I love the part yenye anasema " Ina maana gani uwe na mume mwenye hela chungu nzima na hakutamini". He's saying the fact that it's a waste of time being with a man who has money and he doesn't love you. Upendo huwa hainunuliwi ilhali ni ile imetoka kwa moyo wako na uko ready kuwa naye. That man who you are with him bcoz of money he will not respect and he will go after ladies. So be careful.
watadakua lini za wema na diamond kiherehere wanapeleka kwa wenyewe wanaacha kwao kukichomeka its like feeding ur neighbours children while ur own are starving
i love this part ,,,,,type yako ni yule anayejua dhamani ya penzi lako,,,,,,,and ina maana gani uwe na msichana mrembo duniani mzima na hakupendi,,,,,,,,,you sing reality...i love u so much
"Ina maana gani uwe na msichana mrembo dunia nzima na hakupendi, ina maana gani uwe na mwanamume mwenye hela nyingi na hakuthamini" #Word am officially your fan Otile. Good msg, Amazing voice
Otile Brown @ Una lafudhi nzuri ya kiswahili, na unajua kuimba kiukweli. Nnakushauri jaribu kufungua soko lako Burundi, Rwanda na hasa Tanzania. Jaribu kutafuta show huku, watu wakikujua utajua faida ya kutumia kiswahili kizuri katika kuimba. Ninakutakia mema na nna kuona kuwa mwanamziki mkubwa Afrika anayetumia kiswahili muda mfupi ujao. Karibu Dar es salaam.
I just came from Kenya and i heard this song in the club, i had to ask the DJ the name of the song and ofcourse i told him to repeat the song. I fucking love East Africa
Saa zingine anayekupenda humpendi Unapenda mwingine Anayependa mwingine hata asiye mpendanga Na kila mtu anataka type yake Saa zingine hata wale wenye hadhi na sisi tunawakataanga [CHORUS] Alivyonipenda yule, alivyonipendanga Alivyonipenda yule, sikujali nikamuaga {VERSE TWO} OTILE BROWN Yule aliyenipenda bure Nikamuacha kwa ajili yake yule Aliyefata pesa na zaidi ya hiyo sikuwa na maana Kweli macho yalinihadaa Haki macho yalinihadaa Alivyonipenda kwa bidii, Suzeed kanionya mimi sisikii Urembo pekee hauridhishi inahitaji zaidi Type yangu, ni yule anaejua thamani ya penzi langu… Type yangu, ni yule anaenienzi Ina maana gani, uwe na msichana mrembo Dunia Nzima, na hakupendi? Ina maana gani uwe na mume Mwenye hela chungu nzima na hakudhamini?
What a song? Real life relative song. Why leave someone who truelly loves you for someone more physically appealling who can never love you as much? Masterpiece of a song, lesson!
Kitu kimoja chanifurahisha nawe Otile ni kuimba kwako, kus'o na muigo. Mashairi mazuri mazito, yaezauvunja mwiko.Haha,Pure talent, sweet music. Big up, bro. Utaifikisha Kenya mbali sana.
Good job Otile ft king kaka....I just can't get enough of it.... Ina maana Gani uwe na msichana mrembo Dunia nzima na hakupendi? Ina maana Gani uwe na mume mwenye hela chungu nzima na hakuthamini?sooo true !!!!
wow otile hio niseme nawe moto moto yaani fire fire..... ati watu wanasema wewe ni tz... wapi na wapi.... mkenya wetu... tunakumpenda.... #thenextbigthing
BIG UP#OTILE #KINGKAKA🎧🎼🎹🎤🎷🎺 "Alikuwa wangu Wahu Wakati nilikuwa Nameless / Nikimuona, nasinzia kaa Nameless / Uko? Ntakuja kalesa / Love ilikuwa Genuine than leather / Na huyu we started kitambo / Wakati skuma kwangu was diambo / Wakati stima kwangu was Candle When his birthday hakua na caki🍰🎂"KINGKAKA🎬🎬🎬🎬🎬
KING KAKA Alikuwa wangu wahu wakati nilikuwa nameless, nikimuona nasinzia ka nameless... Uko? Ntakuja kalesa, love ilikuwa genuine than leather... Na huyu we started kitambo wakati skuma mezani was diambo, wakati stima kwangu was candle, wakati birthday yake haikuwa na keki... Wakati nikisota alinipiga jeki, nikachanganyikiwa na rangi ya thao, yangu ikafunguka club ndio makao, leo Macha kesho coast tunakacha hata. Tulizi document snapchat, niko empty nammiss kishenzi... Alinipa ya kweli mapenzi... Lonely mamiss alivyonipendanga...
I love the song,best song I have heard after a long time,cant get enough of this beautiful,aki macho yalinihadaa,urembo pekee hauridhishi................ ever in my office with earphones listening to this music
this song always comes through when am giving advice to my friends on relationships & when i think of what we have gone through with my lady......you guys should do another collabo
2024 let's gather here🎉🎉
I love the part yenye anasema " Ina maana gani uwe na mume mwenye hela chungu nzima na hakutamini". He's saying the fact that it's a waste of time being with a man who has money and he doesn't love you. Upendo huwa hainunuliwi ilhali ni ile imetoka kwa moyo wako na uko ready kuwa naye. That man who you are with him bcoz of money he will not respect and he will go after ladies. So be careful.
🎉
Tafuta uwache ushenzi
Where are the Million Kenyans who watch bongo music?.... Why dont we support our talents that deserve support? Isnt this quality?
wondering also😂😄
I also wonder. kenyans view all foreign music but comes to our music Waaah problem. pliz let us support our music industry
Miss J Nelson yea
watadakua lini za wema na diamond kiherehere wanapeleka kwa wenyewe wanaacha kwao kukichomeka its like feeding ur neighbours children while ur own are starving
+Natasha Gitau kweli kabisa, kisa baadaye wanasema kenya hakuna good music.
who is here still in 2020
Here
Am here
Who is here 2024 becouse of undergoing the content in this song😢
i love this part ,,,,,type yako ni yule anayejua dhamani ya penzi lako,,,,,,,and ina maana gani uwe na msichana mrembo duniani mzima na hakupendi,,,,,,,,,you sing reality...i love u so much
Just because I'm a Kenyan hamtanipa likes
Umekuja apa juu umepigwa heartbreak 💔💔💔
Still here...2024...always my fev
❤❤❤
"Ina maana gani uwe na msichana mrembo dunia nzima na hakupendi, ina maana gani uwe na mwanamume mwenye hela nyingi na hakuthamini" #Word am officially your fan Otile. Good msg, Amazing voice
Umeharibu kiswahili wewe,
That's so thought full of u otile brown Mombasa's boy from county001
@@estervivian2922 yep
I feel you sherry
And that's the part that I can listen to a thousand times...I love you for this otieno ❤️
Otile Brown @ Una lafudhi nzuri ya kiswahili, na unajua kuimba kiukweli. Nnakushauri jaribu kufungua soko lako Burundi, Rwanda na hasa Tanzania. Jaribu kutafuta show huku, watu wakikujua utajua faida ya kutumia kiswahili kizuri katika kuimba. Ninakutakia mema na nna kuona kuwa mwanamziki mkubwa Afrika anayetumia kiswahili muda mfupi ujao. Karibu Dar es salaam.
Admit it... this song reflects most of our love life.... good work otile 🙌🙌
u ryt buddy
Very truer
Yeah I agree
Ian Ndonga indeed it’s our day in day out episodes
True
I just came from Kenya and i heard this song in the club, i had to ask the DJ the name of the song and ofcourse i told him to repeat the song. I fucking love East Africa
I believe Otile brown can be bigger than diamond platnumz
Are you still dreaming or u woke up already 😂😂😂😂😂😂😂
Benard Abondo 😍😍😍
He is bigger than him now
True
True
Saa zingine anayekupenda humpendi
Unapenda mwingine
Anayependa mwingine hata asiye
mpendanga
Na kila mtu anataka type yake
Saa zingine hata wale wenye hadhi na sisi
tunawakataanga
[CHORUS]
Alivyonipenda yule, alivyonipendanga
Alivyonipenda yule, sikujali nikamuaga
{VERSE TWO}
OTILE BROWN
Yule aliyenipenda bure
Nikamuacha kwa ajili yake yule
Aliyefata pesa na zaidi ya hiyo sikuwa na
maana
Kweli macho yalinihadaa
Haki macho yalinihadaa
Alivyonipenda kwa bidii,
Suzeed kanionya mimi sisikii
Urembo pekee hauridhishi
inahitaji zaidi
Type yangu, ni yule anaejua thamani ya
penzi langu…
Type yangu, ni yule anaenienzi
Ina maana gani, uwe na msichana mrembo
Dunia Nzima, na hakupendi?
Ina maana gani uwe na mume
Mwenye hela chungu nzima na
hakudhamini?
Brown,are you sure Vera loves you?
your song reflects your current love life,ulivutiwa na haga na sura,hapo sioni mapenzi
Heyy listening to this kind of muzik makes me happy.but kenyans we have to learn on how to support our own.
ur jst right swt siz plz tel thm
hoping that there will be a time when we will see our musicians like our stars.
Big tune
Big up bro
Truee
The video is soo good that 32 people turned their screens upside down to like it again...
.......HOW DOES ONE DISLIKE SUCH VIDEO!!!!!!!!!!!!
Samuel Peace 😂😂😂😂😂
yeah
I just love this song...whyy😅😅 reality song💯✌️my best bongo song... with my best artist Otile
I was in class 8😢😢still now 2024 days are so fast🥺🥺❤🫂forever young
Never been so touched with a song like this...truly reflects my love life
Good job
Terry we on the same boat.
Terry Wanza y xo?
What a song? Real life relative song. Why leave someone who truelly loves you for someone more physically appealling who can never love you as much? Masterpiece of a song, lesson!
TIRKOLO JACKSON SARUNI tht is ture
Kijan Yuko vizri san
To be honest, can't get enough of this song because its a real life experience. I salute you king kaka en otile brown.
big up otile good work
hey
u jst ryt gal
i see you lilly
Bad man shivooo
otile ni mkali tena sana bt hope unakumbka penye dr eddie alikutoa......big up tu eddie
Saa zingine anayekupenda humpendi unapenda mwengine naye anapenda mwengine ata asiyempenda.......So true
Who is listening this on November 2024
Ina magna gani kuwa na msichana mrembo na hakupendi.....love this song......king Kaka $ Otile I respect your good work guys
still listening to this beautiful song in 2019...😇
Kijana talanta unayo .... wimbo mzuri sana huu... endelea kutia bidii nasi tutakupa support yote .. big up otile brown.
no need for more bongo songs.. kenyans otile is here.. big up
Sound check... Voice check... Lyrics check... Clip check... Yaaani this whole thing is awesome
Am your biggest fun
Otile Brown.....Hio sauti na mpangilio wa mistari uko Juu.....Shikilia hapo hapo....#TeamOtile
Nani amewahi jipate situation ya Otile,anayekupenda humpendi anapenda mwingine anayependa mwingine...Kali xana
Whoooaaa am definitely responsible for the last 1500 views and more... Love it so much.
Jean Mbugua lol
Jean Mbugua dope
Otile you are blessed...For Bringing the good kenyan music back...
+Keith Mwaniki aje bro
Quality ya hii ngoma niliikubali na naikubali hadi sai 2020,kazi nzuri sana
sazingine naye kupenda humpendi, unapenda mwengine anayependa mwengine hata asiyempendanga...very true😢😢😢
Even a deaf guy cannot doubt the immense talent of Mr Otile brown, sublime.
This guy is talented, took my time to go through his work and I am impressed
nyc one mtoto wa mama toto... cool video teamdreamlandmusic
i really love this artist from kenya his alburm is the best so far
Real Talent, Real Music, this is the kind of music we want to hear.nice one Otile
best ever kenyan artist
type oooouuuuh yangu ni yule anayeijua dhamani ya penzi langu..big biiiiiiigup otile
Huyu ni zaidi ya Diamond, kazi nzuri mno... Mola akuzidishie.
the growth in your music career is so impressive. big up . this one will definitely be a hit sound. I love it.
awesome
Wakati kwangu stima ilikua candle.. Love The King!
Kitu kimoja chanifurahisha nawe Otile ni kuimba kwako, kus'o na muigo. Mashairi mazuri mazito, yaezauvunja mwiko.Haha,Pure talent, sweet music. Big up, bro. Utaifikisha Kenya mbali sana.
wuuuiiiiiii 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 huyu ametoka wapi jamuhuri na wanajuanga tu keroro na manyake....nice song...like him....go go go handsome 😍😍😍😍😘
Good job Otile ft king kaka....I just can't get enough of it.... Ina maana Gani uwe na msichana mrembo Dunia nzima na hakupendi? Ina maana Gani uwe na mume mwenye hela chungu nzima na hakuthamini?sooo true !!!!
Very touchy
wow otile hio niseme nawe moto moto yaani fire fire..... ati watu wanasema wewe ni tz... wapi na wapi.... mkenya wetu... tunakumpenda.... #thenextbigthing
Otile is always on point, big up broz. This is what we kol mature music
BIG UP#OTILE #KINGKAKA🎧🎼🎹🎤🎷🎺
"Alikuwa wangu Wahu Wakati nilikuwa Nameless /
Nikimuona, nasinzia kaa Nameless /
Uko? Ntakuja kalesa /
Love ilikuwa Genuine than leather /
Na huyu we started kitambo /
Wakati skuma kwangu was diambo /
Wakati stima kwangu was Candle
When his birthday hakua na caki🍰🎂"KINGKAKA🎬🎬🎬🎬🎬
should I say hot song or should I say hot message??? otile...egweee u rock man.I adore you're music.May you prosper in whatever you do
king kaka adds that star quality penda you king kaka
The Realest Song About Most Relationships...Money runs the world damn...Great song
sauti ya dhahabu yatambulika. kazi nzuli. Mr Otile Brown
daaaaaa yaani umesema kweli kabisa kwasababu siku hizi wanaume wanataka wanawake Wenye pensa na 😘😘😘😘👌👌👌👌
otile bro uko juu sana.....hii ngoma sio ya kawaida ni Kali sana big up. ..ongeza juhudi utafikia malengo yako tu...
Hahaha I can picture myself here......Big up king kaka and my nigga otile...never disappoint #dreamlandforever
Nakupenda hadi naumwa!!!Good music Otile Brown👍👍👍👍👍
pia nami nataka-ga type yangu,,what a nice song !!!!
The name Otile is soon erupting like a volcano! Big ups bro the video is maaaarrd tight lyrics n king kaka eish! Kazi safi
KING KAKA
Alikuwa wangu wahu wakati nilikuwa nameless, nikimuona nasinzia ka nameless... Uko? Ntakuja kalesa, love ilikuwa genuine than leather... Na huyu we started kitambo wakati skuma mezani was diambo, wakati stima kwangu was candle, wakati birthday yake haikuwa na keki...
Wakati nikisota alinipiga jeki, nikachanganyikiwa na rangi ya thao, yangu ikafunguka club ndio makao, leo Macha kesho coast tunakacha hata.
Tulizi document snapchat, niko empty nammiss kishenzi... Alinipa ya kweli mapenzi... Lonely mamiss alivyonipendanga...
Otilee 🇹🇿🔥👏👏
Big Star in the making. Las Vegas 7s/ he will be the next big star performing.
otile brown.. the flavor Kenyan music industry was missing
jakababa umetisha.......dah,mola azidishe.Amiin
king kaka n Otile? nyc one ....u never disappoint me guys
Twendi twendi still much love for otile 254 4ever
Jaza Jaza. Tufikisheni million views bana...
Otile brooooown..... Noma sana. No more diamond music in Kenya coz now we have our sound. I love those vocals
+gideon akali , hapo umesema ukweli bro
Good job Otile, lyrics ije basi...
boss Otile brown...waaah..iii works iko ueeest...dr.Eddie
Sema kunikumbusha mbali Otile... Big up my dear
I love the song,best song I have heard after a long time,cant get enough of this beautiful,aki macho yalinihadaa,urembo pekee hauridhishi................ ever in my office with earphones listening to this music
Team Otilie Brown.... good video production @Bery_Fizza.looooooooooove it
this is now how you define talent...otile diamond take care.
bonge la collabo congrats mazeeee
Otile unaweza mwanangu Kwanza ukweli umeongea
The wait was definitely worth it, the lyrics, beats and video all DOPE.....kubwaaaaaaa
Otile mpenzi hiki kibao noma sana....salute
This song reminds me of my baby daddy..may your soul rest in peace koech
sauti yake tu hunimaliza kabisa...God bless you
kali bro...zidi kutia bidii..kutoka meru nakufuatilia sana
Wakati stima kwangu was candle, I can resonate with the lyrics.
Hey am Sarafina I really love your songs otile you talk alot about whats happening in our lives
These two Luo's can sing very well and pure talent from Kenya
My best of the best of the best song in Kenya. Kudos to you Otile and King Kaka.......DopeYou are an eagle.. keep flying high
Otile na Sudi boy nawapenda sana,natamani kuskia nyimbo kutoka kwenu......
BIG UP GUYS IN BIGGEST LATTER BILA KUMSAHAU ASHUR THE MAFISI TEAM KWA CREW.O THANK GOD FOR YOUR REALITY IN MUSIC OTILE .
Alivyonipendaga..... Otile you coming up real big... Keep the fire burning
this song always comes through when am giving advice to my friends on relationships & when i think of what we have gone through with my lady......you guys should do another collabo
kweli macho yalinihadaa.....aki macho yalinihadaa. ikwym.
pedaaa yaani standi freshii ivoo step moja mbili wafuka boarder kaza buti duuh kingkaka amazing
ngoma kali kakangu,itakua kubwa inshallah
Tuko bado hapa 2019...our very own diamond platnumz
This guy could be the future we want
Otile brown ft king kaka...u guys never disappoint,always on point...#Alivyonipendaga