VICHUZI WA JOHO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 247

  • @maimunaabdalla7146
    @maimunaabdalla7146 3 роки тому +23

    Dr, amkeni hata hizo 5000 hawalipwi wanalopwa 2200 zengine Joho na wenzake wamezila,wamedhulumu watoto watoto hata huruma Joho Hana, MUNGU atampa kichapo chake

  • @kulthumsalim7070
    @kulthumsalim7070 3 роки тому +27

    Mungu akueke Dr.uzidi kutuchanua 💕

    • @mohamedturanardan8871
      @mohamedturanardan8871 3 роки тому

      kutuchanua tena?

    • @salumjumaruhaga2513
      @salumjumaruhaga2513 3 роки тому

      ABUdu RoGo alisemaweeeee hamkkumuelewa SASA uyo Dr ata wachanua Kwa lipii ,nyi nyi mlishindwa kumuunga mkono shee Abudu ,subir cha moto

  • @chekaria8524
    @chekaria8524 3 роки тому +23

    Hawa Hawa kina abuu na saido walininyanganya biashara yangu at shanzu, mungu awalaani wao na vizazi vyao

  • @wapwaniamkeni7260
    @wapwaniamkeni7260 3 роки тому +11

    Wakati ni huu kama si sasa basi sasa hivi. Wallahy safari hii wao ndio wataona kivumbi cha ajabu. Dr endelea kututoa mashkio taka. Mungu akuhefadhi doctor.

  • @faizaswaleh2718
    @faizaswaleh2718 3 роки тому +24

    Wewe ni simba Mungu akuwekee akupe umry Afia na uzima

  • @mahmoudmbarak8532
    @mahmoudmbarak8532 3 роки тому +8

    MashaAllah Dr. Amkeni Kwani ni muhimu watu kujua hususan wapwani lazima tuwe Na mwamko upya. Masikitiko makubwa sana kuona mombasa vile iko leo. Yasikitisha sana vijana wanajitolea Na bado kunyanyaswa. Lazima mambo haya yazingatiwe. Naomba kama wapwani enough is enough. Let’s focus ahead we can as well impeach our governor sio lazima we wait for 2022. Kwani what’s the wait daktari amkeni. We need permanent solutions no ground plays for cats and dogs

    • @habibasalim3092
      @habibasalim3092 3 роки тому

      Nakwambia wee mambo ya kusikitisha sana ya kutumia na watu

  • @saidmanda4984
    @saidmanda4984 3 роки тому +3

    Mashallah TABARAKALLAH...MSEMA UKWELI HUPENDWA NA ALLAH S.W.T...BASI WEWE Dr babayetu Amkeni..Jazza yako yakutuelimisha utaipata kesho siku ya MALIPO..TWAKUPENDA KWA DHATI..ALLAH S.W.T..AKULINDE KWA AFYA NA UMRI NA AKUPE MWISHO MWEMA WA JAMIA MUSLIMIN..MASHKUR

  • @zenajimmy6603
    @zenajimmy6603 3 роки тому +12

    Allah atawalipa inshallah malipo ni hapahapa hiku siku itafika tu Ameen

  • @husnahussein7470
    @husnahussein7470 3 роки тому +8

    Mungu Atakuhifadhi Bro Akupe Afya Na Nguvu Na Umri Ameeeen 🤲 Wallahi Nayapenda Maneno Yako Yatufunguwa Bongo Mungu Akuweke Ameeen 🤲

  • @naushadalhuwaliaalhuwalia918
    @naushadalhuwaliaalhuwalia918 3 роки тому +9

    Hao vichuzi wote watakufa wao na family zao kama kuku inshaallah haki haizami na twajuana lakini twasubiri chao kiko motoni wala hatuwaogope na wao wanajua kama sio wao basi watoto wao.one day yes

  • @carolsanteto7351
    @carolsanteto7351 3 роки тому +3

    Digidaa 🏃🏼‍♂️🏃🏼‍♂️🏃🏼‍♂️🏃🏼‍♂️🤣🤣😂😂jina kama shetani 🔥

  • @ahmedfranzoni4625
    @ahmedfranzoni4625 3 роки тому +13

    Digidaa mungu Atamtosha

  • @ahmedfranzoni4625
    @ahmedfranzoni4625 3 роки тому +18

    Digidaa atamalizwa na umma in shaa Allah

  • @omarabdi7722
    @omarabdi7722 3 роки тому +3

    Shukran Dr Amkeni mola akupe afya na uzima, twakushkuru sana kwa kutuamsha, mola yuko pamoja na dua ya mwenye kudhulumiwa. Hassan na Abu na Saidoo wako mahali pabaya.

  • @khamistokmohamed7452
    @khamistokmohamed7452 3 роки тому +2

    Langu kubwa kwako Doctor ni Duaa, Allah akupe afya umri na akuhifadhi na tili, na uadui wa mahasidi wa miji na nchi yetu . Keep going Doctor na mimi na mmoja wa walio "AMKA"

  • @dilarabaali3347
    @dilarabaali3347 3 роки тому +20

    Allah atatuhukumia nao Ameen

  • @ahmedfranzoni4625
    @ahmedfranzoni4625 3 роки тому +18

    Allah atawatosha in shaa Allah kwa dhulma zao wezi hao pesa za umma haki haizami yaolea

  • @hovsback1405
    @hovsback1405 3 роки тому +2

    Watu aina hii ni kidogo sana Mombasa,🙏🙏🙏🙏 mungu akulinde sana Mjomba.

  • @khadijashariff4564
    @khadijashariff4564 3 роки тому +15

    Wape wape dr.amkeni wanajaribu kutulaghai hope tumefungua macho watu wa mombasa

  • @swahilivilla
    @swahilivilla 3 роки тому +2

    Hawa viongozi wa siasa, wanaofanya dhulma lazima wakomeshwe, safi sana ningependa na mimi ni share hii kwenye Channel yetu, Kutoka Washington DC,

  • @abdulrazaqabdallah4872
    @abdulrazaqabdallah4872 3 роки тому +14

    Ahsanta Dr.

  • @saidibrahim5931
    @saidibrahim5931 3 роки тому +9

    19:56 siku muogopa mbwa nitaogopa mtoto wa mbwa hahaha

  • @asiathoya7660
    @asiathoya7660 3 роки тому +2

    Joho ajua Tu kuharibu vijana Kwa madawa ya kulevya. No corrupt Sana. Mungu atamlipa yeye na vizazi vyake vinne Kwa dhuluma afanyazo

  • @amorhomes96
    @amorhomes96 3 роки тому +4

    Assalam Aleikum Dr. Amkeni ,Tafadhal Tuelezee Zaidi Kuhusu Ali Bogo Wa Kisauni. Next Video.

  • @jeekayhidaya1006
    @jeekayhidaya1006 3 роки тому +13

    Why do people think they are immortal. We are brought to this world with a guarantee of going back to the creator. May Allah Almighty have mercy on us - Forgive our sins and make us good Human beings to serve his Humanity. AMEEN

  • @ramadhaniayubu6103
    @ramadhaniayubu6103 3 роки тому +2

    mzee nimekuelewa vizuri sana natamani ungekuwa tz

  • @bin-naya1431
    @bin-naya1431 3 роки тому +5

    "Hahahahahaha" hio part ya sikumogopa mbwa salalaaaaaa, 😆🧯

  • @ibrahimmohamud4383
    @ibrahimmohamud4383 3 роки тому +5

    Joho tutanyorosha 2022 inshaalah

  • @swalehmzee5883
    @swalehmzee5883 2 роки тому

    NIUWAZI KURA APEWE HON HASSAN OMAR SARAI ASUBUHI NA MCHANA INSHAALLAH

  • @marboycmg2542
    @marboycmg2542 3 роки тому +3

    Dean security wahuni I was there kazi Yao kunyanyasa watu n mshaara wao duni n hawalipi kwa wakati n hawana mipangilio n kazi Yao kila mmoja n mkubwa hapo ofisin

  • @salimali1900
    @salimali1900 3 роки тому +25

    HAKUNA ZAIDI YA MUNGU, DHULMA SINJEMA

  • @mscantraah8210
    @mscantraah8210 3 роки тому +5

    Yes kweli kabisa 👏🏻👏🏻👏🏻👍🏻👍🏻

  • @iky183
    @iky183 3 роки тому +14

    Seen that digida many years back when I used to live in bakarani..she was Always with lots of girls.young mostly mixed au 'waswahili' my aunt told me siku akikusimamisha kimbia..

    • @semayote2831
      @semayote2831 3 роки тому +1

      nawe ulihama mtaa. hakupati ng'o!

    • @iky183
      @iky183 3 роки тому

      @@semayote2831 🤣🤣

    • @bonniemzuri5808
      @bonniemzuri5808 3 роки тому +1

      Really?

    • @iky183
      @iky183 3 роки тому +1

      @@bonniemzuri5808 I remember it like it was yesterday..

  • @mickytv1863
    @mickytv1863 3 роки тому +3

    Mombasa ni chafu sana tena sana walai,kila kona takataka

  • @kingjulian7674
    @kingjulian7674 3 роки тому +6

    Wambireh Dokta. Hawo jama ni matapeli hali ya juu. Mombasa imekua kama sura za mkundu wa pojo

    • @beccaally5625
      @beccaally5625 3 роки тому +2

      Hahahaha eti sura kama mkundu wa pojo kkkkkk

    • @hassanovajunior6972
      @hassanovajunior6972 3 роки тому

      Mbona sio kama mkundu wako mweusi mbwa wew

    • @deepsea2141
      @deepsea2141 3 роки тому +2

      @@hassanovajunior6972 kichuzi spotted

    • @kingjulian7674
      @kingjulian7674 3 роки тому +2

      @@hassanovajunior6972 nyinyi vichuzi wa pojo mungeli valishwa na leso ambayo imeandikwa- "mwanamume ni Abu" Iliobakia mufumuliwe na mupakwe hina. Hamujui kujitafutia risqi, kazi kuwapelekea gari, wanawake na mizinga. Vichuzi hamuna lolote labda shuzireh

  • @sadmahossein9030
    @sadmahossein9030 3 роки тому +12

    True in 2012 ODM was the only party in all positions at kwake county from governor to MCA's tunavyoongea kwa sasa ODM haina mbunge hta mmoja kwale county.

    • @jumamlako1886
      @jumamlako1886 3 роки тому

      Kuna Dalu Benjameni wa Kinango

    • @ashamasudi9441
      @ashamasudi9441 3 роки тому

      @@jumamlako1886 lakini hana nguvu kwasababu yuko pekeyake

    • @qr130p
      @qr130p 3 роки тому

      @@jumamlako1886 Benjamin Tayari wa kinango alihama pamoja na Aisha Jumwa kutoka ODM. Anamuunga mkono Ruto kwa sasa

    • @teddyoscar6876
      @teddyoscar6876 3 роки тому

      ODM imekwisha kabisa, Raila hana nguvu tena.

    • @jumamlako1886
      @jumamlako1886 3 роки тому

      @@ashamasudi9441 nawaende mi hata cjawai piga kura na ciiiona maana yake as HAKUNA wAkumpigia na umtakae hata umpigie ataibiwa ....kilichobaki nikukata kura ,kula pesa ya kampen na kuieka sandukuni...shida nini kitambul8sho changu kura yangu, miguu yakuendea debeni yangu ...potelea

  • @faizasaleh5854
    @faizasaleh5854 3 роки тому +9

    haki ya mtu hailiki zitawatoka kwa puwani

  • @swafniyesaid270
    @swafniyesaid270 3 роки тому +8

    Mola atakuhifadhi naawa shedhe mahasidi

  • @semayote2831
    @semayote2831 3 роки тому +3

    Kwa ukweli waKenya hatujuwi namna kuchaguwa viongozi wetu. Shida zetu ni za kujibandika wenyewe. Dhulma zote za uizi wanaofanyiwa wakenya lakini muko pale pale chini ya Raila, Uhuru, Ruto, Sonko, Joho na wengi wanaowahadaa kwa maslahi zao za kibinafsi. Basi mkenya usitarajiye maisha kubadilika kuwa bora ikiwa watu ni wale wale mutawachaguwa tena.

  • @abdulrazakahmed9095
    @abdulrazakahmed9095 3 роки тому +10

    Hili la dean security naweza shuhudia niya kweli.

  • @jaihind4601
    @jaihind4601 3 роки тому +8

    Magari za taka walipewa bure kutoka kwa Mombasa cement

  • @mohammedabdalla2548
    @mohammedabdalla2548 3 роки тому +8

    Mm nasema hivi sheikh yyte ambae yuko kwa siasa huyo si mkamilifu wa dini yake , coz dini imekataza kutukanana kutolena aibu hali ya kuwa niwaislamu,mambo hayo yanafanywa na makafiri ndio kuna democrasia bt dini ya allah hakuna democrasia,kila mtu ana siku yake mm nawambia hapa leo,iko siku kitaeleweka insha allah kwa uwezo wake jalali,nyinyi tukananeni mutoleane aibu mpaka waliokufa mwawataja maskini ya mungu,kila mtu ana siku yake leo ni huyu kesho ni yule assalamu alaikum,samahani kama nimekosea

    • @habibasalim3092
      @habibasalim3092 3 роки тому

      Juma Ngao nae mnafki mkubwa atakaeingia motoni siku ya qiyama

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 3 роки тому +1

    Kwani uyo joho ninani hasaaa hapo ktk Kenya ,ilA M,mungu anamuona joho

  • @neemahassan4872
    @neemahassan4872 3 роки тому +11

    Allah atawashida kwa udhalim wanaoufanya

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 3 роки тому +8

    Ila watu wa aina hii hupewa umri na badae wanakuwa na mwisho mbaya

  • @abdallamohamed1582
    @abdallamohamed1582 3 роки тому +2

    Ni Ali mbongo not Ali mboga.. but kweli chuma bado yuko nacho.. 2022 twa wangoja...

  • @yassirsamow3855
    @yassirsamow3855 3 роки тому

    Umoja ni nguvu utengamano ni udhaifu na kwa hakika amani haiji ilaa kwa ncha ya upanga.

  • @husseinkazungu5101
    @husseinkazungu5101 3 роки тому +6

    Shukran Dr.Amkeni

  • @ismailhussein9734
    @ismailhussein9734 3 роки тому +8

    Makubwa madogo yana nafuu wanatuibia pesa zetu na wanatutafunia wanawetu siwatu hawa

  • @daruweshbikes
    @daruweshbikes 3 роки тому +6

    Dr usiogope mtu yeyote Allah ako na ww na duaa zetu.. usiogope hawa mashetani mwisho wao uko karibu

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 3 роки тому +1

    Almarhuum,shekh Abudu Rogo M,mungu Ampe Janatul Fildaus,yote hayo aliyasema yote,Uisilam usipo simama hakuna kitakacho kuwa

  • @abulghareebzimbawy790
    @abulghareebzimbawy790 3 роки тому +5

    Ww JOHO maliza uende usjarbu kungana mtu mkono utamwangusha

    • @habibasalim3092
      @habibasalim3092 3 роки тому

      Hio mm nimefikiria sana. Safari hii anae shikana na joho ajue ataramba mchanga 2022

  • @bimumaulid1171
    @bimumaulid1171 3 роки тому +17

    POLENI MOMBASA UJINGA KAMA HUO NEVER HAPPEN IN TANZANIA 😐😐😐SORRY

    • @mrsliverpool4235
      @mrsliverpool4235 3 роки тому +1

      Dudu baya yuko wapi?
      Ben WA Sasa yupo wapi tangia 2017?
      Tz sai sijui imeingia na kitu gani.
      Lisu kupigiwa risasi na serekali ikakaa kimya.
      Mwinyi yuko wapi?
      Wacha Roma akimbilie ulsya for good

    • @oyay2821
      @oyay2821 3 роки тому +4

      Tanzania ndio kuna ujinga 100 times worse. Ma DC wawachapa viboko watu kiholela, hamuna uhuru wa kujieleza wala wakulalamika. Magufool amewashika makende hamuwezi hata kupumua. Wacha kusema uongo

    • @bableeyzabdalla531
      @bableeyzabdalla531 3 роки тому +1

      Bimu Tanzania hakuna kazi kwa vijana na haitatokeapo kwa magufuli anavowadhulumu

    • @oyay2821
      @oyay2821 3 роки тому +2

      Kuna mmoja asema Tanzania mambo kama haya hayafanyiki bongo.Tanzania ndio kuna ujinga 100 times worse. Ma DC wawachapa viboko watu kiholela, hamuna uhuru wa kujieleza wala wakulalamika. Magufuli amewashika pabaya hamuwezi hata kupumua. Awacha kusema uongo

    • @mapenzi_tz1511
      @mapenzi_tz1511 3 роки тому +4

      Ela za Corona, ziko wapi wa kenya yaani ukimfananisha magufuri na mlevi wenu uyo Uhuru, Alafu mkisha kuwa na uhuru wa kujieleza ndio mmekuwa Na maisha mazuri? Mbona Corona imewachapa na sijaona ao watu Wakiongea na pesa za Corona uhuru kaziiiba zote,, yaani African sasaivi huwezi mfananisha magufuri na takata yeyote

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 3 роки тому +7

    Subhanah Allah yani mtu anakuja dai haki yake unamfukuza na badae unamletea CID kisa mtu ana hela Ina lilahi waina ilahi rajiun ila Allah ndio mwenye hukmu

  • @andrewnjane9513
    @andrewnjane9513 3 роки тому +5

    Qualification za joho na mishi mboko ni kumtukana uhuru,sasa wanakula wote pamoja.Next time chagueni akili timamu si madomo kaya.

    • @salimali7930
      @salimali7930 3 роки тому

      Labda Bro nikwambie kitu kati ya awa watu,Uhuru,Ruto na Raila akuna siku ata moja watakuja waeka wakenya mahali pazuri...labda tuwakatae wote... .

  • @sadajuma7592
    @sadajuma7592 3 роки тому +2

    Allah akulinde baba watu waamke mombasa

  • @abuubilal6586
    @abuubilal6586 3 роки тому +12

    Allah ndie atakae walipa kwa dhulma zao InshaAllah

  • @halimaomari3415
    @halimaomari3415 3 роки тому +1

    Mola akulinde usiku na mchana kwa kuwafahamisha ukweli ulipo inshaallah

  • @andallaathman3856
    @andallaathman3856 3 роки тому

    Haki haipotei watakufa vifo vibaya Sana hapa duniani na kesho wataenda kufuufuliwa na na hayo madeni inshaa llah mungu awatulipia kila kitu hakkuna mbaya zaidi na firaun alikuaje mwisho wake nao hao wanajifanya wana pesa zao hazitawasaidia kitu inshaa llah

  • @ninesnines2652
    @ninesnines2652 3 роки тому +5

    Waaleykum salaam.Brother salamu za krismasi usižitume bana.. ndugu muislamu usieneze salamu zisizofaa ..unamtusi ALLAH bila yakujua

  • @Spicyteake
    @Spicyteake 3 роки тому +2

    Deni la rungi lamgoja 😂🙊

  • @suleimanisaid6926
    @suleimanisaid6926 2 роки тому

    Ni kweli Dr Amkeni...mi mwenyewe nilifanya kazi hiyo hiyo company Kwa miezi miwili...sijapewa hata shilling,nilidai mpaka nimeachana nayo

  • @ibrahimmohamud4383
    @ibrahimmohamud4383 3 роки тому +3

    Kabisa toa siri yao bro thanks alots

  • @swafniyesaid270
    @swafniyesaid270 3 роки тому +10

    Mazha llah mughu akuhifadhi amedn

  • @abdulwahidmohamedsaid364
    @abdulwahidmohamedsaid364 3 роки тому +2

    HAO WAMELAANIWA KILA AINA YA UOVU NI WAO ALIELAANIWA NA ALLAH HAKUNA AWEZAE KUMUONGOZA WASUBIRI AHADI ZA ALLAH MA DHWALEEM WAKUBWA

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 3 роки тому +2

    Shekh Rogo pumzika Kwa Amani,na rafiki yako ,makabur

  • @kilima_njaro
    @kilima_njaro 3 роки тому +2

    Hekima ikulinde ndugu yangu

  • @labanlokoro2112
    @labanlokoro2112 3 роки тому +3

    Machozi ya myonge ulipwa na mwenyezi Mungu..

  • @abdulrazaqabdallah4872
    @abdulrazaqabdallah4872 3 роки тому +7

    Hahaha Juma Ngono

  • @hamidjuma2178
    @hamidjuma2178 3 роки тому +6

    Hahaa mtoto wa mbwa

  • @mariemkarama1811
    @mariemkarama1811 3 роки тому +5

    Hiyo ni Dhulma

  • @akthammuhammad7844
    @akthammuhammad7844 3 роки тому +9

    I Salute Mr

  • @AliMohamed-wp1op
    @AliMohamed-wp1op 3 роки тому +6

    Malipo ya 15,000 yalikuwa wakati wa lockdown ili kuwapatia confidence wakati wa Corona ilivyokuwa na kasi na tishio zaidi.

  • @naimafaiz5274
    @naimafaiz5274 3 роки тому +4

    Kwali kabisa hawapati kitu 2022

  • @edwardtheuri374
    @edwardtheuri374 3 роки тому +4

    Abu na Joho wanataka ku grabbe Pirate's beach

  • @rihannaahmed
    @rihannaahmed 3 роки тому +3

    Swadaqtah dr

  • @zeinabali5809
    @zeinabali5809 3 роки тому +4

    Mungu halali

  • @Biancahawty
    @Biancahawty 3 роки тому +1

    A.aleikum dr Amkeni, hope all is well insha Allah. I accepted and acknowledged defeat on what matters to your facts&points. On your last video. ESP on the mswambweni takeover of Hon Feisel , as I always say I LOVE JUSTICE. As a Muslim & a human being. Cz Allah hukulipa hapa hapa hesabu tuu ndio akhera.
    Which I dnt want to be on the payroll of the Almighty which am not involved & connected to.
    In short I once saw justice & righteousness. Nature proved you right. Which left me speechless.
    Though and though you mentioned a name familiar.
    Mohammed Saggar !!! That shocked me.
    You also implied that you will explain more on your next video on all.
    I prayed so much that this video will not be related and released about him.
    Now that everything is in the open. Wallahy I go way back with him as a brother,friend and neighbor. Despite we didn’t know about all these issues.
    As an adult and matured man I can’t get involved in his business and life.
    All we knew he is a strong & solid supporter of Governor 001 (campaigns,controversial issues & political matters. It paid off and securing a job at kongowea market in the msa county.
    We all were happy for him.
    I know my brother he has a big mouth and reckless one too. I can imagine how he verbally approached you and assaulted you for exposing him. Cz his not the person proud & wants a reputation of hooligan,violence and crimes.
    He just might want the respect, dominance & fame. Of power & control.
    But trust me dr , Mohd Saggar was a nice family guy and loves his 3 boys so much.
    Which I know them personally and I even prayed with them during jumaa prayers yesterday 25th Friday at the mosque.
    I can’t fight nor defend what your saying I trust you know what your talking about.
    Though I can assure you despite the tremendous and amount of words he might have spoken to you.
    He will stop and seek for assistance from Allah and guidance to correct his mistakes.
    His a loyal worker and will do anything to satisfy his authorities/bosses/superiors.
    Na siku zote mtumwa hana makosa.
    All I ask is time. Time heals,time cures and time is everything.
    Trust me if reads my comment he will never know who I am. So believe me hajanituma Wallahy.
    It’s just generosity,sympathy and kindness.
    Which I hope if he also sees this message.
    It’s not about him but his kids & mother of his kids (family generally).
    I also thank you dr, not mentioning his family & relatives.
    Kumanisha wewe si mtu wakuingilia mtu, Bali kuingilia ubaya wa mtu anayo fanya.
    Which affects Mombasa & it’s people 👍🏾.
    That’s your agenda.
    With much said, I finish with all mistakes na dhulma done upon innocent workers & those suffering May Allah grant them justice,equality and blessings. For there patience,dedication and sacrifice Insha Allah.
    Assalam aleikum

  • @abdallamohamed1582
    @abdallamohamed1582 3 роки тому +1

    Dr Amkeni Mshawatu maana wamezidi.. sisi ama wao.. lazima kieleweke.. chuma chao ni debeni

  • @Nuseybaonly
    @Nuseybaonly 3 роки тому +1

    Sigeuki bubwi mimi katuuu Nikapasua maneno!!!!!! Mupooo????

  • @salimsadik6761
    @salimsadik6761 3 роки тому +3

    I salute Allah Protect you

  • @abdulmaliksaidislam7782
    @abdulmaliksaidislam7782 3 роки тому +14

    Mjomba umejiamini🤣

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 3 роки тому +1

    Mambo ya kitwaghuut yanafanywa na jamiii ya kiisilam ,I nnalilai wainailaih

  • @mahabsaid5324
    @mahabsaid5324 3 роки тому +3

    ODM ilikuwa 2007 na ilikwiasha 2007 ikabaki Combo.......

  • @edaruskibwana2533
    @edaruskibwana2533 3 роки тому +4

    Well done 👍👍

  • @yassirsamow3855
    @yassirsamow3855 3 роки тому

    DR AMKENI WEWE PIA WAFAA KUAMKA...HIZI ELECTION MNAZOSEMA VOTE ZENU ZINA COUNT ,NI SELECTION SIO ELECTION TENA ....KWAHIYO MSIDANGANYWE NA HAWA WANASIASA NI MANYOKA AMANI HAIJI ILA KWA NCHA YA UPANGA.

  • @huseinimran1595
    @huseinimran1595 3 роки тому +2

    Pojooo na pandya wa evita wasemajee???

  • @islamicnewschannel2551
    @islamicnewschannel2551 3 роки тому +4

    Ambae hataki BBI kama mm agonge like hapa👇

  • @lalifarmo1562
    @lalifarmo1562 3 роки тому +3

    Got it,👍👍👍

  • @mwinyikaimwinyi9165
    @mwinyikaimwinyi9165 3 роки тому

    Dr. Ongera endelea hivyo kutuelimisha wapwani Mola akulinde kwa kila shari wewe na sisi pia...nahayo yote ambayo hawa viongozi wafisadi wanavyo dhulumu haki za watu Mola ndio hatawalipa inshaAllah

  • @adnanaljabry800
    @adnanaljabry800 3 роки тому +2

    As Salam Aleikum Dr.... Mimi hiyo clock yanikera Sana.... Nimeona video kadhaa zako na sioni ikisonga... Please change battery yake. Shukran

  • @faizasaleh5854
    @faizasaleh5854 3 роки тому +2

    kama mimi nigesomea halbadiri huyo vichii

  • @mickytv1863
    @mickytv1863 3 роки тому +2

    Me nahasira sana na awa watu

  • @swabirali1276
    @swabirali1276 3 роки тому +1

    Joho asomewe albadir

  • @tahiraabdul1701
    @tahiraabdul1701 3 роки тому

    Harub asema wewe umeritadi jee ni kweli Dr.Amkeni ni Murtad??

  • @esthernzisa6284
    @esthernzisa6284 3 роки тому +4

    Why are these poeple undermining other others. Don't they fear GOD.

  • @sajidatejpar316
    @sajidatejpar316 2 роки тому

    My brother ur true but to be n uk and to say its not wrth

  • @andallaathman3856
    @andallaathman3856 3 роки тому

    Mwanzo hao ni watu wakutiwa majumbani Hasa nyumba zetu za kislam jamani waislam wafukuzeni Huyo gawadi mungu atakulaani digidaa na wanao mtuma wote inshaa llah kma nikweli haya utwambiayo

  • @icetruth
    @icetruth 3 роки тому +1

    Every 🐕 has its day

  • @hayfa723
    @hayfa723 3 роки тому

    Wote waizi waskupe kitwa hawa kama si waizi wangtengeza ma barara wakumuwa taka zitztupwa wapi wakajenga ma bararabara wakawapa watu makazi waiziiiiiiiiiii watu waogopa watu wafa ndaa kila mahali matope