Tunamshukuru Mungu kuwa, pamoja na hayo mapungufu ya Yanga bado Mungu ametenda kilicho cha furaha kwetu cha ushindi mkubwa wa mabao matatu kwa moja .Kama Yanga ilikuwa na mapungufu basi TP Mazembe yalikuwa mengi zaidi na tunapokea ushauri wenu na wahusika watayafanyia kazi. Ni ngumu kumaliza mechi bila mapungufu. Amina.
Hongera Salamba kweli umeangalia mechi, bado kuna shida kwa boka, azizi na kibwana! Pamoja na dube haya maeneo wanapaswa kuyafanyia kazi mm Mwananchii
Tunamshukuru Mungu kuwa, pamoja na hayo mapungufu ya Yanga bado Mungu ametenda kilicho cha furaha kwetu cha ushindi mkubwa wa mabao matatu kwa moja .Kama Yanga ilikuwa na mapungufu basi TP Mazembe yalikuwa mengi zaidi na tunapokea ushauri wenu na wahusika watayafanyia kazi. Ni ngumu kumaliza mechi bila mapungufu. Amina.
Nakufuatilia sana Kaka Salamba 😂😂
Huyu jamaa anajua.. kaongea vizuri
Yanga wanapaswa kushinda na ahilal
Brother kweli umeangalia mechi, bado kuna shida kwa boka, azizi na kibwana! Pamoja na dube haya maeneo wanapaswa kuyafanyia kazi
Hivi nyie mlicheza mpira mpira unafomura nyingi acheni kukariri haya mshindano ni ya clabu bingwa