Mtumishi umeongea kweli ya Mungu, sisi wakristo tuna matatizo makubwa, hatuna unyenyekevu mbele za Mungu, hatuna utii na hatuwezi kuwafundisha watoto, Mungu atuhurumie
Hakika we ni mhubiri your testimony is 🔥, Yesu amejitwalia mtumishi kwelikweli. Ole wetu sisi wakristo ambao tumekuwa wakristo bila kulipa garama na bado hatujamshika huyu Yesu kisawasawa.
Asante Mungu wetu unayetupa ujumbe wako kupitia watumishi wa aina ya Mtumishi Pst. Hajji. Mpatie nguvu ya ulinzi wako ili watu wako wapate kusikia Habari njema na uzima.
Amina jina la Bwana litukuzwe. Mungu aliEkuokoa atakuokoa katika njia zote uendazo. Mungu muokoaji akutunze safari yako kuelekea mbinguni. Siku moja tutafurahi pamoja nae.
MUNGU anisaidie BABA maana na Mimi nateka kushindwa kusimamia kwenye kusudi naitwa mtumishi jenipher Niko Arusha naomba msaada wako BABA nateseka BABA yangu
Baba mungu aliyekuokowa nimkuu kwako nikisiliza shuhuda z AKO naliya Sana najiona ningekuja Mimi ningefanyaje?usikate Tama hata wasemeje ?usijali shetani Yuko kazini nguvu yamungu nikubwa kwako
How come he is reading straight from the book like all the pastors who can’t memorize the Bible. If you ask him to read three straight verses from the Bible, he will definitely miss some of it let a lone the entire bible. Pick and choose one verse here and another
Amina Amina Mtumishi wa MUNGU Injili yako ni ya kipekee sijui hiyo TAJI YAKO MBINGUNI! NAKUTAMANI
Taji yake ni kubwa mno natamani imani yake na shauku yake
Amina ujumbe mzuri sana more grace upon you mtumishi
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
Kweli mungu anatupenda ametusazia na wewe useme sili zake. barikiwa sana mtu wa mungu kweli umeitwa.
Mungu atusaidie tumwabudu kwa roho na kweli
Yesu akutetee na akulinde zaidi mpaka mwisho wa dahari
Hongera kwa hatua uliyo nayo na endelea kusonga Mbele ndugu yangu katika Kristo!
Haleluya Mungu akubariki mtumishi wa Mungu kwa injili moto moto
You are blessed may God continue blessing you beyond boundaries.I hope one day I will meet you
Mmmh nimejikuta machozi yamenitoka kwa huo ushuhuda, yan Bwana Yesu atusaidie, watanzania tunacheza aisee
Mtumishi umeongea kweli ya Mungu, sisi wakristo tuna matatizo makubwa, hatuna unyenyekevu mbele za Mungu, hatuna utii na hatuwezi kuwafundisha watoto, Mungu atuhurumie
Mungu akulinde mtumishi.
Hakika we ni mhubiri your testimony is 🔥, Yesu amejitwalia mtumishi kwelikweli. Ole wetu sisi wakristo ambao tumekuwa wakristo bila kulipa garama na bado hatujamshika huyu Yesu kisawasawa.
Aliyesamehewa dhambi nyingi hupenda sana..Luke 9:47 🕊️🔥 !!!
Hii ushuhuda inasisimua😢😢 hallelujah Mungu akubariki sana mtu wa Mungu, natamani Mungu akutwae tu na upepo w kisulisuli kama eliya mtishbe🤲🤲🤲
Asante Mungu wetu unayetupa ujumbe wako kupitia watumishi wa aina ya Mtumishi Pst. Hajji. Mpatie nguvu ya ulinzi wako ili watu wako wapate kusikia Habari njema na uzima.
Inawezekana una wito kutoka kwa Mungu, lakini kuna watu wanakuzuia! Achana nao na aliyekuita atarudi kukupa nguvu ya kusonga mbele.
Nimekutafuta sana bila mafanikio mtumishi wangu
Baba napenda sana mafundisho yako barikiwa sana Mtumishi wa Mungu
Amina jina la Bwana litukuzwe. Mungu aliEkuokoa atakuokoa katika njia zote uendazo. Mungu muokoaji akutunze safari yako kuelekea mbinguni. Siku moja tutafurahi pamoja nae.
Ninabarikiwasanaa.asanteMUNGU.kwawemahuu.wa.mtumishiwako
Ameen be blessed more pastor mungu akuinue viwango vya juu sana hamu yangu ninimujue bwana na nguvu zake
Amen Amen Amen jina la BWANA litukuzwe
Pastor Haji umekua my prayer item since I started watching you. May God protect you for us. Endelesha neno la bwana bila uoga. Be blessed.
Amen amen, Mungu utuhurumie
Mungu atusaidie kabisa
Please pray for my husband for total healing of my husband and financial breakthrough
Amen baba nitafata kile Mungu alichoniitia naMungu naomba anisaidie
Mungu akutie nguvu mtumishi wale
A man of God in his time..
Kweli hii kazi haitaji mshabiki
Imani mfano wa kiti inafundisha vizuri sana
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu.
MUNGU anisaidie BABA maana na Mimi nateka kushindwa kusimamia kwenye kusudi naitwa mtumishi jenipher Niko Arusha naomba msaada wako BABA nateseka BABA yangu
munguakulinde namalusfa yaduniahii
Adam Haji tunakuombea usonge mbere sana
Aminaaa sanaaa.
Amen 🙏🏻
Hallelujah 🙏🙏
Haleluya very powerful
Ni kweli Iko vzr sana Adam kwa fundisho la kulala
Kwa kweli baba ukristu umeutendea haki
Ameeeeen
Amina
Baba mungu aliyekuokowa nimkuu kwako nikisiliza shuhuda z AKO naliya Sana najiona ningekuja Mimi ningefanyaje?usikate Tama hata wasemeje ?usijali shetani Yuko kazini nguvu yamungu nikubwa kwako
Hahahahahahahaha iyo atari kweri ikipotea daftari ulioandika patachim ika
Hakika mtumishi ibada yako inanigusa
How to donate your ministries Adam Haji?
Imani.ni.kuwanahakika
Halleluyah🙏🙏
Amen Amen Amen Amen Amen
Shaloom
Amen amen amen amen amen amen amen
Hahahahahahahaha cm izo pastor alienda katika vitu ambavo hukuitiwa
Amen amen
😭🧎♀️
😮😢😢😢😢😢😢🙏✝️🇧🇮🇰🇪
Amen
watumishikamahawa nibizaahadimukwasasa
Mtu akitaka akualike utubariki Kwa kanisa yetu how will I contact u?
@@SENSATIONALTVKENYA watsapp +254700146495