JINSI EMERGENCY CALL INAVYOTUMIKA KATIKA SIMU ILIO NA SCREEN LOCK.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лют 2025
  • Emergency call ni simu ya dharura pale mmiliki wa simu amepata matatizo na hajielewi.
    Endapo zitawekwa emergency number katika simu hiyo itakua rahisi kusaidia au kusaidiwa kupatikana watu wako wa karibu ili kupata msaada kwa haraka.
    Weka emergency number zako sasa ili utakapo kuja kupata matatizo iwe rahisi kwa watu wasio kujua kusaidia maisha yako bila ya kujua password zako.
    Share video hii ili umjuze na mwenzio.
    asante
    BY TOJO 360

КОМЕНТАРІ • 10