BALAA! RUBBY AAMSHA WATU KWENYE MALKIA WA NGUVU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024
  • BALAA! RUBBY AAMSHA WATU KWENYE MALKIA WA NGUVU
    NI katika kilele cha Tuzo za malkia wa nguvu zinzofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere ambapo wanawake mbalimbali watapokea tuzo kulingana na vitengo vilivyoandaliwa ambapo mapema katika tuzo hizo tayari aliyekuwa miss Tanzania 2004 Faraja Nyalandu Kota amepewa tuzo ya mwanamke ambaye ni mwamasishaji.
    Naye Mjasiriamali, Mwamasishaji, Mfanyabiasha na mmiliki wa makampuni ya Global Group amehudhuria katika kilele hicho nakupata nafasi yakuzungumza na wanawake waliohudhuria katika TUZO hizo.
    #MALKIAWANGUVU
    www.youtube.co.... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
    globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho

КОМЕНТАРІ • 6