FUNGUKA NA STRONG ICOME :TOMY BOY /NILIKUWA MSAGAJI/NILIBAKWA HOTELINI /MAMA SAMIA /MUME MZUNGU
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- #fungukanareytox #fungukanasyrongicome #entertainment #podcast #podcasts #podcasts #podcastclips #diamondplatnumz #wasafimedia #wasafi #fungukanareytox #juakaliseries #ahmedally #fungukanatabumtingita #abdulrazak #entertainment #fungukanasalhaabdaallah #simbasc #duet #zuchu
Jamani ata mtangazaji ana kishangaa ongea polepole basi kaaa😂😂😂
Khaaa 😹😹🙌🙌too much talk
I love dis girl ❤❤❤
Mtangazaji leo kapatikana anafanyiwa interview😂😂😂😂
Nmecheka 😂😂😂😂
@hawasaid7151 cheka t mwali wangu 😆😆
Khaaaaaa! Mbona hivi? Msichana anahitaji msaada huyu wa Afya ya Akili.
Msisahau wachaga wanapenda sana kubwabwaja😅😅😅😅yn anaongea mbaka aibu naona mimi
Sio mbaka ni mpaka
Itakuwa x wako mchaga una hasira
Kwan amehojiwa kipi mbn anacharuka sanaa😂😂😂😂
Alilewa Sijui
mh dada unaongea sana yan umeambiwa karibu tu tyr unatiririka🙌🏼subiri uulizwe
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Yan hana utulivu Kabisaaa 😢
Mtangazaji kamezwa 😅
Dada anaongea ad anaboa Sas yan anaongea Hili anaacha khaa😅😅😅
Mtangazaji; The ovary like the fallopian tube?
Mhojiwa; Yaa
Mimi;😂😂😂😂 kwanini wanakubaliana uongo 💔🙌
Mimi was like 😳
Huyu si mzima mwangalie vizur
Si kweli kila tatizo la mimba ni Abotion. Chanzo ni mfumo mzima wa maisha, Vyakula,. Hizo kinga, vidonge na pia pad zina Parfum. So dada weka akiba ya maneno pia
Go girl. Say it all
Rey nakupenda kwa ajili ya ALLAH
Mashallah
Nmecheka so mawenzi secondary ndo shule ya kishua🙌😂😂 eeh girl yuh talk 2 much unadhan chiz
Swali lapili sijui ataulizwa sangapi😅😅😅😅😅😅maskini bandolangu m2 anaongea uyu jamn
🤣🤣🤣🤣🤣🤣jamn
😂😀😂😂😂😂 jaman umenichekesha aty bando langu
Hahaha
😅😅😅
Mi kanichekesha alivyomuuliza mtangazaji jina lake baada ya kuulizwa yy😅😅😅
Anaongea sanaa
Media ni kubwa hivyo mnatakiwa kufuta matamshi au maneno makali, vnginevyo mnaweza mkafungiwa.
Leo rey wewe ni ndugu msikilizaji 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 dada hadi dakika ya sita bado anajibu swali la kwanza😅😅😅😅 kivumbiiii 🤣🤣
Mi ni mtukutu😂✅
ANI ANAONGEA AJAULIZWA KITU SEMA MTANGAZAJI IMEMKATA SANA KUULIZWA JINA LAKO NANI
😂😂😂😂😂yn utasema yeye ndio mtangazaji
😂😊
Ukiangalia hii video positively unaelimikq❤
Sa wema amekujaje tena
Hii fala haijui sara wa kwenye biblia alipata shida kupata mimba so alitoa mimba !!
Amna bhana
Ndugu yake diva😊
Mbona kaaza na spidi kabla hajaojiwa jamani
😅😅😅😅😅
Huyu mtu aisee
Shule NI kila kitu... Wapumbavu Tu ndio wataongea hivi
😅😅😅 tutiane
KINA BOA MAMAE
Ukiwa mfupi Basi wewe si mrembo tena ushakuwa na uwalakini😅
Tusitumie uzazi wa mpango na tusitoe mimba itakuwaje😢
Acha uzinzi
😂😂😂😂
Wakwanza
She z nervous , i get like this too when am nervous
Hii ni kweli....she is nervous
Yesssss ndo maana anaongea ongea mnoooooo yani mnoooooo hadi imeboa
She is not only nervous but also talkative,,😂😂😂 leo nimetumia kibgereza chenye nilisoma primary "not only ......but also"😅
😅😅😅@@Humanity21216
Anasema ukweli kabisa binafsi p2 zilinipelekea nikapata ectopic pregnancy😭😭😭
Kama hutojali hiyo ectopic pregnancy ndo nini natamani kujua
Mimba inayotungwa njee ya mfuko wa uzazi @@MakoriConsolatha
@@MakoriConsolathaMimba inakua imetunga nje ya kizazi inakua hatar sana na inatakiwa kutolewa haraka
Anaongea ukweli sema tu hana mpangilio
Baby shut up usiongelee fertility issues kwa mjumuisho ivo, coz some women have issues na hawajui hizo nonsense ulizosema!!
Amenikera sanaaaa! haelewi mambo ya uzazi kabisa.
Huyu Dada akili yake ina matatizo na baadhi ya maneno inaonyesha ni uwongo! anataka kujifanya kama GYGY.
Yani na uzur wote huu analiwa kinembe
Mmh jaman Mbona kama hii interview iko out jaman😂😂
Hata mnizabue makofi ukiniuliza mada inaongelea nini hapo sijaelewa kipengele cha kumtaja Wema ndiyo kanichefua😏🤮
Anaongea sana karibun turns yote katililika annzia nyuma anakuja kati anamalizia mwanza anatakiwa kuwa awe mtulivu aeleweke
Issue ya mimba kukaa nje haihusiani na abortions za mara kwa mara…huyu nae ana bwatuka pumba wakati mwingine afanye research
Ndio nimeshangaa kwakwel 😊
@@fettyommy4870 Hata habari za kutoshika mimba, lakini asifikirie matatizo yake yalisababishwa na ngono zembe si kila mtu anayepata vivimbe, kutopata watoto .... kuna mabinti wadogo wanapata shida baada tu ya kuvunja ungo. Atunze akiba ya maneno
Ni kweli bhn kizazi Huwa kinalegea kama ukitow mimba sanaaa na ukipata Tena inasumbua mara imetoka, na kama mtu amebahatika ujue n mungu pia amepanga ila ni ngumu Sanaa nna ushuhuda na wngi kwa hilo
We itakua hujavunja ungo bado ndo mana hujui unacho kiandika GOOGLE IS FREE MUUH ACHA UPUMBAVU WA KUKOSA MAARIFA 🌚
@@fettyommy4870na wewe huna tofauti na wapumbavu wanao ongelewa kwenye biblia. Mnaangamizwa Kwa KUKOSA MAARIFA 🌚 research Mwenyewe uone kama izo p2 na Kutoa mimba hazisababishi ectopic pregnancy
Tumezika wagonjwa sisi kisa iyo iyo sababu inayo ongelewa afu mnaropoka uduwanzi tu 😒abooo
Anajutia ndo Maan anaongeaaa
Siku nyingine uwe unamuongoza mgeni km huyu ili kuwe na mtiririko mzuri wa interview..samahani km nitakuboa
ATA HASUBIRI AULIZWE MASWALI KHAAAA😒
Too much unaongea sana dada kaulizwa kingene anajibu vingine
Kwasababu yy ni mtukutu😂😂😂😂
MUNGU wangu😂😂😂😂yaan anaruka ruka hajui hata anasema nn
Kama naiona serikali itakavyowasiniga kisa kugusia uzazi wa mpango, anyways acha nikae kimya
Lol you girl,uko mkweli mpaka umenifuraisha watu wengi wana pretend kama wako Malaika
Sasa mbona unaongea ivyo
I had to skip the interview..she z pumba talker
😂😂😂pumba pumba
Sasa kama napata period vzur kila mwez hzo kinga znahusikaje hapooo ebu atuacheee anataka tuzae zae hovyo tusumbue serikal
😅😅😅😅 kwel mwaya
@@rosemery3017 😂😂😂
Ila hawa watangazaji wa Tanzania ni O brain kabisa mnamtaja mtu kabisa hivi mnajua hiki kipindi kinaweza kufunguliwa mashtaka namkamlipa mnamtajaje Wema tena kwakuniamini
Mtangazaji ndio kataja jina ? Jua basi ethics za kutangaza
@@reytox mbona mtu akitukana hampost tusi?
Check mambo za fallopian pregnancy before you pere pere 😂
😅😅😅😅😅😅 wallah umenikumbusha mbali sana nilikuwa na date na mnigeria mmoja akasema Niko na pere pere pere yani umenikumbusha no mesheka mno😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Kilichoandikwa na anachoongea hapo ndo sielewi looooo
Mmmh u talk too much a lot of nonsense
Sikipendi hiki kijinga na uso wake kama bakuli
mh dada unaongea sana yan umeambiwa karibu tu tyr unatiririka🙌🏼subiri uulizwe
😂😂😂😂😂😂😂
😆😂😆
😂😂na mtu muongeaji anakuwaga muongo
😂😂😂😂😂
Wakwanza