If you would like to watch this video in English press the link ➡️Chinese egg rice | How to cook a tasty and easy vegetables egg rice. ua-cam.com/video/y7rm2KbDi8w/v-deo.html Chinese egg rice | How to cook a tasty and easy vegetables egg rice. ua-cam.com/video/y7rm2KbDi8w/v-deo.html
Nilishasema, uko vizuri sana, maelezo mazuri, mafupi na ya kueleweka, rahisi kufuatilia, Maa Shaa Allah uko sawia Rukia. Wa kushindana na wewe hajapatikana.
If you would like to watch this video in English press the link ➡️Chinese egg rice | How to cook a tasty and easy vegetables egg rice. ua-cam.com/video/y7rm2KbDi8w/v-deo.html Chinese egg rice | How to cook a tasty and easy vegetables egg rice. ua-cam.com/video/y7rm2KbDi8w/v-deo.html
Nilishasema, uko vizuri sana, maelezo mazuri, mafupi na ya kueleweka, rahisi kufuatilia, Maa Shaa Allah uko sawia Rukia. Wa kushindana na wewe hajapatikana.
Awww thank you soo much habibty ❤️ 😘
Upo vizuri. Maana unafundisha uku unajielezea na vitu unavionyesha tuvijue. Asante.
Naupenda sana upishi wako na maelekezo yeke
Wow.... foodie lovers gather here and hit likey😘😘😘
Wow... Great simple meal and easy to follow... Love it👌
Wow 👌
Ninzr sana duu tuma nazingi
Masha Allah nimeipenda
Sweya source ni kt gan mn kw jin jengn linaitwj
Hivo hivo soya sosi wewe ulizia tuu zipo maduka yooote
Masha Allah. Allah barik
Asante sana
Mashaallah mummy wtt wng wanafurahia chakula kwa mapishi yako
nice mrejesho comin soon
mzr mashallah
So delicious meal ,thought nauliza iii pilipili mboga nyekundu haitakuwa Kali kwa chakula?
Hapana
Anna hiyo no hoho nyekundu
Mashallah
Nice😋😋😋
Nakuelewa sana
Yuuummy
Mashallah mzury shkran da
Perfect👌👌👌
Ma sha Allah 👌
Nataka kujuwa wali wa prawns
Yummy
Ma Sha Allah habbity lakin nauliz hizo chorok ulizichemsha mwanz ama vip napia tunaomb no yko sim mpenz,,
Naona ayuko online sijui
Sio choroko Ni njegere
Pilipili manga njo pilipili yadje?
Hi
Assalam alaykum
Km huna soy sauce unaweza kutumia kitu gani chengine
Parfect
kama una2mia jiko la mkaa uta2mia dkk ngap ?
Mashaallah
Unaweza kutumia na kitoweo gani zaidi?
Sweet and sour chicken
Asante
Je wali huu haupikiwi mchz
Salad
Mashallah habibty 😍 😋 😋 looks amazing and delicious. Also Congratulations on 70k hun 😘 ❤️
Thank you soo much love,awwww 🥰🥰😘
Njegere hazikupikwa?
Noo watia zikiwa 'mbichi
Napenda nahelezo yako tafahdali tupe video ya kutengeneza Tui la Nazi
Samahani dada soyasosi nilukha gani
Hasante Kwa pishi
Lazima kuweka soya thosi😊
Siyo lazima habibty🥰😋
Njegere unachemsha kwanza
Ndio
M/mnguawabaliki
Mashallah tamu bado pilipili yakukaanga duu
Sijaelwa wali ukiupika hutii chumv maan ulivyo kaang uneweka tena
Mambo
😚😚😚😚
NAULIZA IY SOYA SOURCE NDO NN NA UKIKOSA IYO UNAWEKA NN ILI UWE NA LADHA TAM
Nikama magie ya maji
Hiyo ni sweet soya ama ???
Yes
@@RukiaLaltia shukurani .....
What is pilipili manga in English?
Black peper
MI Nina ratio LA chapati
Huyu dads anajua kufunza kupika sana nilijifunza kupika nyama kwake nyie
Awww asante sana ubarikiwe na uzidi kujua mapishi zaidi
@@RukiaLaltia Amina
Iv mamy njegeree kumb cio ngumu kuivaa ee
Inategemea hizi zangu ni laini but unaweza zichemsha kwanza itakuwa zitakuwa ngumu
Asalam aleiykum nauliza akuna group ra wasp ra mapishi
Kam huna iyo chea sosi😢😢
❤❤❤👍👍👍👌👌👌🥰🥰🥰💖🌹🌹
Mashallah
Hi
Mashaallah