Kaka mimi kyc nilifanya na mbka sasa ni Tentative approval ni mwezi mmoja sasa na tarehe 31 December pi core team Wana sema mwisho, naomba kujua nitaweza kufutiwa account yangu ama!
Kitakachotokea ,baada ya hii token kuingia sokoni,itapandq ghafla ,inaweza fika hata Hadi dola 200 Hadi 500. Halafu ghafla itashuka Hadi chini ya dola moja .
That is real distortion of the world don't follow the person who established something without knowing the reason I don't know what is that reason for cryptocurrency I have the question is that will made a single currency system in the world
Pole pale utakpokuja kujua kwamba ulikuwa haujui ndo uatakpojua... Na wakati huo utakuwa umechelewa Sana. Take note and mark my words. What you have commented is just pure trash. TIME WILL TELL THE TRUTH
@konzerasokoni1773 if you know how crypto works you wouldn't say and behaved the way you do!! We have been here longer enough to understand trash and garbage project!!
❤ Elimu inaitajika sana hasa kwa wabongo tepatie Elimu Master Abo G
Pi network $314,159 to the Moon..Thanks Master abog❤
Endeleeni kuota ndoto za saa Tisa usiku. 😂😂😂😂 Hiyo liqudity Nani anaiweka?
@@kelyz_02 utajiri kwa juhudi za ku mine tu
@@joshuajohn8533Muda mwingine akili kichwani kwako kumine tu 😅😅
Liquidity hiyo ya mjomba ako😂😂
Usiwe mjinga wa kiasi ichi pi thamani yake haiwezi fika uko mkuu usitarajie makubwa ivo
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉tanzania
Mimi nimeanza ku mine from 2020 kipindi cha covid 19, Emmanuel From DRCongo
Naomba nielekeze kaka
kwa sababu ya utility 😂😂😂 nice... keep building awareness
Sure Awareness ni muhimu ili watu waweze tofautisha Pi na Sarafu zingine za Kidijitali
@abognjuyuwi26 amazing 🚀🚀🚀
Pi bwana,itawashangaza sana
KAZI nzuri
Better to trade forex than cryptocurrency
Mkuu mimi nimejiunga lakini sijapata elimu jinsi ya kijilinda
Sawa ticha wa literature
Very fantastic 😊
Thanks a lot 😊
Look in the camera hawaniambii chochote pale navurugwa san@@theloyalmediatz
🎉🎉🎉🎉🎉2025
Kwanini makampuni mengi niwezi,wametuibia? bitcoin dealers wanaiba Sana je wanashtakiwa wapi?
Mimi sjaweka hiyo namba ya id sijui jinsi ya kuweka
Inch ya RWANDA tunaba sikiliza sana✈️✈️
❤❤❤ tunawakubali sana watu wa RWANDA🎉🎉
daah
Is that the form that revelation said that people will not buy and sell until they have a mark of the beast where we are going to have or
Vp simu ikiibiwa
Jinsi ya kujiunga
Njoo inbox
Jamanii naomba msaada wenu Mimi apa nimesahau password
Kaka mimi kyc nilifanya na mbka sasa ni Tentative approval ni mwezi mmoja sasa na tarehe 31 December pi core team Wana sema mwisho, naomba kujua nitaweza kufutiwa account yangu ama!
Kama KYC yako ni Tentative Hiyo imepita na soon itabadilika na kuwa Kijani so usipate shida Kikubwa endelea kufanya mining ⛏️🎉
We together brooo.
Mimi sikujua mapema Nina week2 tu nimeanza kwahio process zote nitafanya au itakuwaje?
Unapatajebhela ukixhakua nayo
Wengine ata KYC hazijafunguka
Kitakachotokea ,baada ya hii token kuingia sokoni,itapandq ghafla ,inaweza fika hata Hadi dola 200 Hadi 500.
Halafu ghafla itashuka Hadi chini ya dola moja .
You can join to the group that you don't know
That is real distortion of the world don't follow the person who established something without knowing the reason I don't know what is that reason for cryptocurrency I have the question is that will made a single currency system in the world
😂😂😂
Brother naomba ufanye kuwa aliyenialika(INVITE
@@CosmasNgoya-p3l bado hujajiunga?
@theloyalmediatz bado sijajiunga kiongozi
Pi is big project scam
This is the biggest trash of whole time😅
Pole pale utakpokuja kujua kwamba ulikuwa haujui ndo uatakpojua... Na wakati huo utakuwa umechelewa Sana.
Take note and mark my words. What you have commented is just pure trash. TIME WILL TELL THE TRUTH
@konzerasokoni1773 if you know how crypto works you wouldn't say and behaved the way you do!! We have been here longer enough to understand trash and garbage project!!
Hakika hii kitu ni kupoteza mda
Yaan ukanunue V8 zero km kwa pai😂😂
Ila mpaka sasa sioni kitu.... Niipate Namba yake niwe nampigia