Kwa hicho kijicho chao na saifa za ufitn watamalza vikao wasitie tumain kujikweza kaz zao kwetu hawaoni ndan huhuhuuu ahsanteeee sana bi mwanahawa ally
Wakerekeao wako hoi,wamezusha kila mbinu Hawajijui wala hawajitambui Zimewaruka fahamu waja roho zawatapa Hakuna linalotimu kwa kila wanalopanga Hawana la kusema,hawana la kututambia Watabaki na mshangao na macho kodokodoo
taarab za zaman ni fire 🔥🔥🔥
Kwa hicho kijicho chao na saifa za ufitn watamalza vikao wasitie tumain kujikweza kaz zao kwetu hawaoni ndan huhuhuuu ahsanteeee sana bi mwanahawa ally
Hawana la kusema hawana la kututambia
Wakerekao poleni!! Ahsante
Wakerekao shauri zao. Nice song bbe mwanahawa ally love you so much
Hajra Mohammed pambeeee
Maneno kuntu
2023 tujuwane
Roho za korosho❤❤ pambe kabisa
Zimewaruka fahamu Waja roho zawatambaa.... Hakuna linalotimuu kwa kila wanalopanga..... Ahsanteee mamaaaa. Maneno kuntuuuu.
Mwanahawa Ally ,mama hachuji yupo vizuri kwa kweli
Good staff
2023 twende kazi
Mashaalla
2021 jamani mi ndo kwanza nausikiliza mwanahawa hachuji jamani miaka bilioni
nice song wakerekwao shauri zenu
hatari mwanahawa ally,,,,,,,, kule kwetu kerekwao hukitoka midomoni
Weeeeeè
Wakerekwao 😀😀😀😀😀😀mambo bull bull
Wakerekao poleni 🤫🤫🤫😂😂😂😂😂😂
Bure kwetu kero lao halijawa ni kikwazo
Ahsante bi Mwanahawa Ally
Pambee tuu✌️
Hii nyimbo yanikumbusha mbali
2020 wakerekao shauri zao jasa wanaovamia mambo yasio yao na husda walizonazo lakin wajue kuwa yatawazuru wao....
💞🥰🎙️
Oyoooooo
Hapo sasa
Wakerekeao wako hoi,wamezusha kila mbinu
Hawajijui wala hawajitambui
Zimewaruka fahamu waja roho zawatapa
Hakuna linalotimu kwa kila wanalopanga
Hawana la kusema,hawana la kututambia
Watabaki na mshangao na macho kodokodoo
Naomba namba ya uyu mwanaha alliy
Jamani tbt wacha tu
Wakerekwao
Tunaoskiliza hii 2020 tujuane
uchungu ni lenu chumo na roho zn za korosho jazaaa ya matendo yn hachuji huyu mama mwanahawa
Op l. Llnnnnn. L
maneno pambee Hatali
Kubwa kufuru zao lana huwapata wao bure kwetu kero lao haijawa n kikwazo
Wakerekao shauri zao wajionao wao Mungu watu
Mama umeimba
Maneno damshi
nafungua kikao wakerekwao poleni
Asante mama maneno pambe
Bule zetu kero zao aijawa nikikwazo
mama lamama wakuwache
Nce msg
wakerekao xhauri zko nafungua kikao wp bi mwnahawa ally
Maneno Kuntu....KWAHICHO KIJICHO CHAO NASIFA ZA UFITINI..KUJIKWEZA KAZI ZAO KWETU HAWAON NDANI
Wakerekao ni bumbum
nice song
Thx
maneno kuntuu
Yan me if u ziligana dam group o .nyota akun