shukran kwa mafundisho, je huyu pastor Paul hussein, alienda wapi ,haya mafundisho ni ya miaka 4 iliopita kutoka 2013, 2014, 2015, 20 16 yuko wapi huyu pastor? ????
@@josephkalonga550 Ukweli huyo Kafiri mwenzenu hakuwa Muislam na Qur'an haijui kabisa, hii ni kama filamu ya ucheshi iliyotungwa kuendelea kuwasukuma motoni manaswara aswi kama wewe. Mimi nakutolea mfano kidogo tu hapa narejea aya aya ya Qur'an aliyowahi kuinukuu hapa kuwa ni uwongo tafuta aya hii jinsi alivyotafsiri halafu uje tena ucomment uozo hapa ( إِذْ قَالَتِ الْمَلَائِكَةُ يَا مَرْيَمُ إِنَّ اللَّهَ يُبَشِّرُكِ بِكَلِمَةٍ مِّنْهُ اسْمُهُ الْمَسِيحُ عِيسَى ابْنُ مَرْيَمَ وَجِيهًا فِي الدُّنْيَا وَالْآخِرَةِ وَمِنَ الْمُقَرَّبِينَ ) آل عمران (45) Aal-Imran Na pale Malaika walipo sema: Ewe Maryamu! Hakika Mwenyezi Mungu anakubashiria (mwana) kwa neno litokalo kwake. Jina lake ni Masihi Isa mwana wa Maryamu, mwenye hishima katika dunia na Akhera, na miongoni mwa walio karibishwa (kwa Mwenyezi Mungu).
Yesu Kristo ni njia kweli na uzima
Wapiuuzi wqnamsikiliza mpiuzi mwenzao
Ameeeeeeennnn yesu kristo ni kila kitu ktk maisha yetu lazma tukubali tuuu Ameeeeeeennnn Ameeeeeeennnn Ameeeeeeennnn
Halleluya, praise God
Duuu Yesu awafungue
Yesu ni mwema
Waislam kanusheni:chakula msibani kuchanganywa na kinyesi na maji ya maiti?
Amen kubwa
Tena namba tupewe link. Ya Kudownload hii video na zingine
Aki Mungu huteda maajabu juu huyu mzee wa nyumba ninayofanya kazi alikufa lakini sikueda mahali mazishi yalifanyiwa
@@misswamunyusiz.gikunju9510
Huyu jamaa Mwongo Aliwadanganya vipaya sana! Maskini wakiristo Check this!
ua-cam.com/video/0oUMm3NJVOw/v-deo.html
Namba niogozwo maombi maana kile chakula za mazishi nimekila sana... Niko Saudi Arabia
God bless you
shukran kwa mafundisho, je huyu pastor Paul hussein, alienda wapi ,haya mafundisho ni ya miaka 4 iliopita kutoka 2013, 2014, 2015, 20 16 yuko wapi huyu pastor? ????
mungu amemubeba aende aishi ulaya .AUSTRALIE
@@wannymapenzi3780 sawa tuna mpataje ili tuendelee kujifunza kwake
Oooo my God please pray for me. I have eaten their food. Jesus Christ help me 🙏
ua-cam.com/video/0oUMm3NJVOw/v-deo.html
Jesus is Great.
tuodoke huko hapafai kabisa
Uislam unahimiza waja wake kutafuta ilmu japo nchi ya China IWEJE USEME WAISLAM HAWAJUI LOLOTE
Yupi kafir anayemwamini .Mungu au anayetegemea majini kutengeneza pesa?
Kwanzahajui kuisomaquraani kabisa anaikosea piahajui kiarabu
Wewe unashindwa nini kusoma quran?
Naomba toa dosali zake.
Wewe Rwanda hiyo sio TZ. Utapigwa maswali huna majibuuu
Sasa wewe unasema Mahamadi alitokewa na Malaika mara majini Ongea kama msomiii
@@josephkalonga550 Ukweli huyo Kafiri mwenzenu hakuwa Muislam na Qur'an haijui kabisa, hii ni kama filamu ya ucheshi iliyotungwa kuendelea kuwasukuma motoni manaswara aswi kama wewe. Mimi nakutolea mfano kidogo tu hapa narejea aya aya ya Qur'an aliyowahi kuinukuu hapa kuwa ni uwongo tafuta aya hii jinsi alivyotafsiri halafu uje tena ucomment uozo hapa
( إِذْ قَالَتِ الْمَلَائِكَةُ يَا مَرْيَمُ إِنَّ اللَّهَ يُبَشِّرُكِ بِكَلِمَةٍ مِّنْهُ اسْمُهُ الْمَسِيحُ عِيسَى ابْنُ مَرْيَمَ وَجِيهًا فِي الدُّنْيَا وَالْآخِرَةِ وَمِنَ الْمُقَرَّبِينَ )
آل عمران (45) Aal-Imran
Na pale Malaika walipo sema: Ewe Maryamu! Hakika Mwenyezi Mungu anakubashiria (mwana) kwa neno litokalo kwake. Jina lake ni Masihi Isa mwana wa Maryamu, mwenye hishima katika dunia na Akhera, na miongoni mwa walio karibishwa (kwa Mwenyezi Mungu).