🔴OSTAZ JUMA AFICHUA MAZITO MBOSSO KUONDOKA WCB BILA KULIPA MIL 600 SIRI ZOTE HIZI HAPA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 лют 2025
  • #topleveltz #mbosso

КОМЕНТАРІ • 32

  • @NamwasaShabani
    @NamwasaShabani 8 годин тому +1

    Ustaz anaongea ukweli

  • @MohdSaid-jq2sb
    @MohdSaid-jq2sb 3 години тому

    Mzze wangu kweli 🎉

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 6 днів тому +1

    😂😂😂😂😂 Mzee Abduli huyu Ustadhi anachekesha...

  • @musimaayub3776
    @musimaayub3776 День тому +1

    Mzee ako Rada sana anakaelewa sana 😂

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 5 днів тому +4

    Warudishe kundi tu , Aslay + Mbosso+Beka fleva😂❤

  • @AssumaneTuariboselemane
    @AssumaneTuariboselemane 5 днів тому +1

    God bless you mbosso khan

  • @shabaniduduma8885
    @shabaniduduma8885 День тому +1

    Mbona huyu mzee ana hasira sana na Wasaf?

  • @MwanaishaShattry
    @MwanaishaShattry 3 дні тому

    Basi mie namwita USTAADH kumbe ni OSTAAZ.

  • @Platwhite_Tz
    @Platwhite_Tz 5 днів тому +1

    😂😂ndio umbanue Yani huyu mzee 😂😂😂😂

  • @DicksonWilliam-t1x
    @DicksonWilliam-t1x 5 днів тому

    😂😂😂 Ila huyu xhehe

  • @lucianjr6807
    @lucianjr6807 2 дні тому

    huyu mzee akili yake haiko sawa halaf muwage munaangalia watu wa kuwahoji

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 6 днів тому +1

    Huyu Bwana anasema kweli lakini anapenda kumsema Zuchu kwa CHUKI... 😮

  • @timotheemutima
    @timotheemutima День тому

    Tutajuwa kama ameondoka free siku watagombana na apo ni wakati mbosso atazidi ku shine abaki natowa ma heat song njo tutajuwa ukweli

  • @vincentmomanyi-pg1rv
    @vincentmomanyi-pg1rv 6 днів тому +1

    Uyu angekua babangu ningeondoka nyumban maana mdomo wake n wakulaani watoto

  • @AmourHaroub-lv8ll
    @AmourHaroub-lv8ll 6 днів тому +1

    Msenge sana huyu

  • @MakwareMbarazi
    @MakwareMbarazi 3 дні тому

    Ostadhi Juma mbona unaonekana kumchukia sana Diamond lakini hata ufanyeje Diamond huwezi kumfikia kama ni pesa anazo na si Harmonize wala Rayvan wote hata wa keshe bado ni vigimu kumtoa kileleni Diamond

  • @JansonStephano
    @JansonStephano 5 днів тому

    Kwahr mbosso khan mshedede

  • @mustafamsati9599
    @mustafamsati9599 6 днів тому +1

    Ila mboso ni msanii wa fela sio wa wcb

  • @RashidMohammed-s1u
    @RashidMohammed-s1u 2 дні тому

    😅😅😅

  • @Soniaartist-y
    @Soniaartist-y 4 дні тому

    mwembamba murefuu😂😂😂😂

  • @MakwareMbarazi
    @MakwareMbarazi 3 дні тому

    Were utapeli wako kule Mombasa umeacha? ina elekea pesa huna sasa kafanye kazi ya zege umtunze mwanao kwa yule binding mtangazaji

  • @taylorkasitu3819
    @taylorkasitu3819 5 днів тому +1

    Hili zee sijue bwabwa kila siku kuongelea mambo ya watu ati ustadhi ,futa jina la ustadhi weka bwabwa Musoma

  • @babamiltonkyando
    @babamiltonkyando 4 дні тому

    Yaani kweli wcb timu kubwa yaan wewe ostzi unatembelea nyota ya diamond kuma kweli wewe

  • @HamadKhamis-m3y
    @HamadKhamis-m3y 6 днів тому

    iv huyu naye huwa nimsaniii au vp! Maana simuelewagi kabsa

  • @Mona-ub7ed
    @Mona-ub7ed 5 днів тому

    😂😂😂😂😂

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 5 днів тому

    😂😂😂

  • @AyizakiIssa-m1r
    @AyizakiIssa-m1r 5 днів тому

    Ongop mugu

  • @Baraka-l9i
    @Baraka-l9i 5 днів тому

    Ostaz juma anasumbuliwa ni wivu tu hana lolote

  • @joesplatnumz
    @joesplatnumz 6 днів тому +4

    Kujitegemea chukulia masiara 😂😂😂😂 mbosso ndio kupotea kma Aslay kma hatapambana coz harmonize mwenzake kaweza je yy???

  • @AbdulSindano
    @AbdulSindano 6 днів тому

    Mbaba anasula chungu jamn huyu

  • @RashidMohammed-s1u
    @RashidMohammed-s1u 2 дні тому

    😂😂😂😂😂