- 46
- 276 812
TOJO 360
Tanzania
Приєднався 8 чер 2016
Karibu TOJO-360 - Mtaalamu wa Android na Computer Software!
Habari ndugu zangu,
Jina langu ni Abubakar kutoka Zanzibar.
Ninajikita zaidi kwenye masuala ya software pekee, nikihudumia simu za Android na kompyuta. Hii inajumuisha:
.Kufanya Software Repair
.Ku Unlock Devices
.Kutatua Changamoto za Software
Ninaamini kuwa kila changamoto ina suluhisho, na lengo langu ni kuhakikisha unapata msaada wa haraka, wa kitaalamu, na wa kueleweka kwa urahisi.
Ikiwa unakutana na matatizo yoyote yanayohusiana na Android au kompyuta yako, acha maoni yako, na nitakusaidia kupitia mafunzo ya video.
Jiunge na Familia ya TOJO-360:
Bonyeza Subscribe na ufuatilie video mpya zenye suluhisho bora za changamoto zako.
Hakikisha unatoa maoni yako ili tushirikiane zaidi.
Asante kwa kuamini huduma zangu! TOJO-360 iko kwa ajili yako.
Habari ndugu zangu,
Jina langu ni Abubakar kutoka Zanzibar.
Ninajikita zaidi kwenye masuala ya software pekee, nikihudumia simu za Android na kompyuta. Hii inajumuisha:
.Kufanya Software Repair
.Ku Unlock Devices
.Kutatua Changamoto za Software
Ninaamini kuwa kila changamoto ina suluhisho, na lengo langu ni kuhakikisha unapata msaada wa haraka, wa kitaalamu, na wa kueleweka kwa urahisi.
Ikiwa unakutana na matatizo yoyote yanayohusiana na Android au kompyuta yako, acha maoni yako, na nitakusaidia kupitia mafunzo ya video.
Jiunge na Familia ya TOJO-360:
Bonyeza Subscribe na ufuatilie video mpya zenye suluhisho bora za changamoto zako.
Hakikisha unatoa maoni yako ili tushirikiane zaidi.
Asante kwa kuamini huduma zangu! TOJO-360 iko kwa ajili yako.
Відео
INFINIX,TECNO SPD HARD RESET + FRP (TOJO FRP TOOL)
Переглядів 262 місяці тому
Download TOJO FRP TOOL here: www.mediafire.com/file/zbidilsh6w75gq5/frp.zip/file Do not forget to subscribe:
MOBIGO 2 PLUS ADMIN TOOL
Переглядів 882 місяці тому
Downlaod MOBIGO 2 PLUS ADMIN TOOL here : www.mediafire.com/file/jdxtiq2z6bge82t/MOBIGO2PLUS.zip/file working on windows 10 and above Do not forget to subscribe.
JINSI YAKUTOA ADMIN KATIKA SIMU YA MOBIGO & ALCATEL
Переглядів 16 тис.2 роки тому
Video hii inaonesha jisni yakutoa admin katika simu ya mobigo2 na alcatel 5007U,G,A kwakutumia tool nyepesi bila ya credits wala ku flash simu. kwa wale watakaopenda kufanya kaz nami wasiliana nami whatsapp number 255628694199 Download tool hapa www.mediafire.com/file/kroga7egumgr6m1/MOBI_ALCA_ADMIN_REMOVE.rar/file Subscribe channel na weka notification kwa video nyingi nzuri za kujifunza zijazo.
TENGEZA LOGO KALI BILA YA KUTUMIA ADOBE
Переглядів 1962 роки тому
Kwa wale wanaotaka kuanza kujifunza kutengeza logo katika program kubwa kama adobe na nyinginezo, unaweza kutumia software hii kujifunzia na kuanza kutengeza logo mbali mbali kutegemea na creativity yako KWA HUDUMA ZA SIMU kutoa lock network kuto password na FRP kuflash zimu iliozima tecno,itel n.k nahuduma nyenginezo za simu aina zote wasiliana nami whatsapp no: 0628694199 download software ha...
FRP REMOVE INVENS A9, A10, A11 BY CM2
Переглядів 2,1 тис.3 роки тому
FRP BYPASS TECNO POP 2 ua-cam.com/video/DDmKJXv6eHE/v-deo.html FRP BYPASS TECNO K7 ua-cam.com/video/LN55d-puu8M/v-deo.html FRP BYPASS TECNO WX3 ua-cam.com/video/jEfssc19INM/v-deo.html FRP BYPASS TECNO F2LTE ua-cam.com/video/WlVNdC4W5gA/v-deo.html
JINSI YA KUTOA ACTIVATION LOCK SCREEN KATIKA IPAD2 (FREE)
Переглядів 5243 роки тому
Video hii inaonesha jinsi ya ku bypass ipad2 activation lock screen. ni buree huitaji kununua au kulipa chochote. baada ya ku bypass utaweza kutumia ipad yako kama kawaida ila kumbuka utapo izima ukaiwasha tena inarudi activation lock screen, kwaiyo kabla huja comment hakikisha umeelewa hiko. this is temporary bypass. ila ukitaka ku bypass permanent ili ukizima na ukiwasha iwe katika hali yakwa...
JINSI YA KUONA PASSWORD KATIKA CHROME BROWSER.
Переглядів 2603 роки тому
This video for education purpose only anything you do is for your own risk. good luck. SUBSRCIBE CHANNEL FOR MORE VIDEOS.
JINSI YAKUTOA FRP TECNO POP2
Переглядів 1,5 тис.4 роки тому
TOJO 360 Watch and learn. Don't forget to SUBSCRIBE my channel. Ahsante.
JINSI YAKUTOA (PATTERN,PIN,PASSWORD) TECNO POP2
Переглядів 14 тис.4 роки тому
TOJO 360 Watch and learn: Don't forget to SUBSCRIBE. Thank you.
JINSI YA KUWEKA WINDOWS 7 KWAKUTUMIA USB FLASH
Переглядів 8 тис.4 роки тому
TOJO 360 VIDEO HII NIMEELEKEZA JINSI YA KUWEKA WINDOWS 7 KWA USB FLASH BILA YA KURUKA KIPENGELE CHOCHOTE. NIMEELEZEA BAADHI YA VITU MUHIMU AMBAVYO UNAPASWA KUVIJUA ILI ENDAPO UNAPO WEKA WINDOWS UJUE NINI UNAPASWA KUFANYA. ILA PIA KUMBUKA UKIWEZA KUWEKA WINDOWS 7, HAKIKA UMEWEZA KUWEKA WINDOWS 8/10 ILA SIO WINDOWS XP COZ NI TOFAUTI. ENDELEA KU SUPPORT MY CHANNEL KWA LIKE YAKO NA POSITE COMMENT. ...
JINSI YAKUFANYA BOOTABLE USB FLASH (WINDOWS 7/8/10)
Переглядів 9694 роки тому
TOJO 360 DOWNLOAD POWER ISO HAPA www.mediafire.com/file/3fiyqs3658m71gu/TOJO_360_P-ISO.rar/file AHSANTE BY TOJO 360
JINSI YA KUSOMA PATTERN ZILIZOSAHAULIKA KATIKA ANDROID.
Переглядів 1,2 тис.4 роки тому
TOJO 360 VIDEO HII NIMEELEKEZA JINSI YA KUSOMA PATTERN AMBAZO ZILIZOSAHAULIKA KATIKA SIMU YA MTK KWAKUTUMIA MIRACLE BOX 2.58. IKIWA KAMA UTAPATA TATIZO LOLOTE NICHEK WHATSAPP 0710414663 DOWNLOAD MIRACLE BOX HAPA www.mediafire.com/file/t71ornapo96dnlf/Miracle_Box_v2.58_Without_HWID_By_Technical_Computer_Solutions.zip/file AHSANTE BY TOJO 360
JINSI YA KUTOA PASSWORD SIMU NDOGO ZA BATAN (KEYPAD PHONE).
Переглядів 7 тис.4 роки тому
JINSI YA KUTOA PASSWORD SIMU NDOGO ZA BATAN (KEYPAD PHONE).
JINSI YA KU INSTALL DRIVERS ZA SIMU KATIKA COMPUTER
Переглядів 3 тис.4 роки тому
JINSI YA KU INSTALL DRIVERS ZA SIMU KATIKA COMPUTER
JINSI YA KUFUNGA AUTOUPDATE KATIKA WINDOWS 10
Переглядів 4444 роки тому
JINSI YA KUFUNGA AUTOUPDATE KATIKA WINDOWS 10
JINSI YA KUIFANYA MODEM IWE NA UWEZO WA KUPIGA NA KUPIGIWA
Переглядів 1,4 тис.4 роки тому
JINSI YA KUIFANYA MODEM IWE NA UWEZO WA KUPIGA NA KUPIGIWA
JINSI EMERGENCY CALL INAVYOTUMIKA KATIKA SIMU ILIO NA SCREEN LOCK.
Переглядів 1,8 тис.5 років тому
JINSI EMERGENCY CALL INAVYOTUMIKA KATIKA SIMU ILIO NA SCREEN LOCK.
JINSI YA KUTOA GOOGLE LOCK (FRP) TECNO F2LTE
Переглядів 2,1 тис.5 років тому
JINSI YA KUTOA GOOGLE LOCK (FRP) TECNO F2LTE
JINSI YA KUTOA GOOGLE LOCK (FRP) TECNO K7 BILA YA COMPUTER
Переглядів 10 тис.5 років тому
JINSI YA KUTOA GOOGLE LOCK (FRP) TECNO K7 BILA YA COMPUTER
JINSI YA KU TRACK INFORMATION ZA SIMU YA MTU ALIEKUEPO MBALI
Переглядів 3 тис.5 років тому
JINSI YA KU TRACK INFORMATION ZA SIMU YA MTU ALIEKUEPO MBALI
JINSI YA KUDOWNLOAD RACING LIMIT GAME (FULL HACKED) 100%
Переглядів 4225 років тому
JINSI YA KUDOWNLOAD RACING LIMIT GAME (FULL HACKED) 100%
JINSI YAKUREJESHA VITU VILIVYOPOTEA KATIKA USB FLASH BAADA YA KU FORMAT 100%
Переглядів 1,3 тис.5 років тому
JINSI YAKUREJESHA VITU VILIVYOPOTEA KATIKA USB FLASH BAADA YA KU FORMAT 100%
JINSI YA KUTOA GOOGLE LOCK (FRP) TECNO WX3.
Переглядів 25 тис.6 років тому
JINSI YA KUTOA GOOGLE LOCK (FRP) TECNO WX3.
JINSI YA KUONA PASSWORD ZA WIFI KATIKA COMPUTER.
Переглядів 2,5 тис.6 років тому
JINSI YA KUONA PASSWORD ZA WIFI KATIKA COMPUTER.
JINSI YA KU FORMAT USB FLASH ILIOGOMA KUSOMA.
Переглядів 4,2 тис.6 років тому
JINSI YA KU FORMAT USB FLASH ILIOGOMA KUSOMA.
JINSI YA KUONGEZA SPEED YA INTERNET KATIKA ANDROID
Переглядів 4,1 тис.6 років тому
JINSI YA KUONGEZA SPEED YA INTERNET KATIKA ANDROID
JINSI YAKU FIX PC ISIO SOMA HARD DISK
Переглядів 1206 років тому
JINSI YAKU FIX PC ISIO SOMA HARD DISK
Password
mwalimu asant nimejaribu kupiga window ddsk niyoweka haina window yoyote nikibonyeza f12 inaleta lakin nifika kwenye usb nikibonyeza inter inagoma inabaki hapo haifungui kuendelea je labda kuna setep haziko sawa
Nipe link ya blackmart
Tayari
Ninaflash ambayo inasoma lakini haipo kwenye mfumo wa potable. ( Inaonyesha karatasi ndyo storage mbele)
can youmake me tobeyour student ilike it Mr.tojo
nice mr,
Thanks
Nice
Nakubali 🔥
Good job
🤭
Naomba namba pls
Nielekeze jinsi ya kuinsito Microsoft word after kupg window kwenye pc
Je ukisha format then frash ukiweka video mbili unasoma moja na audio ukiwe nyingi zina soma nne shida nn apo mtaalam
Ume search nin
Ume search nin
Aimalizi inasema failed try another network
Oy kaka naweza kupata no yako
Mm Sion Hy more mwsh ni power of tu
ikiwa kama huiobi more, nenda moja kwa moja kwenye wide data factory reset
Kwa nn program Kama vlc ai install kwangu na ni Window 8
angalia unatumia bit ngap then download vlc kulingana na bit yako eitha x64 au 32 (x86)
❤❤❤❤❤
Naomba no zako
Oaa umetisha
Ku unroot 😢😢
Hello
Habari , mimi naomba msaada natafuta namba yako
whatsapp pekee +255628694199
Mi bado
Ni window ipi inafaa kwa computer ya ram 1 GB
Naomba no yako ya watssap
Nitumie no yako ya watssap
Nime register lakini imeandika (sorry this is invalid registration code.) Nifanyaje hapo?
huja copy na ku paste crack files
mfano samahn unaweza kurecover kweny kompyuta nyingine tofaut na uliyo formatia
Why share solution with password??#Fake
Ikiwa uko kwenye mchakato wakufungua ikakataa kuwaka data wafanyaje
Cm yangu mm siwepg pg wal kupigiwa nifanyeje
Yakweli hayo
Naxhukuru xann kaka
Naomba unitumie Namba yako samahani
Mbona mi yangu ikizima inaleta pin moja kwa moja nikiwasha?
Mbn mm nikituma Ilo neno UA-cam com mbn haiji km Link ka kwake alivyo onyesha?
Yakwangu inaonyesha lakini aisikii chichote
Mawasiliano yako sijaipata mkuu
tool iko updated now +255628694199 whatsapp only
Dhuu
Na comoutat hp Ina paswed katika sisytm hata ukiweka window haifunguki
Naitaji namba yako
Umetisha mzee 👋👋👋👋👋👋👍👍
Vip boss unaweza kujuwa namna yakusov ili tatiz man famok yang inaandik no app istal
vip umepata ufumbuzi wa tatizo lako
Mm nahilo tatz @@fktech7796
Weka link
Tnx bro u are gd
Mbona cjaelewa