Mgaya uko vizuri.. Na hongera. Wote mliopohumu. Haswanimefurahi. Kumuona. Dada khajra na mbwela na chapombe 😂😂😂na. Wanda Nawakubalisan hawawatu. Nawapendasana wote. Ila asikose. Mazonge. Nk
Kusema ukweli kazi ni nzuri sana Ila cha kukushauri braza mgaya Usitoe kazi ambazo zinafanana Aidia na kazi za wasanii wenzako Ambazo wameshawahi kuzifanya Mfano hii muvi kipande cha mwanamke Huyo ambae mumewe ni mlevi Hakitofautiani na kazi ya gozi aliigiza na mabwende khan
@ dada khajra nadhan ww una d3 D yako 1 ni ya makasiriko na ndo uliyoitumia apo Elewa neno aidia kufanana yan kasoro watu tu ndo tofauti Pia tutaikuzaje sanaa yetu ya kibongo kwa kuiga au kutazama kazi za kihindi Kwaninu tusibuni vyakwetu nasisi tufikie Levo ya kuigwa Pia hii siyo kazi ya kwanza kuifananishwa aidia Ipo nyengine pia imerudiwa aidia ya muv ya mkojan ambayo mgaya pia alikuwemo kwenye hiyo muvi Ilitoka kipindi ambacho ulikua upo kwenu kigoma unazipambania d2
Ata safari ya kilometa elf1, uanza daima kwa hatua moja, niki maanisha kuwa, uwezo wa kazi unao ila niswala tu la mda. Daima usisahau kauli yako : "IPO SIKU TUTAKAA SOTE MEZA MOJA" ishi ukijua kuwa, Mwenyezi Mungu hahitaji wenye uwezo bali uwapa uwezo alio wachagua🎉 By Shahzaad-One...
Pamela umepat vizur na mr kijiti
*Mgaya nilianza kumuelewa kwenye Filamu ya RING alicheza vizuri sana uhusika wake. Kwenye kazi hii pia nampa maua yake, ameitendea haki sana 🤝⚘*
Wew tena hukwepeshi 🎉❤😂😂😂
@@HudhaimaYussuf Kila kona yupo😂
Yani yupo Kila Kona kama mchawi Kila filam utazani mzamin wa filam😂😂😂😂😂😂
Acha niseme to kwakwel sikupendi😂😂😂😂@@IrakozeHami-t9m
Mko sawa kabisa❤❤❤❤❤
Shaba juu
Hongereni sana 🎉🎉❤❤
Am waiting on the next EP come soon
Mgaya iyo shemeji toka mbn kama utak atoke ,Kaz nzur ❤❤❤
Nkpend dd hajraaa
Mgaya uko vizuri.. Na hongera. Wote mliopohumu. Haswanimefurahi. Kumuona. Dada khajra na mbwela na chapombe 😂😂😂na. Wanda Nawakubalisan hawawatu. Nawapendasana wote. Ila asikose. Mazonge. Nk
Asante tunakupenda pia
Kusema ukweli kazi ni nzuri sana
Ila cha kukushauri braza mgaya
Usitoe kazi ambazo zinafanana
Aidia na kazi za wasanii wenzako
Ambazo wameshawahi kuzifanya
Mfano hii muvi kipande cha mwanamke
Huyo ambae mumewe ni mlevi
Hakitofautiani na kazi ya gozi aliigiza na mabwende khan
Fatilia kazi zawahindi stori nitofauti ilaa matukio Huwa yanafanana kwahyo mlevi asiwepo kwakuwa kunamtu kashaigiza ulevi mtu anafumaniwa namumewe naleokunasehem mwengine kafumaniwa namumewe matukio nimamoja ila location tofauti tumia d2
@ dada khajra nadhan ww una d3
D yako 1 ni ya makasiriko na ndo uliyoitumia apo
Elewa neno aidia kufanana yan kasoro watu tu ndo tofauti
Pia tutaikuzaje sanaa yetu ya kibongo kwa kuiga au kutazama kazi za kihindi
Kwaninu tusibuni vyakwetu nasisi tufikie
Levo ya kuigwa
Pia hii siyo kazi ya kwanza kuifananishwa aidia
Ipo nyengine pia imerudiwa aidia ya muv ya mkojan ambayo mgaya pia alikuwemo kwenye hiyo muvi
Ilitoka kipindi ambacho ulikua upo kwenu kigoma unazipambania d2
Nimefurahi sana da hajira na hilo jibu lako uko vizuri sana huku kuna kilio mtu kafa na kule mtu kafa ni location tu@@Khajra-r1u
Kapela upo vizur kuigiza sehem ya chapombe😂😂kaz nzur sana mgaya
Khajira
Kubwa hii nimeipenda kutoka kenya 🇰🇪 😊😊😊😊
😂😂😂 hajira Hilo jicho la kupenda 😂😂😂 muonee huruma Wanda jaman astirike mume mlevi huyo atamuua na kipigo jaman 😂😂
Jmn 😂😂😂ntapungiza
Kapela😂😂😂
Kapela 😅😅😅
Ila mgaya 🎉🎉❤❤❤
Watching from Zambia but why Mgaya kusema tamtowa usiku😂
NARABUKU 😂😂😂😂🎉
Dadek😂😅😂😅😂🏃🏃🏃🏃
Kazi nzuri mno🎉🎉🎉🎉🎉🎉
🔥🔥
Et mfumo wagusa achia twende kwao 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉
Nice nikali kinoma big up
Mgaya pia mm nilianza kumuelewa Kwa filamu ya ring ila namukubal Mia Na moja 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kaz kali big up 🎉🎉🎉🎉
Safiiiiiiiii🎉
Nzuri sana
Kaka huna baya kazi nzuri sana
Big up bro🙏🙏🙏
much love mbuyu
Kazi safi
Kazi zuri sana
🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂
Magaya haki wewe😂😂😂😂😂😂
❤❤❤🎉🎉🎉45
Namuweka kwenye majaba😂😂
Kubwa kuliko
Big up mgaya ❤❤unajua sana nawakubali crew nzima
Kapela kaweza
😂😂😂😂😂
good job
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂et mfumo wagusa achia twende kwao😂
Ata safari ya kilometa elf1, uanza daima kwa hatua moja, niki maanisha kuwa, uwezo wa kazi unao ila niswala tu la mda.
Daima usisahau kauli yako : "IPO SIKU TUTAKAA SOTE MEZA MOJA"
ishi ukijua kuwa, Mwenyezi Mungu hahitaji wenye uwezo bali uwapa uwezo alio wachagua🎉
By Shahzaad-One...
Kazi nzurii
Kazi safi
Good job