Tazama nyumba zinazoelea baharini Zanzibar

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 32

  • @mwanaishambili241
    @mwanaishambili241 5 років тому +5

    Wow so amazing i wish one day i can visit tz insha'Allah

  • @dalfatsoud5923
    @dalfatsoud5923 5 років тому +1

    Lovely 😊 Mgeni wako mwakani ishallah

  • @ahmeidyoung2410
    @ahmeidyoung2410 5 років тому

    Zanzibar kuzur maa shaa Allah..

  • @youngbob9761
    @youngbob9761 3 роки тому

    Zanzibar raha sana.

  • @janenyambura5165
    @janenyambura5165 5 років тому +2

    I can't sleep under the water coz siwezi pata usingizi ni uoga

  • @Electri-ambi
    @Electri-ambi 5 років тому +3

    Ambao hatutumii bia Na soft drink tuko software tunalipa shi ngapi

  • @mohamednaaman188
    @mohamednaaman188 5 років тому +3

    Mbona mtangazaji umefetua huyo sio manager wa boat 😃 kabisaa

  • @hafidhhumoud934
    @hafidhhumoud934 5 років тому +5

    Kweli vichogo wamevamia zanzibar

  • @mapenzikatana9990
    @mapenzikatana9990 5 років тому +1

    Smrt Sana akiii hata Mimi nitakuja na muzungu wangu siku moja

  • @alihijiiddi8977
    @alihijiiddi8977 3 роки тому

    KUINJOY GANI BWANA KUHANISIWATU KWA MAUCHI YAO KUTUHARIBIYA WATOTO WETU NA TAMAA ZA MAFITINA WA KIISILAMU MAWAZIRI WAJINGA. WAPUMBAVU 😇🇹🇿👹🇮🇱😇🇹🇿👹🇮🇱😇🇹🇿👹🇮🇱😇🇹🇿🇹🇿🇹🇿😇😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿👹🇹🇿🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿🇹🇿😇👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿🇹🇿👹😇🇹🇿🇹🇿👹😇😇🇹🇿🇹🇿👹😇🇹🇿😂👹😇🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @josephnjeno2582
    @josephnjeno2582 5 років тому +6

    vipi mshika kipaza mbona mbwebwe zimeisha huulizi maswali husikii hata wanaonhea nn lkn angekuwa mswahili ameshapigwa maswali kibao

  • @SA-xj8hc
    @SA-xj8hc 5 років тому +6

    Sasa hizo nyumba zikifikia kama 100 hivi itakuaje hapo ? Si slums ? Jee sewage system iko vp au vinyesi vinaishia baharini tu ! Uchafu.

  • @nwntz
    @nwntz 5 років тому +3

    tukiacha ubahili tutaibuka huko

  • @omarymbalala6224
    @omarymbalala6224 5 років тому +1

    Noma

  • @ednasteven6475
    @ednasteven6475 5 років тому +2

    Sasa wazungu hawaulizwi hahahaaa

  • @hassanhemed4836
    @hassanhemed4836 5 років тому

    Mazingira yapo powa, Jipange USD 26 ni kawada tu kwa starehe. .!

  • @muslimusaidi6117
    @muslimusaidi6117 5 років тому

    Yanini kununua maji na mimi mzanzibar hlic

  • @elizabethmajaliwa5189
    @elizabethmajaliwa5189 3 роки тому

    Wazungu nyie roho mbaya kwenu mtu akija anabanwa wee Ila nyie kwetu mwajitawala mwae Joy tu

  • @samwelndiletelevisionc3385
    @samwelndiletelevisionc3385 5 років тому

    Daaaaaa ko wana wa ujerumani wamekuja tuu kuangalia basi wanalipa mkwanja???? Duu

  • @nuruhabdul5307
    @nuruhabdul5307 5 років тому +1

    nishawahi kufika Ni pazur kwakwel

  • @mamyrylovemeagain2406
    @mamyrylovemeagain2406 5 років тому

    Mambo ya znz fork iy

  • @sabatomjungu9727
    @sabatomjungu9727 5 років тому +1

    🤔🤔🤔🤔Bia shilingi 6000 maji shilingi 3000 Bei ya kawaida ??? du

  • @sifajuliemme1001
    @sifajuliemme1001 5 років тому

    Say what why Americans no no no no no no no no no now now now now not make no sense because talk your language how are you going to them well maybe if you know if there were 100% sure to 100%Like I’m so mad I’m not mad I’m just what what is that fish what are they doing like they speak our language or something like a cop you