HOUSE GIRL EP 01 | S4 | LOVE STORY 💞💕

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 1,1 тис.

  • @busatitv
    @busatitv  19 годин тому +82

    Busatitv WhatsApp 👇
    chat.whatsapp.com/JyrN7hIxoagKiVTISAAdm0

    • @EverlineEtwasi
      @EverlineEtwasi 19 годин тому +1

      👌👌

    • @betronilanduta
      @betronilanduta 9 годин тому

      ✋✋✋✋✋✋🖐🖐🖐🖐🖐✋✋✋✋🖐🖐🤕

  • @MRTASHA-c2k
    @MRTASHA-c2k 23 години тому +615

    Walio furahi kuona Tena HOUSE GIRL SEASON FOUR mikono juuuuiii

  • @Annabellekerry
    @Annabellekerry 23 години тому +134

    Wou❤❤nani amefurahi kuona house girl ikiendelea❤❤❤

    • @EvaTemu
      @EvaTemu 2 години тому

      Mimi apa jamn

  • @ceciliawilly8573
    @ceciliawilly8573 23 години тому +312

    Wale tumefurahia house girl kurudi gonga like ukisonga🎉

  • @LuciaBukula
    @LuciaBukula 23 години тому +167

    Nyieee nyieee jamani me nilijua imeisha 😅😅😅 kwa walokuwa wanajua house girl imeisha season 3 tujuane kwa like hapa

    • @samsonkaboko5137
      @samsonkaboko5137 23 години тому +2

      Isingeishia hapo kwasababu pale mama candy alimtokea candy na gafla uchizi ukamtoka hapo Kuna sababu na ukumbuke haijajulikana ilikuwaje mke wa mdimu kafariki...

    • @Mwanauru
      @Mwanauru 22 години тому +1

      Ndio mm pia najua hivyo sasa wameileta tena tena yenye uzuni mwingi😢😢😢😢

    • @WistoniSiliveri
      @WistoniSiliveri 20 годин тому

      Kwaujio huu itafika mpaka season5

    • @ackisalfaksard9668
      @ackisalfaksard9668 6 годин тому +1

      Hata mimi 😊

  • @BenadethaSankwa-p7x
    @BenadethaSankwa-p7x 22 години тому +58

    Keina hongera kwa ushauri jamn like zangu kwa ushauri wa keina

  • @SandrineDupfiki
    @SandrineDupfiki 23 години тому +56

    Kutoka Burundi 🇧🇮 kufika apo mlipo sio mchezo liké zangu nipewe jameniii

    • @ReneNzeyimana
      @ReneNzeyimana 19 годин тому +1

      🇧🇮🇧🇮🇧🇮👍👍

  • @HappyDickson-d2g
    @HappyDickson-d2g 20 годин тому +46

    Jaman bibi zuu Yuko wa nimekumic je wangap wamemumic bibi zuuuu

  • @saraphinaJohn-k2m
    @saraphinaJohn-k2m 6 годин тому +7

    Sania atatoboa siri mana kawa mtoto Wa mungu,kama unakubaliana na Mimi gonga like hapa

  • @RamsoohOmarry
    @RamsoohOmarry 4 години тому +3

    Ak hii movie iko saw sana wenye wanafurahia kuona tena house girl wagonge like

  • @nismaali2982
    @nismaali2982 22 години тому +33

    Mungu msaidie mr tasha apone na wale wote wenye maradhi yote mungu awaponye🤲🤲🤲🤲

  • @abubakarmashingu
    @abubakarmashingu 18 годин тому +15

    Nimeipenda utambulisho wa kiramba wangap wameukubali kama Mimi,🎉🎉

  • @Bongojambo
    @Bongojambo 23 години тому +35

    Wale wa kwanza like zetyy

  • @skmovies-m8f
    @skmovies-m8f 23 години тому +43

    mungu awajalie nyote tuhone mwaka 2025 amen

  • @VerianiObedi-v7x
    @VerianiObedi-v7x 23 години тому +20

    ❤❤❤waooh jamann nimefurahi sana house girl ulivyoludi tuwape like BUSATI😘❤️❤️❤️

  • @tymaaAl
    @tymaaAl 22 години тому +8

    Hongereni team house girl ni msimu wa watoto huu mungu awabariki sana awasimamie kwa kila atua

  • @HappinessJumanne
    @HappinessJumanne 3 години тому +1

    nilijuwa imeisha daaaah waooo ❤❤

  • @VeronicaOgoti
    @VeronicaOgoti 10 годин тому +4

    Waooow congratulations house girl nimefurahi sana kuona s4 wapi likes zangu

  • @Teresia-bg9dt
    @Teresia-bg9dt 19 годин тому +5

    Wao Asanteni sana kwa kuleta house girl ep 1 S4 niliwa Miss sana guys

  • @NeneBuregeya
    @NeneBuregeya 22 години тому +40

    Wangapi wamechukizwa na candy kumuogopea kai?

    • @neemakatongo7853
      @neemakatongo7853 19 годин тому

      Candy mbona we ni kon'gan'ganizi Kama kurunzinza?

    • @SalmahKuvuna
      @SalmahKuvuna 15 годин тому

      Yaani kendi anamuonea wazi 😂😂wakati tuliona akibakwa😅😅😅

    • @JosephineMomanyi-jp8tv
      @JosephineMomanyi-jp8tv 9 годин тому

      Mm gaki

    • @KhadijaTz
      @KhadijaTz 8 годин тому

      ​@@SalmahKuvuna😂😂😂

  • @WittyKaguo
    @WittyKaguo 3 години тому +1

    Jamani mmekuwa kujifurahisha kurudi kwa house girl 😘😘😘😘

  • @hanifahkhamiss8485
    @hanifahkhamiss8485 21 годину тому +25

    Hapa kwa candy mnazingua 😢😢candy alitakiwa kubadilika sasa 😢

  • @HoHo-l1r
    @HoHo-l1r 23 години тому +14

    Hatimae tunaipokea kwa mikono miwili house girl burudani bila kikomo ❤❤❤❤

  • @Mwanamisi-q2v
    @Mwanamisi-q2v 23 години тому +14

    Kilamba keshapata mpumbavu mwezie somoe yuko sawa na kilamba mskini ndoa ya Kai naona kiyumba tena jamani emungu wajalie waishi kwa amani na mtoto wa sahil

  • @كامليا-ر7ز
    @كامليا-ر7ز 22 години тому +7

    Jmn njoon huku house girl iko hewani 😂😂😂❤❤❤❤❤ Asanteni sana wana busati tv

  • @JimmyJoshua-bk1wy
    @JimmyJoshua-bk1wy 23 години тому +10

    From Kenya mombasa bdo tuko tujiane kw like

  • @JaliahAbdulkalim-k9u
    @JaliahAbdulkalim-k9u 47 хвилин тому

    Waooo nimefurahi Sana ety nawapenda woote busati TV love more

  • @MaziamJororo
    @MaziamJororo 23 години тому +13

    Wooow mubarikiwe🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤wa kwanza msininyime like zang😢😢 Oman 🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲 Moja hiyo

    • @SabrahNibuka
      @SabrahNibuka 23 години тому +1

      Sawaa team hamamu 🎉🎉❤

    • @HazlaAdamu-e7v
      @HazlaAdamu-e7v 23 години тому +1

      Tupo waote

    • @MaziamJororo
      @MaziamJororo 23 години тому +1

      @@SabrahNibuka 😆😆😆😆😆😆team majunune

    • @MaziamJororo
      @MaziamJororo 23 години тому

      @@HazlaAdamu-e7v yaap tupo na busati mpka mwisho wa wi Fi free 😆😆😆

  • @marynabwile4086
    @marynabwile4086 4 години тому

    Wow congratulations Wana busati asante kurudisha kipindi chetu hongera sana

  • @Najmahnyangasi
    @Najmahnyangasi 23 години тому +8

    Wooooyooo woyoeoyoooo wamwisho jaman like kidogo busati tv kazi nzuri sana nawapenda bure ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @MwanamisiMunnah-x3v
    @MwanamisiMunnah-x3v 23 години тому +4

    Waoooh mungu awazidishie palipo pungua wananusart nyote nawapenda sana kwaajili ya ALLAH hasa hasa MR TASHA.. na ZATITI nawapenda jaman❤❤❤

  • @PhanyKemunto
    @PhanyKemunto 23 години тому +63

    Wanabusati mahali mnanikera sasa ni kumruhusu Candy kushinda akifaulu kumsumbua Kai na Zuu ,yeye kwani huu muda wote hawezibadilika ,nilitarajia hii season itakuwa ya kitofauti watu wawe na amani kumbe ndio vilevile TU

    • @selestinakazuvi7213
      @selestinakazuvi7213 23 години тому +9

      Kwa kweli jamani familia ya Kai mngeipumzisha kwa changamoto hizi mngeweka hapo ikawa tofauti jomoni Mr.Kai na Bi Zuu waishi kwa amani

    • @REVINAWILLIAM
      @REVINAWILLIAM 23 години тому +10

      Nilitegemea laana ya mama ingemubadilisha kendi ila km atakuwa na tabia zilezile itakiwa haina maana ya season 4 na tasha angepona Sasa km mambo ndo haya cjui km season hii itakuwa tamu

    • @NeemaPaul-g7y
      @NeemaPaul-g7y 22 години тому +4

      Kwani rahana ya Mama inaishag kendy awez kuacha tabia yake mby Kai na zuu tena kuwasumbua wangewaacha kwani😮😮

    • @Fatuma-vz9zl
      @Fatuma-vz9zl 22 години тому +1

      Ni kweli jmn hamumpi zuu na Kai wakafurahia ndoa Yao inauzunish sana kwakweli

    • @asha6783
      @asha6783 22 години тому +3

      Candy waniboesha sana mbona msumbufu....niliangalia season zote sai twajuwa candy atavadilik

  • @AishaNibizi
    @AishaNibizi 5 годин тому +1

    Mimi Aisha mutoto wa Burundi Bujumbura nafulai sana kuyi ona house grl tena ila kinaco nisikitisha ni kendi kumuzingishia uwongo tena kai mungeyilidulia amebadilika mama tasha na zatiti mungu anawaona mumuombe mungu kaibe ingora we na zou kupata mutoto kilamba mupumbafu kamupata mupumbafu mwenziye 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤ nawapenda wana busati nyote❤❤❤❤

  • @mariawawuda
    @mariawawuda 16 годин тому +5

    Waliofurahia kuona house gal season four wapii nduru ya season fou🎉🎉🎉🎉 na pia waliofurahia kumuona beb sahill pamoja na babu yake mko wapi poa maana nakumbuka alipoa hapo season three🎉🎉🎉🎉💃💃💃

  • @JessicaIrakoze-w4e
    @JessicaIrakoze-w4e 4 години тому

    Yani nyiye hadiiii mnabowa kilasiku movie moja hamugeuzi action kendy anboa mpaka

  • @Mwanamisi-q2v
    @Mwanamisi-q2v 23 години тому +6

    Maashallah zuu amezidi kua mzuri kama jina lake 🎉🎉🎉

  • @NeemaEli-wl1dz
    @NeemaEli-wl1dz 19 годин тому

    Kaziruri sana mungu awainuwe zaidi

  • @SolangeBorndy
    @SolangeBorndy 23 години тому +8

    Waaaaaaoooooo nafurahi sanaaaaaa❤❤❤

  • @fammamaboko6543
    @fammamaboko6543 6 годин тому

    Bwana harusi wetu Kibendu 🎉
    Big up team house girl 🎉pa n'a Busati TV

  • @ChristinaJoab
    @ChristinaJoab 22 години тому +2

    Kaz nzur san busat ❤❤❤🎉

  • @LatifaYuSuph-s4z
    @LatifaYuSuph-s4z 5 годин тому +1

    Hongela sana

  • @FestusJuvinary
    @FestusJuvinary 20 годин тому +11

    Tunao amini mpango wa CENDI kumsingizia KAI kuwa mimba ni yakwake kutokan na SANIA ameshao🌹👋👇koka atamuumbua kendy gonga👎❤️💔👍💯👋🖐️❣️😛🌷😛❣️😛

  • @FATUMASalim-b5f
    @FATUMASalim-b5f 21 годину тому +1

    Nimefurah sanaa kuona house girl kwa mara nyingin

  • @Kai_busati
    @Kai_busati 23 години тому +30

    MAPINDUZI YA HOUSEGIRL🔥🔥🔥

  • @masanjaSeleman-t4u
    @masanjaSeleman-t4u 20 годин тому

    Safiii❤❤

  • @greas5465
    @greas5465 23 години тому +2

    Keina nimependa sana ushauri wako hapo, kibendu njoo polepole bro msikize mke wako

  • @mejumaabaraza3989
    @mejumaabaraza3989 21 годину тому +1

    Kudadeki kitu Kiko uwanjani Yani furaha yangu imerudi asanteni sana busati tv kukutujali much love from kenya 🎉🎉🎉🎉❤

  • @Lornagari
    @Lornagari 16 годин тому +2

    Nimefrahi sana, twende nalo

  • @PhilistineLwakhakha
    @PhilistineLwakhakha 21 годину тому

    Mashallah tuko pamoja ❤❤kwa hii kazi nzuri

  • @SaraJames-b2q
    @SaraJames-b2q 23 години тому +2

    Haaaa waooo mm napendaaaa isiish kbx

  • @jamilamwarabu3890
    @jamilamwarabu3890 9 годин тому

    Wowing mashallah mashallah ❤❤❤

  • @RoseMeshack-c9x
    @RoseMeshack-c9x 23 години тому +3

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 waoooh nimefurah sana kuiona house girl

  • @Marlenapilikitsao-gk9je
    @Marlenapilikitsao-gk9je 5 годин тому

    SS house girl imekuwa ya kuona nataka watoto mwawingi🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @roshirash-uv3mz
    @roshirash-uv3mz 23 години тому +4

    Hapo sawa mlitaka mtuletee mauzauza ona inapendeza

  • @SaumuWanje
    @SaumuWanje 19 годин тому +1

    Mubarikiwe wana. busati tv kwa kurudisha house girl ❤❤🎉🎉

  • @DORINHASSAN-f2l
    @DORINHASSAN-f2l 23 години тому +2

    Waoooooooo jmn mungu awabariki

  • @Marlenapilikitsao-gk9je
    @Marlenapilikitsao-gk9je 4 години тому

    Sania kupendeza jamani mungu akubariki sn my dear 💖❤️❤️❤️❤️

  • @GilberthRajab-n4x
    @GilberthRajab-n4x 23 години тому +10

    Aya kwq wale tulofatiria kuanzia season 1. 2. 3 ikaisha nasasa tumeanza episode ya 4 tujuane hapa jmn🎉🎉🎉 tena kwakishindo kikali🔥🔥🔥🔥

  • @LatifaYuSuph-s4z
    @LatifaYuSuph-s4z 5 годин тому

    Nimefulai sana house girl kulud

  • @evarkhanaya7891
    @evarkhanaya7891 21 годину тому +2

    House girl nawapenda sana asanteni kurudi ❤❤❤❤

  • @JescaMarykarisa
    @JescaMarykarisa 23 години тому

    Hongereni sana kwa kazi yenu nzuri 🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @Gloriazawad
    @Gloriazawad 23 години тому +2

    Wow kai na zuu hongereni nimekiona kichanga chenu 😅❤🎉❤🎉🎉❤❤❤❤

  • @ShukuruGumbo
    @ShukuruGumbo 19 годин тому

    Asante sana jaman nimefurahii nakupenda sana hause ger

  • @ZaniaSaidi-y3x
    @ZaniaSaidi-y3x 23 години тому +2

    Ahsante sana jaman mana tulimis sana house girl

  • @sayunimnguruta98
    @sayunimnguruta98 23 години тому +1

    Waoooo mapema sana ❤❤❤❤❤❤❤❤ nilimiss sana aisee hongereni sana

  • @aishahamis1609
    @aishahamis1609 23 години тому +11

    Yaani mmetutendea haki nilitaman kumuona chiko Kikimlamba

  • @MpashiKennedy
    @MpashiKennedy 4 години тому

    ❤❤❤❤Kumbe House girl bado ipo ongereni saana nimefulai kuiona tenaw😂🎉😅😅😅🎉❤😅

  • @AsmasaidiTitu
    @AsmasaidiTitu 23 години тому +2

    Kuna mjitu inawahi sijapenda..busat❤❤❤❤❤❤❤❤ .

  • @RosemarySulle-e9c
    @RosemarySulle-e9c 18 годин тому

    Jmn kila anamimba hongereni sana wanabusati

  • @MwanaMwana-z4r
    @MwanaMwana-z4r 23 години тому +6

    Waliyongoja house girl kama tunasubiri maembe juu ya mti tujuane

  • @WitnessMaile
    @WitnessMaile 19 годин тому +1

    Me nkajua imeisha mazma kumbe bad unaendelea🎉🎉🎉

  • @LennaAjiambo
    @LennaAjiambo 23 години тому +6

    Wangapi wamefurahi kama mm kuona season 4 episode 1

  • @Agnes-hy1vk
    @Agnes-hy1vk 40 хвилин тому

    Wow am so happy kuona house girl tena🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @AnnAnn-i4x
    @AnnAnn-i4x 23 години тому +22

    Weee Cady jamani c umwache kai

  • @KhamisMakau-kc1cr
    @KhamisMakau-kc1cr 7 годин тому

    Aki mmenifurahisha asanteni Sana ❤❤❤❤

  • @Kai_busati
    @Kai_busati 23 години тому +7

    SEASON 4 MAMBO MAPYAAA🙌🔥

  • @AminaAfrica-pr3gi
    @AminaAfrica-pr3gi 22 години тому

    Hongera Sana matunzi wa house girl kwa kutuletea epd 4 many congratulations to you & love you

  • @RebecaAseri
    @RebecaAseri 23 години тому +4

    𝐍𝐢𝐥𝐢𝐤𝐮𝐚 𝐧𝐢𝐦𝐞𝐰𝐚𝐦𝐢𝐬𝐬 𝐒𝐚𝐧𝐚 𝐚𝐤𝐲 𝐧𝐢𝐦𝐞𝐟𝐮𝐥𝐚𝐡𝐢𝐚 𝐒𝐚𝐧𝐚 ❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @HafsaShekigenda
    @HafsaShekigenda 2 години тому

    Duh kai unatisha nawapenda sana jamani❤❤❤❤❤

  • @AlineBaby-m5l
    @AlineBaby-m5l 22 години тому +2

    Wanduguzangu watazamaji ,mbon hakumukunipigiy simu munambiy kam hous girl imeludi jamani ,watu tumefulahi kuon hous girl kurudi tusarimiyane🎉🎉🎉🎉🖐️

  • @SisterMalaso
    @SisterMalaso 22 години тому +1

    Waooooh tumeisubili kwa ham sana house girl season 4

  • @Zeinabmea
    @Zeinabmea 23 години тому +16

    Jaman hii mimba ya candy naiona pekeangu ama wenzangu mumeiona vyenye iko 😂😂😂😂😂😂😂😂😂ila nawapenda sana nimefurahi kuiona house girl ikiendelea❤❤❤

    • @Shakila-pq2gv
      @Shakila-pq2gv 23 години тому +1

      😂😂😂😂😂😂

    • @ASAS-q9u9e
      @ASAS-q9u9e 23 години тому +1

      😂😂😂😂😂 yaan achatu😂😂😂😂

    • @JamesJimmy-p7p
      @JamesJimmy-p7p 22 години тому

      Ametutika manguo kwelikweli 😂😂😂

    • @Shakirairakoze
      @Shakirairakoze 22 години тому

      Iyo mimba ndo wamekomeshea kwa kutudangany😂😂😂😂😂😂

    • @PriscalMummy
      @PriscalMummy 22 години тому

      😅😅😅

  • @Chrstine-j6u
    @Chrstine-j6u 22 години тому +1

    Mmerudi na baraka nyingi za watoto mungu amponye mr Tasha aone mtoto wake

  • @JustaMartinsEduardo
    @JustaMartinsEduardo 23 години тому +3

    Ntoto Wetu 🎉🎉🎉

  • @zippyzippy6292
    @zippyzippy6292 20 годин тому

    Hongera sana am too happy to see house gal again ❤🎉

  • @WistoniSiliveri
    @WistoniSiliveri 20 годин тому +2

    Kwaiyo hii mtatoa mpaka season yangap

  • @TimeAly-z1l
    @TimeAly-z1l 22 години тому

    kazi nzuri mashaallah ❤❤❤

  • @veronicawilliam7276
    @veronicawilliam7276 23 години тому +3

    Bi zuu nyonyesha sasa mtoto sasa analia tu ndo nini hivo 😢😢😢😢pole sana zatiti Mungu akutie nguvu kipenzi

    • @REVINAWILLIAM
      @REVINAWILLIAM 23 години тому

      Mtt kakodiwa nin😂😂

    • @veronicawilliam7276
      @veronicawilliam7276 32 хвилини тому

      @REVINAWILLIAM nipo nahisi hivo maana amelia mpkaaa kanyamaza

  • @TumuRashid
    @TumuRashid 18 годин тому

    Asante mungu Kwa kuona house girl inaendlea nawapenda Wana busati 🎉🎉❤❤ Allah awaongoze na kla la kheri kwnye kazi nyingi

  • @TeddyJames-rh6cl
    @TeddyJames-rh6cl 23 години тому +4

    Nmefrahi Sana jaman kuendeleza

  • @RehemaSalim-m8s
    @RehemaSalim-m8s 21 годину тому

    Kazi nzuri mmetuletea hongereny❤❤❤❤❤❤🎉

  • @SdFft-j5g
    @SdFft-j5g 22 години тому +3

    kwa hyo hdy kwa season 4 bdo kendi anamfatilia kai tuu,basi na msituletee tena achieni hpo hpo tuu😂😂😂

    • @IreanMbula-w2u
      @IreanMbula-w2u 20 годин тому +1

      Walai inaumiza sana😢😢

    • @Yuu-w7w
      @Yuu-w7w 15 годин тому

      Tena ina boa hasaa

    • @MonicaNathanael
      @MonicaNathanael 4 години тому

      Yaan mim kam wew tuuu yaan inakera sanaaa

  • @ميريم-ط1س
    @ميريم-ط1س 20 годин тому

    Asanteni kwa house girl season 4 hongereni Sana 🎉🎉ila nawapenda sana nyote mliohusika kutupa Burudani

  • @elvinakalu6991
    @elvinakalu6991 23 години тому +3

    Kilamba anagurahia penzi jipya kwwli 😂😂😂😂

  • @SalamaMlozi
    @SalamaMlozi 11 годин тому

    Wow jmn asanten kwakutuletea hii ktu❤❤❤

  • @afridat
    @afridat 22 години тому +4

    Sasa nimeamua kufall in love 💞 na busati tv😅haya waje waloungana na mm😅kuletwa kwa season 4

  • @NAOMIMSNAOMI-s3m
    @NAOMIMSNAOMI-s3m 21 годину тому

    Yani munanifuraisha sana jmn😂❤❤❤❤❤❤❤

  • @JLMEDIA-35
    @JLMEDIA-35 22 години тому +6

    Ubuninifu umeishia hapa tu 😂😂😂😂 daah tulio choka kuaingalia tujuane hapa natuwe wakweli 😂😂😂😂tu

    • @rahmaoman470
      @rahmaoman470 22 години тому +1

      Yni wanalazimisha tuu

    • @moreenfelluzy3243
      @moreenfelluzy3243 21 годину тому

      Yaan hat Haina vaibu kabis sijui kw nn wameotoa kwend ND mjing kbs ananiudh mm jmn

    • @Chebaibaiever
      @Chebaibaiever 21 годину тому

      Exactly 😢 hakuna kitu hapa

    • @WardaBido
      @WardaBido 21 годину тому

      Walah imeish utamu walitakiwa wallet kitu kipya ufuu😢😢😢😢😊

    • @EnisaSimoni-x9l
      @EnisaSimoni-x9l 9 годин тому

      Onyeshaaa wa kwako basiiii😢😢

  • @mrkirui9073
    @mrkirui9073 22 години тому +1

    nimefurai sanaaaaaa❤❤❤❤❤❤

  • @lovenessmichael7098
    @lovenessmichael7098 23 години тому +6

    Mbona sielewi imeludi