JULIO AFUNGUAKA SABABU ZA MGUNDA KUTOKUWA KOCHA SIMBA / VILABU VYETU VINABADILI MAKOCHA KWA KUIGANA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 вер 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 17

  • @ManyandaJohnPaul
    @ManyandaJohnPaul 4 місяці тому +1

    Shida simba washauli wao ni rage na julio iv hawa wanahitoria gani ya kusema wawenahami ya kuona wao wako sawa

  • @honeyflower254
    @honeyflower254 4 місяці тому

    Natazama nikiwa eldoret Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @SalimAbdallah-mi1wc
    @SalimAbdallah-mi1wc 4 місяці тому

    Mbona mnaumiza vichwa mgunda kweli akishika timu yapata matokeo mazuri Lakin viongozi wanajua timu yapata matokeo mazuri kwa njia Gani kwaio tuwache viongoz wanajua Siri Yao ya ushindi

  • @IgarandaIgaranda
    @IgarandaIgaranda 4 місяці тому

    Nikwel hatupendan kabisa

  • @rahmalutengwe2901
    @rahmalutengwe2901 4 місяці тому +1

    Bila Mgunda kuwa kocha Simba hawezi kuwa bingwa hata 2025

  • @sikandarsuleimanTV
    @sikandarsuleimanTV 4 місяці тому

    Tatizo la Simba SC ni uongozi wetu

  • @SalambaPeter
    @SalambaPeter 3 місяці тому

    Mgunda ni kocha mzuri lkn bado tumpe kocha mkuu ili atembee naye na asiwe na kiburi yeye azidi kujifunza na huyu matola atolewe kabisa anaigawa tim ni mwazo yangu

  • @brianbatoleki6531
    @brianbatoleki6531 4 місяці тому +3

    Mgunda apewe timu, kama mnataka makocha wakubwa Basi muwe na hela ya kusajili wachezaj wakubwa na wenye majina

  • @AllyMohamed-w5x
    @AllyMohamed-w5x 3 місяці тому

    Julio Julio Julio.. shikamoo baba ,, Asante mkuu wangu Sanaa

  • @VictorBugobola
    @VictorBugobola 4 місяці тому

    😂ata mdunda itafika kipind nayy mtamchukia tu mpeni mda lkn Bongo malalamiko tu Leo mgunda kaipeleka team no.3 ilo amlioni et

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 3 місяці тому

    Mgunda apewe tim

  • @allymtapera5370
    @allymtapera5370 4 місяці тому +1

    Munataka punda au munata mlio?

  • @mazaramatucha
    @mazaramatucha 4 місяці тому

    Julio ndiye sumu ya simba