UKIOTA NDOTO YA MOTO KATIKA NJOZI YAKO | JIBASHIRIE HAYA | SHEIKH KHAMIS SULEYMAN

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 жов 2024
  • UKIOTA NDOTO YA MOTO KATIKA NJOZI YAKO | JIBASHIRIE HAYA | SHEIKH KHAMIS SULEYMAN
    #MasjidMtoroTv #NasahaZanguTv #NyumbaYatibaNadua

КОМЕНТАРІ • 110

  • @sabrasalum3501
    @sabrasalum3501 3 роки тому +2

    Inshllh kher

  • @Msakatonge23
    @Msakatonge23 Рік тому +1

    JazakaAllahu,kherii❤❤❤

  • @12Naomi12
    @12Naomi12 Рік тому

    Shukran sana

  • @bbb6nnn561
    @bbb6nnn561 3 роки тому +6

    Mimi nimeota moto tupo nnje na wenzangu pana moto pana na chungu jikoni lkn chungu kina kitu na hicho unavyo sema na mimi napigania hayo maisha ili nipate risk yangu kwa nguvu zangu na muomba sana allah anisaidie yaallah tusaidie haya maisha tupate risk japo za kula tustirike na ww

  • @farhatseif3041
    @farhatseif3041 4 роки тому +1

    Shukran Sheikh khamis
    Mungu akubarik

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 6 місяців тому

    Amiin yarabb

  • @HalimaMohamedDawood
    @HalimaMohamedDawood 10 місяців тому +2

    Asslm aleykm sheikh mm nimeota mamangu ameungua mwili mzima na sikuona moto imetokea tu namuona mama mwili mzima unatona mafuta kwa kuungua plz nitafsirie

  • @eliyadaniel7834
    @eliyadaniel7834 2 роки тому

    Asalamu aleykum naomba kusaidiwa Mimi nimeota mama yangu Ana nikimbiza Kisha mikakimbilia ndan nilipo fika nikachukua kibeliti nikachoma nyumba Kisha nikakimbia nilipo shituka kichwa kikawa kinaniuma sana

  • @dogomwapea5662
    @dogomwapea5662 4 роки тому

    Shukran

  • @janethmyango5245
    @janethmyango5245 3 роки тому +4

    Nimeona Moto mkubwa unanifata Mimi na familia yangu na umesha unguza wilaya mzima Ila Mimi na familia yangu ni wazima tuna ukimbia tukapata ndege tunaenda nje ya nchi lakini ukafika hadiuko tukawa bado tuna ukimbia Mar nikaamka nisaidie sheh Ina maana gani

  • @ayishaayisha8053
    @ayishaayisha8053 3 роки тому

    Asante ostadhi🥰🥰

  • @sabrasalum3501
    @sabrasalum3501 3 роки тому

    Mmi nimeota nguo zangu zote zineunguwa na vitu vyangu vengine vya dhahabu nk...ni vip hii shekh

  • @mariammuscat4300
    @mariammuscat4300 4 роки тому

    Amin

  • @hadijagere
    @hadijagere 4 роки тому

    Ma shaa Allah

  • @lilianrichard9065
    @lilianrichard9065 Рік тому

    Shehe mm nimeota nimebeba mtot mdogo. Mgongon nikamwon a mama yangu ananita na kunionyesha moto na kunambia kuwa kule tulikotoka moto unawaka ktk nyumba yetu nenda ukaone nilipofika bikakuta mosh tu

  • @VickyMoney-lw9bi
    @VickyMoney-lw9bi Рік тому

    Mm nimeota eneo la kazin.kwangu pana waka moto kisha mm nikiwa nakimbia sana ndan ya huwo moto

    • @SamwelAxweso-ve1cw
      @SamwelAxweso-ve1cw 11 місяців тому

      Mimi nmeota moto unawaka mwili mwangu lakini hyniunguzi

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 4 роки тому +4

    Waalaykumu ssalam warahmatullahi wabarakatuh

  • @samwelmwasakikoba7069
    @samwelmwasakikoba7069 4 роки тому +2

    Salaam alaykum sheikh nina mtoto wa kiume ana umri wa miaka 10 hana uelewa shuleni anaota anaenda chooni alafu hapo hapo anajikojolea alafu anaota anatembea juu ya moto na wala haungui naomba fafsiri shekh.

  • @JumaSanze-ge1oe
    @JumaSanze-ge1oe Місяць тому

    Asalamu alaykumu jitahidi ukitoa maerezo uchangamke pia punguza vikorombwezo unamaerezo mengi kuliko mada mtu mpaka anachoka kukusikiriza

  • @mariammuscat4300
    @mariammuscat4300 4 роки тому

    Aaallah mdulilah

  • @zakiahole6871
    @zakiahole6871 Рік тому +1

    Mi nimeota nimeenda sehem nikakuta bibi yupo jikon nikaenda chumba kingne nikakuta kuna kitanda nikaweka kibegi changu nikatoka nje nilivorud nikakuta moto umewaka sebulen nikawa nashindwa kuingia chumban alaf giza nimeingia nikamuona mtoto nikamwambia mama yako yuko wap akaniambia anaosha vyombo nikamwambia mwambie awashe taa giza limeingia nikachungulia jikon nikaona mafiga manne yote yanamakaa ya moto alaf Figaro moja lina chungu kwa juu nikarud kwenye geto langu nikawanaokoa begi langu nikalitoa halikuungua sana vitu ndani vilikuwa vizima ina maanisha nn

  • @PendezaWemaMadjaga
    @PendezaWemaMadjaga 6 місяців тому

    Jambo Mimi nililota ndota Mimi nguo yangu ilikuwa nawaka nika towa iyo nguo nikaitupa Kisha ika unguza nyumbani mingi ya wajirani kisha nikakimbia nikafishama yangu

  • @SalmaHemedy-fb8eo
    @SalmaHemedy-fb8eo 23 дні тому

    Mie nimeota pikipiki yangu inawaka moto nikajitahidi kuuzima nikafanikiwa kuuzima , ila ikawa tayar imeunguwa katkat

  • @ramekibakari5352
    @ramekibakari5352 2 роки тому

    Shekh nisaidie kuhus hii ndot yang nimeota kazini kwangu natengenez gari alf likalipuk moto likaungua mpk likaisha likabak majivu

  • @zabibuseleman2644
    @zabibuseleman2644 3 роки тому

    Asalaam Alykum na kama umeota Gari imeanguka na ndan kuna watu katika sehem ya chimo dogo ghafra nataka nikawasaidie nilikuwa mbali kidogo moto ukawaka nikashindwa kusogea pale.....Hii NDOTO inamaana gan Sheikh

  • @eddymoraa4232
    @eddymoraa4232 Рік тому +1

    Mm nimeota jikoni yetu ya kitambo inajomeka na moto hauzini mm napinga makelee na watu hawakuji kuzaidia

  • @DulaYanga
    @DulaYanga 4 місяці тому

    Naomba number sheikh 🙏

  • @zulfamohamed5685
    @zulfamohamed5685 3 роки тому

    Asalam aleykum, sheikh mimi nimeota msafala wa sisimizi wengi wanaingia katika msingi wa nyumba yangu. Ila katika huo msafara alikuwemo nyoka nilimuangalia na yey pia Alnitizama Ila hakuniuma

  • @fahimafah349
    @fahimafah349 2 роки тому

    Nimeota nikiwawona watoto wawiri kanachezea mwoto mutoto wakike arikua ni mutoto wa boss wangu wakiume nirikuwa simujui arafu bose akanikamata akanifunga kamba akanepereka kwayure mwoto akanichoma ariniweka ju yamwoto yeye akatoka yule mutoto wakiume akaja kunisaidia akanitowa kwayure mwota gutoka inje tukamukuta boss wangu yule mutoto akamwita baba yake akawa inje yamurango akafunguwa geti mimi na mutoto tukaenda enje nikakuta majirani wote inje wanashanga sana nikawona bass anaingiya ndani arakini iri boss asipate ayibu waritaka waniwuwe nikakimbiya sana nikawa napanda mirima ili wasinikamate nikamupigia simu mutu akanambiya nikimbiriye kwake nikapanda murima nikafika ju niriwumariza arafu nakashiduka waweza kunipatia manayake?

  • @Nurusadick-y2h
    @Nurusadick-y2h 5 місяців тому

    Mm Kwanza nmeona Simba wadogo alafu akaja mtu na walinzi wake akanichukuwa nikaona shimo kubwa nko na mto nkaona watu wengine wanafura sana

  • @timinacheptumo6152
    @timinacheptumo6152 4 роки тому

    Salaam ningeomba unitafsirie ndoto ya kuangukiwa na mawe kutoka juu na watembea kwenye njia pana mpaya

  • @nadiaifrahmu4168
    @nadiaifrahmu4168 3 роки тому

    Mm nimeota moto unatoka juu nakunikuta chini nilipo kila mara unakoseya kunipata baada yaapo nika ona mwezi unawaka pamoja namata nikafurah sana 😓

  • @Catherine-u6g
    @Catherine-u6g 3 роки тому

    Waalykum sheh mm nimeota kumetokea moto ndan kwangu nikawaokoa wanangu alafu wakt nazma niltumia mkono wang ambao ckuungua kbsa na ila nilikuwa nalia sana

    • @greatiq7835
      @greatiq7835 3 роки тому

      Allah akuhifadhi. Akunusuru na ubaya wa ndoto hiyo na akupe kheri za ndoto hiyo.
      Ila, ni vyema unge andika vizuri Kiswahili ili msomaji asisumbuke. ""Ckuungua" ni vipi hivyo?

    • @fatmasleman932
      @fatmasleman932 Рік тому

      Asalamalaikum utaz mm nimeota niki katika wtu lakn gfla kulitokea moto kila kona na akatokea mtu akawa anauzima mtu moja tu

    • @fatmasleman932
      @fatmasleman932 Рік тому

      Yani ayo maeneo niliyo kuwepo nilikuw maeneo ya w2 wengi sana na kulikuwa na mjengo hay majeni ya chuma yalishika mot wkushtukiza ambao moto ule ulikuwa mithli ya moto wa gesi lkn apap kbla haujatufikia mwilini akatoke mtu na kuzima

  • @SalimSaif-u5v
    @SalimSaif-u5v 2 місяці тому

    Nimeota nimezungukwa namoto wote wamevhomeka nika baki mimi tuko kwenye kiwanja

  • @MariyumaHosssam
    @MariyumaHosssam 8 місяців тому

    Mimi nimeota moto mkali sana lakini haunichomii na niko katikati na mwananguu

  • @hamidahamida1473
    @hamidahamida1473 4 роки тому

    Hatari.

  • @salimawishenga7588
    @salimawishenga7588 2 роки тому +1

    Shukran Sana, Wenye wamewekwa kidole cha dislike walimuelewa vibaya ni kuchanganyikiwa tu akasema (wacha kutokusali).

  • @BraitonNicholaus
    @BraitonNicholaus 2 місяці тому

    m nimeota gari linaunguwa na ndani ya gari Kuna dafuturi Lina hela na nimepewa Mimi hiyo Ina maana gani

  • @dmshana4242
    @dmshana4242 5 місяців тому

    Nimeota cm yangu inaungua mpak shuk jeup likaungua na likatoboka

  • @mpasuajiali8977
    @mpasuajiali8977 Рік тому

    assalamuaykum jitahidini gur ani

  • @RosaliaRose-v4c
    @RosaliaRose-v4c 9 місяців тому

    Hi nimeota moto unachoma nyumba yenye nafanya job ndani ikazimwa na mdozi wangu mbaba pia na wazima moto pia na mimi nikasaidia kidogo nini inaweza kuwa chanjo

  • @shukuruhussein5093
    @shukuruhussein5093 2 місяці тому

    Nimeota nimewashiwa moto mgongoni na adui yangu nikafanikiwa kuuzima

  • @anwarabduullahrawahi2067
    @anwarabduullahrawahi2067 3 роки тому

    Asalam aleykum sheh

  • @azizahassan939
    @azizahassan939 3 роки тому

    Nimeota napika ila chakula cha biashara lakin nawambia watu iko chakula nunua tuu lakin nais kama kimeoza

  • @aminasultan8735
    @aminasultan8735 3 роки тому

    Shehe Mimi nimeota naongea na mjombawangu na mamayangu mdogo ambao wamekufa teari baadayahapo pembeni nyumba inawaka moto lakinye mwenyeile nyumba nimalehem nae je Nini maanayake

  • @ShakeeryAlly-hh8ny
    @ShakeeryAlly-hh8ny 4 місяці тому

    Nimeota navuka mto hadi upande wa pili ghafla nikaona jua jekundu likiwaka huku linawamwagia moto watuvwa upande nilipotoka wa moto umati ni mwingi unaoteketezwa na moto huo mpk maji ya mto yakawa yamoto nikazunguka upande wa pili wa daraja kurud nymbn nakutwa kwang chumba kiko wazi walafu kuna watu wabaya wanaotoka wakabaki wawili shekh ana kanzu nyeupe na ostadhat mwny mavazi meusi full hijab

  • @MyNyakitas
    @MyNyakitas 6 місяців тому

    Ukiota umeon pesa mbili zipo kweny moto na mbili hazipo kweny moto ukitoa zote zile pesa Ila moja inadondokea pale pale kweny moto. Na nyingine ukiota unachoma cm na lain zake ziko mule LA kin hujal jee inamaan gn

  • @KidawaMwazini
    @KidawaMwazini 9 місяців тому

    Mm nimeuyita unaguruma moto lakini nimeshika kuangalia hamna kitu nini hiyo shehs

  • @hamanmunguawazidishieka2556
    @hamanmunguawazidishieka2556 4 роки тому +1

    Mm huota ndoto mara kwa mara kua, ndege inaanguka alafu moto unaanza na hapo, na watu wakakimbia ila moto hua uko kas sana ila kila mara hua mwishowe naponea. Na kuna nyengine ya kuota gari inapaa juu angan huku moto unawaka, pia huota jeneza liko mlangon na halina mtu, mana yake nn

  • @tashroka2458
    @tashroka2458 2 роки тому

    Niliota moto umewaka nyumbani kwetu lakini tulikua nje mimi ndio niliwaambia moto unawaka nyumbani waatoke uko nkaanza kuwaokoa

  • @idrisabdallah9025
    @idrisabdallah9025 3 роки тому

    Assalamualaikum , mume wangu kaota amepewa pesa mingi na baadae moto ukaanza kuwaka karibu hizo pesa ichomokee

  • @hawaramadhani4435
    @hawaramadhani4435 4 роки тому

    Shekhe mi nimeota leo wadogo zangu na mama yangu wametoa nguo zangu ambazo sizivaagi zilizo nibana na zingine zimechakaa wanazichoma moto maana yake nn nissidie

  • @abdulmanasa8554
    @abdulmanasa8554 2 роки тому

    Je nikiota moto unawaka kwenye jengo kubwa uko mjin maana yake nn au nimeota pia kazi kwangu kunawaka moto maana yakenn

  • @hadijadegu3982
    @hadijadegu3982 Рік тому

    Ukiota nyumba ya jirani anawaka moto na moshi na natoroka kabla moto anifikye ana manishanini

  • @pilijuma2913
    @pilijuma2913 3 роки тому

    Mimi nimeota tulikua shule Mara nikaingia chumba kimoja cha Darasa ambacho hakitumiki nilikua nawasha Moto ulikua vicheche vidogo akaja rafki angu kanisaidia na ukawaka nilikua nahitaji kupika chakula na apo nilikua nimeshika kibakuli cha wali na kula.

  • @shalomyashua2884
    @shalomyashua2884 9 місяців тому

    Ukiota inzi ya koo nne maana yke

  • @lidiahoyando8490
    @lidiahoyando8490 Рік тому

    Umejikuta umechomeka na moto na hujui umejikuta to

  • @MimahYaseen
    @MimahYaseen 3 місяці тому

    Me nimeota moto unawaka nikawa nauzima maji lakini aujazimika

  • @givengaby6067
    @givengaby6067 3 роки тому

    Mimi nilikuwa nazima gesi moto ukawaka kwakulipuka, na ukapaajuu na kushika dali ila haukuteketeza ukabaki Moshi na ukazimwa

    • @fatmasleman932
      @fatmasleman932 Рік тому

      Mm nimeota nikiwa ktka gurupu la wat yn km ulimwengu mzm up na panawaka moto hay maeneo kila kona

  • @abubakarkabanda7645
    @abubakarkabanda7645 5 місяців тому

    Mimi Nili ôta poli inawaka moto

  • @lulually5209
    @lulually5209 2 роки тому

    Mimi nimeota ndoto shoti ya umeme imepelekea nyumba kuwaka Moto lkn nikazima soketbreka ukazima je nn maana yake?

  • @MwajySebe-qh8ik
    @MwajySebe-qh8ik Рік тому

    Mm niliota napiga na MTU alaf nikaona moto

  • @ZafaranShaban-yp2yh
    @ZafaranShaban-yp2yh 7 місяців тому

    Shehe ukiota mafiga unaluka inamana Gani tafadhar

  • @timahachimoassane9386
    @timahachimoassane9386 Місяць тому

    Sheikh nina wiki naota moto na leo nimeota mtu anaungua moto na ananikimbilia ili tuungue wote.

  • @jacklinibrahim8805
    @jacklinibrahim8805 Рік тому

    Shehk nimeota njia nayo pita nimoto nakanyaga moto unawaka kulia na kushoto nachini Kama moto wa mkaa nikaona na pita bilakuungua nikawa natembea nikatfika nikastuka Ina maana gani

  • @naominapendwa141
    @naominapendwa141 Рік тому +1

    Shehe nimeota kila nikisali Moto unawaka kwenye jiko la mkaa Sasa nikawa tuu nashangaa

  • @gracemathias-ub1dj
    @gracemathias-ub1dj Рік тому

    Mimi huota mala Kwa mara nyumban moto unawaka halafu unazimikia ndan

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 4 роки тому

    Amiin amiin amiina yaarabbi

  • @aminasuleiman1559
    @aminasuleiman1559 Рік тому +1

    Muna

    • @adelbethaclemensilyenji2951
      @adelbethaclemensilyenji2951 Рік тому

      She Mimi nimeota moto unaangamiza Dunia nzima na mpaka anga limepolomoka na kuhalibu nyumba za watu, tena anga lote limechafuka na moshi

  • @agapenkya4148
    @agapenkya4148 4 роки тому

    Mimi nimeota Gari la Dada aliyekuja karibu yangu kaungua ule upande wa dreva limeungua saana

  • @yunisalfarsi6168
    @yunisalfarsi6168 2 роки тому

    Nini maana ya kuota wingu kama mfano wa wingu la mvua na BAADA ya hapo wote wa katoka nikabaki Mimitu pekeyangu nikiwa na angalia.

  • @jumaahmad4117
    @jumaahmad4117 4 роки тому

    W/ssalam warhmatullah wabarakat

  • @mwanaimanisaid1943
    @mwanaimanisaid1943 3 роки тому

    Mimi sikuelewagi

  • @tausilazaro1685
    @tausilazaro1685 2 роки тому

    Nimeota namchoma rafiki Ang na moto😓😓😓

  • @salmaabuuahmed2182
    @salmaabuuahmed2182 4 роки тому

    Sheikha naomba number yak

  • @edistahsilayo6353
    @edistahsilayo6353 3 роки тому

    Nimeota volkano inatiririka ila ndoto haikuanzia hapo

  • @alisaida4080
    @alisaida4080 Рік тому

    Nyumba yawaka moto twaizima

  • @hwaahawa3381
    @hwaahawa3381 3 роки тому

    She,he meme niliota, ardhi imepasuka, inatoa moto mkali, watu wakidumbukia, chini yahule moto kasoro meme, sikuungua.jeinamaana gani hiyo ndoto

  • @hassanbusi
    @hassanbusi 2 роки тому

    Sheikh Je nikiona mtu anaungua moto ndotoni maana yake nini?

  • @kidotykhamis5539
    @kidotykhamis5539 4 роки тому

    Shukra shekhe ila mm nimeota moto unawaka katika daraja na maji yanatiririka tena maji mengi sanaaa ila nimachafu yamebeba taka na vipandevya kuni na daraja haliungui na alienda kijana wangu wakiume na hakuungua
    Na mm nikawa naokota vipande vyakuni vilivyo kua vinabakia pemben ya barabar yalikopita maji nakuvipeleka nyumbani ila sio kwangu nn maana yake shekhe

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib Рік тому

    Kuna kipindi nilikuqa naotaga moto

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 4 роки тому

    Swallallahu alayhi wasallam

  • @amosimasolwa8860
    @amosimasolwa8860 3 роки тому

    mm she's naona moto unawaka mtu anauzima

  • @petermashala4765
    @petermashala4765 3 роки тому

    ukiota upepo mkali nini maana yake

  • @anwarabduullahrawahi2067
    @anwarabduullahrawahi2067 3 роки тому

    Nimeota moto unawaka benki
    Yaunguwa

  • @shalomyashua2884
    @shalomyashua2884 9 місяців тому

    Joo

  • @بنشريف-ب3ز
    @بنشريف-ب3ز 4 роки тому

    Wanawake tunachokosea kwenye ndoa

  • @happymrema7487
    @happymrema7487 8 місяців тому

    Nimeot moto unawak kweny mafiga

  • @faithmwende3150
    @faithmwende3150 3 роки тому

    Na mtu akiota moto uko. Pebeni mwa nyumba yake nini maana yake

  • @StevenChillongan-rt5iz
    @StevenChillongan-rt5iz 5 місяців тому

    Nimeota nakoka moto nipike sehemu mbili kwa pamoja