LADY JAYDEE & ZUCHU KWENYE SHOW YA PAMOJA
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- #LadyJayDee
Lady Jaydee.
You Can Now Download | Stream | Share Lady Jaydee Music WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES: | Itunes, BoomPlay, Mkito, Deezer, Audiomack, Mdundo, Tidal, Amazon Music, Spotify, Pandora. LINK: ffm.to/ladyjaydee
For More Information Booking Lady JayDee :
FOR BOOKINGS: judyjaydee@yahoo.com📩
Follow Lady Jaydee on:
/ jidejaydee
/ jidejaydee
/ ladyjaydee
Performance kama hizi ndo zinatuonyesha ubora wa msani haswa kwa wasanii wanaoingia kwenye tasnia ya mziki kama Zuchu. Hongera Kwa performance nzuri Zuchu & Lady Jay D
Lady Jay Dee your the Best umeweza kumsaidia Mdogo wako na kumuongoza vizuri sana. Hakika Wewe unampinzani. Unamoyo wa Dhahabu Nakupenda sana tena Sana Comando hauna wa kufananishwa nawe ktk Bongo flevaaaaa🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️❤️
Ambaye kaguswa na nyimbo tujuane imaenikonga hari
Jide anamakusudi et mic kamuwekea diamond 😄,Nani kagundua agonge like 💪
Your a living legend in tanzania basi tu hatukeep records na hatuthamini vya kutosha this song is livng if my memory is correct 10 years plus enzi za sana your blessed commando
Mungu muweza ukampa uzao mama yetu Hadija kopa pongezi kwa wasafi MUNGU akurinde binti komando
Nini mnasema the queen awache muziki mzuri hamoni she inspiring a whole generation as the past years
Lady JD. SAFI SANA. THE LEGEND
1st here from USA 🇺🇸🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Iconic Duet Performance
Passing the torch emotional performance
🙌🙌🙌🙌
Am proud of you. Zuchu And Lady Jay D
My fav😘😘😘 lady Jay dee much love +254
Baba mwenye nyumba chibuuuuu Tia guuu motto mototo umtoe halafu washamba wake wachukue kiubwete
Mziki uko vizuri sana hongereni sana
Hii ilikua good good good ohh my og this is the best
Wakwanza mm jide dada mkuu komando
Lady jee Dee n nguzo,n tunu,n Nuru,n nyota,n ukuta,wadada tz sidhan Kama Kuna anaeweza kusimama namna hiii akaitwa komando huyu n komando kwer kwer asietetereka kwa chochote,Yan ukimtzama unaelewa maana halisi ya mziki m napenda kumfananisha na Celine Dion
Umetisha zuchu nakupenda bure
Shoo Kali jide
This performance was top notch.
Penda sana
Big up xan madam
Tunaoitazama hii video Leo 30 Dec 2024 tujuane❤
Mliuwa sanaaaa
It was amazing
Makomando wawili
Shooo Kali hii
Amazing performance🔥😍😍
Lady jay dee
She is the Queen
Okkk
Nice check for a song known as usipuuze by storm
Performance great my favourite
Yakikubwa Sana hiii
Amaizing
Mama la mama
Something crazy rounds in my mind ungechlwa kdg kzalwa jide ngekuoa mm fr sure
😂😂😂😂😂 ata xa i hujachelewa age is just a number
Much love +91
Sijaskia saiti apo kwa zuchu...
Natamani ningekuwepo hapo.
Sichiki kuutazama hii
2022❤
❤❤❤
Hunaga show mbovu dada mkubwa
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
254
2024
From +973
Qeen of live show tz
Bob gum
Performance hi ni nzuri sana , alakini ninge penda ku jua jina la hi wimbo wali duet pamoja. Kuna usaidizi wapendwa???
Usiusemee moyo by jaydee
Usisemee Moyo iko Kwa album ya binti
Duh
Whats the name of this song please?
usiusemee moyo by lady jaydee
Hii show haijawah kutokea
Kabisa me mpaka leo 2024 mwezi wa 12 lakini hua naiangalia kila mda