السلام عليكم و رحمة الله وبركاته وصلى على سيدنا و حبيبنا محمد وعلى آله وصحبه وسلم تسليما It was nice to learn historiography our great people of East Africa. It is something that very timely. Another great person of East Africa is Darwesh Abubakar. I wonder if you could say something about him. He had and continue to have a great impact on East African Muslims.
Sheikh abdallah swaleh al farsiy siomyaman Hawa ni mafarsiy wenye asili ya irani wazeewao wa mwanzo walihamia oman baadae wakahamia zanzibar pia ktka walomsomesha ni wa masri
Mkihadithiwa mue na hakika huyo sio bwana mkubwa wapo mabwana hapo suleiman allawi Habib Omar mwinyi baraka Kuna Habib Omar bin sumeity huyo alikuwa mdogo tuu
Kisa kilichomfa sheikh Abdullah fasty kuenda Mombasa kimya sio sababu za kisasa ni sababu kwamba alifariki kigogo wa vigogo sayyid Salim Al attas aliekuwa kadhi wa Mombasa ndio ikabidi sheikh saleh Abdullah fasty aende Mombasa kupokea nyadhifa ya sharif Salim Al attas
The most successful kadhi of East Africa ever.may Allahu accept him for his efforts to Islam.
Great man who left his footprint... oh Allah guide us the same way... and grant us ta'aawil
pp
May Allah give him place in paradise.. Ameen
Shukran sana kwa historiyah
Allah SWT aling'arishe kaburi lake...Ameen
Fantastic. Very impressive and the orator is very clear
Al Fateha for Marhoom Sheikh swaleh àl-Farcy
Assalam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh. Shukran sana kwa historia ya Shaykh wetu. Tunaomba utuekee na ya Shaykh Nassor Bachu
In Shaa Allah
Ameen inshaallah, Allah atupe mwisho mwema
السلام عليكم و رحمة الله وبركاته وصلى على سيدنا و حبيبنا محمد وعلى آله وصحبه وسلم تسليما
It was nice to learn historiography our great people of East Africa. It is something that very timely.
Another great person of East Africa is Darwesh Abubakar. I wonder if you could say something about him. He had and continue to have a great impact on East African Muslims.
masha ALLAH.
I'm so grateful to know this😃😃
Mziki ni mrefu mwalim kama utaweza kuufupisha itakuwa vzr kwetu sisi wenye mb za mawazo
In shaa Allah
Mashaallah Historiya mujarrab
MASHAALLAH
Allah amrehem
Ma shaa Allah
Asalam alaykum, tutapata wapi kisomo chake alisochosoma enzi zake. Natafuta recitation yake
Bwana mkubwa
Sheikh abdallah swaleh al farsiy siomyaman Hawa ni mafarsiy wenye asili ya irani wazeewao wa mwanzo walihamia oman baadae wakahamia zanzibar pia ktka walomsomesha ni wa masri
Shekh kuna fursi Iran yeye Al farsy Oman hio histry iliotolewa ni sawa sawa mizizi ya wengi ni yemen
Hapa nimegundua kwa nini Sheikh Abdallah Saleh Farsiy alipinga vitu vingi kwa Dini.
Mkihadithiwa mue na hakika huyo sio bwana mkubwa wapo mabwana hapo suleiman allawi Habib Omar mwinyi baraka Kuna Habib Omar bin sumeity huyo alikuwa mdogo tuu
Kisa kilichomfa sheikh Abdullah fasty kuenda Mombasa kimya sio sababu za kisasa ni sababu kwamba alifariki kigogo wa vigogo sayyid Salim Al attas aliekuwa kadhi wa Mombasa ndio ikabidi sheikh saleh Abdullah fasty aende Mombasa kupokea nyadhifa ya sharif Salim Al attas
Music haraam
Masha allah