewamuhu2252
    @salomewamuhu2252 14 годин тому

    Moha barikiwa sana kazi mzuri sana nawe ufike 100 sub by Feb🙏🥰🇸🇦

  • @pritpalkaur1160
    @pritpalkaur1160 14 годин тому

    OMG 😳 too much happening!!!!!!!

  • @Doriskapretty
    @Doriskapretty 4 години тому

    Team moha tupitiane guys❤

  • @veronicawakonyo7730
    @veronicawakonyo7730 4 години тому

    huyu mama ni innocent yule mama mwingine wa faustine ndie ako na hiyo story yote

  • @euniceshanii2980
    @euniceshanii2980 15 годин тому +2

    Huyu mama kama alileta lavender nimzuri labda makosa apatikane alihusika na kifo cha mama lavenda laf sister ya huyu mama DCI Kitana nae umpee adabu

  • @dolphinemouya3813
    @dolphinemouya3813 3 години тому

    This mama is not normal waliokota watoto mara mama yao faustine and Lavender alikufa which’s,which’s now??

  • @IrineBenga-k1y
    @IrineBenga-k1y 17 годин тому +1

    Huyu mm ajielewi

  • @GladysNanjala-e7e
    @GladysNanjala-e7e 5 годин тому

    Hapa kuna kitu wanafija aki sio😂bure 😮

  • @DianaMuhonja-oi9co
    @DianaMuhonja-oi9co 6 годин тому

    Huyu mmama story zake ni za jaba zote zinachanganya sana😢

  • @zinabmuss8157
    @zinabmuss8157 15 годин тому +1

    Uyo mama anajiconfuse mala walikua wanafanya job na mama lavender mara ajui mama lavender kuna siri vinje

    • @SharoEmmanuel-n4f
      @SharoEmmanuel-n4f 13 годин тому

      Hawa wako na mambo mengi wakifinywa vizuri watasema

  • @marykachisa
    @marykachisa 9 годин тому +1

    Lakin hii ci movie

  • @JuliaAdhiambo-e8e
    @JuliaAdhiambo-e8e 16 годин тому +1

    Moha km Ashley ni mtoto wake,mbona akatoroka na lavender

  • @salomemercy1422
    @salomemercy1422 15 годин тому

    Hao wachunwe kabisa waseme ukweli,faustine apate documents,akh

  • @MamakeFinley
    @MamakeFinley 9 годин тому +1

    Ilienda aje lavender akazaa na Augustine???

  • @paulmukea2333
    @paulmukea2333 16 годин тому +1

    Hawa wamama wafinywe vinzuri watasema ukweli wote

  • @DanielMutie-ld9kk
    @DanielMutie-ld9kk 12 годин тому

    Mama lavender amemlea mbona mnapembeleza mama faustine kumulea bana

  • @Roz-m2z
    @Roz-m2z 16 годин тому +1

    Hawa ni wauaji ma lain ikomingi kwa bagi wanalagai nao watu

  • @florencediangarost3571
    @florencediangarost3571 15 годин тому

    Yes Ashly pia si yake 🤣🤣

  • @KalekyeElizabeth
    @KalekyeElizabeth 16 годин тому +1

    Sanitize

  • @JanetMohamab
    @JanetMohamab 15 годин тому

    Mm nazidi kusema kuna kauongo maali

  • @HalimaWeyimi
    @HalimaWeyimi 14 годин тому

    Moha ,,,huyu ashely ni sister ya faustine na lavender ,pia yeye afanyiwe DNA ,,kuna kitu huyu mama anaficha😢

  • @CathelineKarumbi
    @CathelineKarumbi 14 годин тому

    Huyu mama.ako na mengi ya kusema kuhusu hiyo familia.ya lavender

  • @marrieauma5807
    @marrieauma5807 9 годин тому +1

    Walikuwa 3 mmoja akakufa wakagawa pesa wawili

  • @felistafelis567
    @felistafelis567 15 годин тому

    Wakati wa Mungu ndio wakati sahii ,,na ndio imefika sasa ,na mkono wa Mungu ni mrefu hutajificha lakini hutaumbuliwa kwa wazi

  • @EhrustineZ
    @EhrustineZ 4 години тому

    🙏🙏🙏

  • @Saud-o9i
    @Saud-o9i 16 годин тому

    😂😂😂😂😂anajifungamwenyewe mara aliokota watoto mara anajua mama watoto kwenye alizikwa

  • @AshuraLikwaya
    @AshuraLikwaya 14 годин тому

    Moha huyu mama nimwongo saana anachanganya maneno..na mpaka hapo tayari yeye ni muuaji..Hana point zakueleweka..mpe kichapo mpaka aseme..

  • @deborakadhengi5771
    @deborakadhengi5771 15 годин тому

    Hawa wamama wawil ni majambazi wa kuiba watoto lkn nap hawatajificha tena mbele za Mungu,, siku zao zimefika

  • @zamnambarasa
    @zamnambarasa 13 годин тому

    Kwanza lavender said uyu mama ako na lines mob ni biashara gani iyo wako nayo na pesa zinatumiwa Toka wapi to wapi na hafanyi kazi 😢those women are so wicked 😏

  • @AishaOmaromar-w2t
    @AishaOmaromar-w2t 11 годин тому

    Fanyeni yooooote lakini mtoto wa lavenda jamani

  • @AishaOmaromar-w2t
    @AishaOmaromar-w2t 11 годин тому

    Finya utu mama aseme atoe maliza zote zakina lavenda

  • @Brightonmaish
    @Brightonmaish 16 годин тому +1

    Hao watoto wametumika ,Moho ebu mulize ilikuwa aje lavender akazaa na Augustine ama ilikuwa setup

    • @MoureenGesare-u7j
      @MoureenGesare-u7j 15 годин тому

      Hapo umenena juu kuna place lavender alisema alirazimishwa kuzaa 😢😢😢😢

  • @ZenyGold-g7h
    @ZenyGold-g7h 16 годин тому

    Awo wanama ndo waliuuuwa mama lavenda

  • @Denniswise254
    @Denniswise254 10 годин тому

    Mahali imefika moha na DCI tafuteni daktari atuambie kila kitu azn for what you are investigating ileti maana, mume investigate for long time bt akuna jibu mnatupeana ya maana

  • @Yuca878
    @Yuca878 15 годин тому

    Uyu anasound mzuri bt yy ndio mubaya zaidi ,kuna hiden agender apa.😢😢😢😢Damu ya mama lavender haijakimia

  • @CharityChao
    @CharityChao 16 годин тому

    Hao wa mama wawili wanajua Kila kitu finya kufinya waongee ukweli

  • @ShallomAmugune-gd8yg
    @ShallomAmugune-gd8yg 2 години тому

    Huyu afinywe vizurii

  • @Joygloria-s8l
    @Joygloria-s8l 16 годин тому

    Uyu mama amechanganyikiwa ,

  • @providencekusinza7122
    @providencekusinza7122 16 годин тому

    Kwe kweli uyu mama alifanya vizuri ku lea lavender ila natamani tu angekuwa muwazi kwakile kilicho tokeya kwa maisha ya lavender basi kisha ahachiwe sababu alisaidia

  • @florencediangarost3571
    @florencediangarost3571 15 годин тому

    Mama Lavender is a life: that’s my feeling 😂imagine ata hawo watoto anasema ni wake si wake. There is something fishy, don’t leave that woman

  • @cecilianyirenda3377
    @cecilianyirenda3377 13 годин тому

    Huyo mtoto anakaa naye ni si ling wa lavenda na faustine. Apimwe dna, nahisi hakumzaa!

  • @Purity-zn9np
    @Purity-zn9np 10 годин тому

    Sasa alijuaje amekufa ndio akaenda mazishi