Another one; I told her of a dream about her Indian employers and I was thought to be possessed. Christians, how do we help each other? Because everyone cannot speak directly in the holy spirits' realm, dreaming is the most direct way God speaks and directs us. I normally ask, how come you see, you speak/ hear sounds that non one else hears, and even walk in your dreams, just as one does as awake in the day? What are dreams? Dreaming is living in the spiritual work.
Mungu hakuumba majini ila wale malaika walipomuasi muumba akawalaani wakawa majini na makao Yao yakawa ya ufalme wa kisa kule kuzimu. Hao ndio wanaomsaidia lusifa kazi .
Isaya 56 10 Walinzi wake ni vipofu, wote pia hawana maarifa; wote ni mbwa walio bubu, hawawezi kulia; huota ndoto hulala, hupenda usingizi, 11 Naam, mbwa hao wana choyo sana, hawashibi kamwe; na hao ni wachungaji wasioweza kufahamu neno; wote pia wamegeuka upande wazifuate njia zao wenyewe, kila mmoja kwa faida yake, toka pande zote. 12 Husema, Njoni, nitaleta divai, Na tunywe sana kileo; Na kesho itakuwa kama leo, Sikukuu kupita kiasi
@@alzawahirabdallah2299shida biblia sio gazet wewe umesoma km gazet biblia wanaelewa wenye Roho mtakatifu km uko nje ya Roho mtakatifu unasoma Logos, Karibu kwenye kanisa la kiroho ufundishwe maana yake.
Majini ni viumbe WA Mungu na King Solomon aliwatumia kufanya kazı kama kujenga Temple na aliwatumia majini walete kiti Cha ufalme WA Queen of Sheba.Pastors waache siasa za majini na dini hasa İslam Na King Solomon alikuwa Moslem
Mungu gani ana ushirika na majini? Mungu ni roho na anayemwabudu lazima amwabudu kwa roho na kweli. Mungu akitaka kuongea na watu wake anawatumia roho wake au Malaika. Majini ni ya kuzimu na kwa matendo hayo ya suleiman Mungu alimkataa na kugawanya ufalme wake.
God created Jinns before humans.Only to worship Him.But they went astray and God created Humans.Also to worship him.And each have their own space.Only King Solomon used Jinns as watu WA mkono to work for him.The rest is Siasa za pastors.
Wow you have opened my eyes may God increase you pastor
I desire to meet the mighty man of God siku moja for Gods own Glory
My the allmite God bless you mchungaji I really appreciate, love and i like, your testimony and preaching . I disayer to see you one day.
This is deep secrets GOD bless you pastor 🙏 🙌
Ubarikiwe na kuzidi sana mtumishi.❤
Very spiritual
You made me think more about God.true challenge.
Yesu azindi kukujaza na akulinde
Powerful sermon,sijahawi kuskia Asante more Grace pastor.
Ina Lilah wainalulahi rajiyn mungu atupe mwisho mwema
Mungu akubariki sana mchungaji napenda sana kusikiliza injili Yako inaishi
Waaaao it's so powerful 😮
Barikiwa mtunishi wa Mungu umenifungua ufahamu
Amen pastor upo vizuri amen
Mungu akumbariki baba❤❤❤❤❤
Ww umempokea yesu kristo mchungaji Dominic kasilimishwa na Dr sule kampokea Muhammad s.a.w
Nimejifunza mambo mazito hapa shetani atakoma🔥🔥
Amen pastor be blessed too 🙏🙏🙏yani bahathi ya mambo umesema yamenitendea😭😭Woiiiiiiii mungu wangu nisimamishe katika ukristo wa kweli
Mm ni iyo del monte bana mungu anisaidie
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
Napenda mafundisho yako mtumishi
Mungu akubariki
Another one; I told her of a dream about her Indian employers and I was thought to be possessed. Christians, how do we help each other? Because everyone cannot speak directly in the holy spirits' realm, dreaming is the most direct way God speaks and directs us. I normally ask, how come you see, you speak/ hear sounds that non one else hears, and even walk in your dreams, just as one does as awake in the day? What are dreams? Dreaming is living in the spiritual work.
Jini makata -
quadra- power
shamsa - kukaukiwa
Daàah kweli huyu ni mwongo
Uongo wake nini sasa?😳
Wajua we ni ndugu ya majini muislamu ni ndugu ya majini
Deep knowledge
Mungu hakuumba majini ila wale malaika walipomuasi muumba akawalaani wakawa majini na makao Yao yakawa ya ufalme wa kisa kule kuzimu. Hao ndio wanaomsaidia lusifa kazi .
Mbona ni sawa sawa
Amen
Very strong
Sio kweli kua lazima mtu akule mtito mimi binfsi nimesafiri mara nyingi na hushuka kujisaidia tu sio kula,
So hoja yako haina ukweli
Wazazi wengi hupeana tuu jina ati babu yangu aliniletea ndoto nimtaje mtoto wangu kama ni mimi ntakubumburusha hadi jehanam
amen
Isaya 56
10 Walinzi wake ni vipofu, wote pia
hawana maarifa; wote ni mbwa walio
bubu, hawawezi kulia; huota ndoto
hulala, hupenda usingizi,
11 Naam, mbwa hao wana choyo
sana, hawashibi kamwe; na hao ni
wachungaji wasioweza kufahamu
neno; wote pia wamegeuka upande
wazifuate njia zao wenyewe, kila
mmoja kwa faida yake, toka pande
zote.
12 Husema, Njoni, nitaleta divai, Na
tunywe sana kileo; Na kesho itakuwa
kama leo, Sikukuu kupita kiasi
Una maana gani?
@@floramongi1410 soma vizuri andiko utaelewa hiyo biblia yako ndio imesema hivyo na funguo biblia yako uhakikishe ilo andiko lipo aw msha update
@@alzawahirabdallah2299shida biblia sio gazet wewe umesoma km gazet biblia wanaelewa wenye Roho mtakatifu km uko nje ya Roho mtakatifu unasoma Logos, Karibu kwenye kanisa la kiroho ufundishwe maana yake.
@@alzawahirabdallah2299yaan bado anakuuliza ww wkt andiko umetoa kwny kitabu chao wnyw
Wwe hujui lolote kaa kimya
Jesus is lord
God bless you pastor
Jesus up
Utafika RDC?
Kila ndimi atamkili yesu
🤣🤣🤣🤣🤣ati maina kariuki
aky 😂😂 uganga iliisha from Dr abubakar to maina 😅😅😅
Ameeni
Hata waarabu 😅
NAHITAJI KUONGEA NA WEWE ADAMU
Waooo, powerful..I have really learnt.God bless you man of God.
Nimejifunza kitu kipya
Mambo ya majini Tena?
Ni viumbe wa gizani maana mamboyao nikampini Moja na lusifa
Nyamaza Ashura yesu ahh irise watu waokoke
Mbona waislam wanalia sana
We kafili utapata tabu
Nini maana ya kafiri
Na sisi tuliouta watt wetu shamsa kumbe tumefanya makosa
iyo dini yenyewe ni ya majini
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Anafundisha ukweli ndio maana mnachukia
Number ni rose sina motto mimi
Majini ni viumbe WA Mungu na King Solomon aliwatumia kufanya kazı kama kujenga Temple na aliwatumia majini walete kiti Cha ufalme WA Queen of Sheba.Pastors waache siasa za majini na dini hasa İslam Na King Solomon alikuwa Moslem
Ipo kwenye biblia?au Quran?maana biblia haijaeleza hayo
Mungu gani ana ushirika na majini? Mungu ni roho na anayemwabudu lazima amwabudu kwa roho na kweli. Mungu akitaka kuongea na watu wake anawatumia roho wake au Malaika. Majini ni ya kuzimu na kwa matendo hayo ya suleiman Mungu alimkataa na kugawanya ufalme wake.
God created Jinns before humans.Only to worship Him.But they went astray and God created Humans.Also to worship him.And each have their own space.Only King Solomon used Jinns as watu WA mkono to work for him.The rest is Siasa za pastors.
Oh my.
Ni kweli lakini sio kuyaabudu
Uùùì
Nina swali Mr Adam, why do you still wear kanzu and still maintain your islamic name? Being born again should be a wholesome experence.
Read your Bible very, kanzu siyo ya dini ni nguo za kikuhani
😂
Mzee muongo huyo njaa inamsumbua sana
mmepatikana! allah ni shetani mkuu.
Umeokoka au umepotoka? Shetani kakuhadaa mpaka umehadaika,
mtaumia sana siri zenu zimefichuka, majini yalisilimiswa na muhammad na kuukubali uislam. kwahiyo majini ni waislam.
Hamida your deception are being revealed
Take that bitterness
Kumbe hizi pesa zenu zote mwazipata kwa majini?? Wah!! Makubwa haya..
@@bentajay8973 usilolijua ni sawa na usiku wa giza, pole sana
@@hamidaawadhi835
Wewe ndio hujielewi
Amen