BREAKING: IGP ATAJWA SAKATA LA BONGE KUTAKA KUTEKWA..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 57

  • @matukutajuma156
    @matukutajuma156 День тому +3

    SASA WAMBURA ANAHUSIKAJE HAPO? acheni kuchafua watu!

    • @selemanisalum7685
      @selemanisalum7685 День тому +2

      Lazima atajwe sababu toka akamate madalaka watu wanapotea sana na jeshi lake ndio linausika kiufupi kuanzia yeye mpaka waziri wake wa mambo ya ndani

    • @bcozhenry2698
      @bcozhenry2698 День тому +2

      Ni jinga sana, halijui kama dhamana ya ulinzi wa raia na mali zao ipo chini ya Wambura na analipwa kwa kazi hiyo na hivyo watu wakifanyiwa uhalifu bila hatua za makusudi kuchukuliwa anawajibika

    • @evelina9621
      @evelina9621 День тому

      Watumianguvu.nyingi.hawa
      Watekaji​@@bcozhenry2698

    • @knight6757
      @knight6757 День тому

      Amelala 😴😴😴😴😴😴😴😴😴

  • @GodfreySospeter-f7r
    @GodfreySospeter-f7r День тому +6

    Acheni kubwabwaja! Kipi msicho kijua kuhusu serikali kama inahusika?

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 День тому +3

    Ajirini Polisi wengi kwanini watu wanatekwa kupita kiasi nchi hii Tanzania ina matatizo gani Watanzania tumechoka maisha kama haya

  • @AliciaKyai
    @AliciaKyai День тому +3

    Safi sana maria

  • @julianamwamgogwa
    @julianamwamgogwa День тому +2

    Safi sana malia .chakamila umeipata iyooooo sasatoka tukusikie kujigamba kwako mwisho wenu mungu atawaumbua tena mtaumbuka vibaya

  • @teddymassawe3583
    @teddymassawe3583 День тому +2

    Tarimo pole sana na hongera sana,big up mchanga wenzangu,nampongeza sana mchukua video lkn uwe unajitahidi kuchukua no za gari

    • @gowekogoweko5803
      @gowekogoweko5803 21 годину тому

      Mradi sura imeonekana ila ushauri wako ni mzuri

  • @GodloveLauwo
    @GodloveLauwo 17 годин тому

    Huu ni uzalilishaji

  • @PascalChimatu-h6i
    @PascalChimatu-h6i День тому +1

    Kwaupande wangu Mimi naona kabisa IGP anahusika sababu haya matukio hayajaanza Leo alafu yeye yupo kimyaa kisa analindwa Hana hasara yeye

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 21 годину тому

    KUWATIA HOFU RAIA

  • @BritonNdishi-g6o
    @BritonNdishi-g6o День тому +1

    Kumchafua tu bure mbona wezi wanaiba na mhusika yumo ndani Igp Hana kosa wamkome kabisa baba was watu, walioteka sura zao zinaonekana wananchi wanakidoa macho kamateni majirani na baa mkome kabisa😅

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 21 годину тому

    MWENYE ENZI MUNGU ANAZIDI KUTUFUMBUA MACHO

  • @StevenLukumay-h6m
    @StevenLukumay-h6m 23 години тому

    Tanzania tunaelekea wapi embu Kila mtu aiombee mungu tz

  • @judicatendengerio-ndossi1583
    @judicatendengerio-ndossi1583 День тому +3

    Ile mila ya kutembea na mkuki, rungu, sime na fimbo itabidi idumishwe mura.

  • @HellenNkwera
    @HellenNkwera День тому

    Mchunguzi fyuuu waongooo haooo😢😢

  • @yacnsuley
    @yacnsuley День тому +4

    Tanzania hakuna Sheria kaka Kuna utesaji

  • @abdallahshariff6555
    @abdallahshariff6555 День тому

    Bastola ziuzwe pasipo vikwazo,kila mtu ajilinde na huu udhalimu,kila kukicha unazidi kuongezeka

  • @itanzaniaAS
    @itanzaniaAS День тому

    IGP WALA HAUSIKI.... MWACHE KABISA

  • @husseinhcube1310
    @husseinhcube1310 День тому

    Jaman kuwe na ukamataji wa kisheria kama kunaukamataji wa mtuhumiwa lije gari la polisi kuliko kuja gari lisilo na namba tena la kiraia hilo litakuwa gari la watekaji tupige mayoe ya hao watekaji

  • @deomusyebi9930
    @deomusyebi9930 День тому

    Dawa ni kuchapana makonde tu hadi kieleweke

  • @husseinhcube1310
    @husseinhcube1310 День тому

    Mm naona ili ukamate basi lije gari la polis linalo eleweka na wananch likionekana gari binafsi basi liwe na mwenyekit husika bila hivyo tujue ni watekaji wachukuliwe hatua na wananch

  • @AliMsellem
    @AliMsellem День тому

    tanzania sielewi hivi raia aweza kumteka mtu mchana kweupe

  • @GhatiChacha-e9n
    @GhatiChacha-e9n День тому

    mim ninacho ona nibora wananchi tuungane kukabiliana nawatekaji mwisho wataogopa2

  • @JACKSONBASIMWAKI
    @JACKSONBASIMWAKI День тому

    Ukimya wa wenye wajibu ni swali kwa wengi!!!

    • @hasinaalrahbi6681
      @hasinaalrahbi6681 День тому

      Tunaomba bonge ajitokeze hapa aelelze mwenyewe. Na hao walotaka kumteka no za sim zipo na kwa huyo jambazi wamepajuwa.moaka saiv eti kimyaa hawajaonekana.mtihani

  • @RaymondiRaymondi
    @RaymondiRaymondi День тому

    Igp

  • @azizhamed6320
    @azizhamed6320 День тому

    Ipo haja ya kubadili IGP hafai huyu mwanaharakati nampa 5 ni ukweli tupu polisi wamo kwenye matukio haya ya rogue police

  • @BritonNdishi-g6o
    @BritonNdishi-g6o День тому

    Kumchafua tu bure mbona wezi wanaiba na mhusika yumo ndani Igp Hana kosa wamkome kabisa baba was watu, walioteka sura zao zinaonekana wananchi wanakidoa macho kamateni majirani na baa mkome kabisa

  • @AbdallahKifundo-t5e
    @AbdallahKifundo-t5e День тому

    Haya wapenzi watekaji boss anataka kila mmoja arudishe 150000 aliyo pewa kwa kuwa zoezi limefeli, harakka iwezekanavyo wazembe wakubwa, walomuuwa ally kibao utakuta walipatiwa laki 3 tu njaa nae shetani

  • @BritonNdishi-g6o
    @BritonNdishi-g6o День тому

    Tatizo maneno yako mengi si utuwekee tuone jamani

  • @SaidHamad-d3n
    @SaidHamad-d3n День тому

    Mimi ni mjinga m bishop sana kwani ni Nani hapo tz aliekuwa hajui wahusika ni Nani Nazario rabda chizi ndio hajui wahusika ninani wacheni utoto bwana

  • @DeogratiasLekariro-w9m
    @DeogratiasLekariro-w9m День тому

    Maswali ni mengi kuliko majibu. Hawa watekaji wanapata wapi pingu za polisi? Huo ujasiri wa kuteka watu mchana kweupe wanapata wapi? Na ni kwann hakuna mtekaji hata mmoja alitiwa mbaroni Hadi Sasa tangu 2016. utekaji ilipoanza?

  • @AliNgao-r3j
    @AliNgao-r3j День тому

    Serikali za kiafrica bure kabisa

  • @Babyvai-l2u
    @Babyvai-l2u 7 годин тому

    WEWE MTANGAZAJI MSENGE??? HUYU WAMBULA AKUCHUKULIE ATUA NA KUIFUNGIA TV YENU MNATOA HABARI ZA KIZUSHA KAUSIKA KUTAJWA VIPI APO??? NILIVYOELEWA MIMI ULIVYOSOMA INATAKIWA KUFUNGULIWA MASHITAKA WEWE MPUMBAVU WEWE NDIO UNAMTAJA WAMBULA MTEKAJI MARIA AJAMTAJA APO

  • @AbelSimba-j7r
    @AbelSimba-j7r День тому

    Mtekaji ninani mbona huko nyuma kabla ya maneno kuupiga mwingi hakukuwa na utekaji au ndiyo mbinu ya kuupiga mwingi?!?!!?

  • @LuganoMwalwembe
    @LuganoMwalwembe День тому

    Hapana tusipende kuwaingiza watu bila sababu jamani huyo igp anaucka na nn hapa mm cjakubali

    • @Niget-us1np
      @Niget-us1np День тому +1

      Police wapo chini yak na yey ndo mwenyewe dhamn na wale wa pingu wametoka wapi km sio askari wak yeye ndo bids wa Hao ukubar ukatae lazim yeye alaumiwe sabb yey ndo km baba ya Hao watoo

  • @MathaMsumi-l1b
    @MathaMsumi-l1b День тому

    Et bonge 😂😂😂

  • @ZiggysebahZiggysebah
    @ZiggysebahZiggysebah День тому

    Kuna falure kubwa sana.haijawahi kutokea

  • @Driverrapper
    @Driverrapper День тому +1

    Acheni Ujinga .....bc hao watekaji. ...wanapokuja sometimes hawakupi nafasi yeyote ....ni tukio la fasta ...na ukifanya mzaha utaumia...so kusema vizingatiwe hovyo Kwan ndugu yangu tarimo hajazingatia .....Mpaka kufanyiwa vile force

  • @ADIMMALIK-k5z
    @ADIMMALIK-k5z День тому

    Usalama wa raia na mali zao uko matatani

  • @yacnsuley
    @yacnsuley День тому

    Mfano mdogo tu barabarani wanaokamata bodaboda vidore ajavaa sare ya police Wala ana kitambulisho selikali ipo juu raiya wapo chini aliyekua juu ndio anashinda vita

  • @YourMoor-px1rd
    @YourMoor-px1rd День тому

    JESHI LA POLISI HAKIKISHENI KUWA MADHUBUTI NA HAYA MAMBO YA UTEKAJI MWANZO HAYAKUWEPO LKN SASA HIVI YANAENDELEA HAPA NCHINI KWETU WATANZANIA TUWENI MAKINI SANA KTK KIPINDI HICHI KIGUMU TUNACHOKIPIA

  • @FestoGufa-jy3wc
    @FestoGufa-jy3wc День тому +2

    Police katika hili hamchomoki kwasababu pingu na raia wa kawaida nivitu viwili tofauti

    • @ElijahSaro
      @ElijahSaro День тому

      Hellow!!! Sio kwa Awamu Hii Ni Kumbumuomba Mungu Tu

  • @sauda4505
    @sauda4505 День тому

    Enzi za uhai wa rais wetu kipenzi upuuz huu haukuwepo

  • @OnesmoEphrata
    @OnesmoEphrata День тому +1

    Bora kuzaliwa 🐕 ulaya kuliko kuzaliwa mu Africa

  • @Shabanihamisi-f6k
    @Shabanihamisi-f6k День тому

    Sheria yaukamataji inawabana raia kutetewa na na raia wengine kwani hatakama sio askar utawajuaje kwani