PART 1: JAMES MBATIA, NILIKUA NATUMIKA NA MAGUFULI?/SERIKALI IMEFANYA NJAMA KUNING'OA NCCR

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 чер 2024
  • --
    Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
    JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
    ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
    ⚫️ Website: www.dar24.com
    ⚫️ Instagram: @Dar24news
    ⚫️ Facebook: @dar24
    ⚫️ Twitter: @Dar24News
    #Dar24 #Dar24Media

КОМЕНТАРІ • 23

  • @mcpetitkisinini681
    @mcpetitkisinini681 2 місяці тому +4

    Interview kali sana

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 2 місяці тому +1

    Hongera sana Mbatia endelea kusimamia kupigania Tanganyika.

  • @Commentsplus
    @Commentsplus Місяць тому +2

    Wamevaa sout za kufanana ujue

  • @luhasamaligo7907
    @luhasamaligo7907 Місяць тому

    Mtu mmoja makini sana Joseph Francis Mbatia

  • @tobiaspaul9203
    @tobiaspaul9203 Місяць тому

    Roly mode wangu

  • @habyhabib7538
    @habyhabib7538 2 місяці тому

    Unajua unapoiangalia tanzania ,unaiona tanzania,tunahitaji wanasiasa makini ambao wanaokua na uchungu juu ya utaifa wetu wa tanzania,ni moja wapo ya tunu na mentor wa wanasiasa wengne ambao wako sehem fulani,tunachotaman wananchi nikuona taifa linafika wapi,
    Kwa kumaliza hakuna binadam mkamilifu,tamat kabisa kabisa tunahtaj tanzania salama,tusiache kutoa elimu sahihi ya utafakar juuu ya uzalendo

  • @luhasamaligo7907
    @luhasamaligo7907 Місяць тому

    Yoooh

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b Місяць тому

    Majanga zaidi bwana mbatia ni machinga ccm iliyo mwagwa barabarani hao ndio wataleta vyama wakishika panga hawataludi nyumba asante

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b Місяць тому

    Yuniform kijani kabisa

  • @romanamassawe814
    @romanamassawe814 Місяць тому

    NCCR mageuzi ilianzishwawaka 1992 na sio 1993

  • @loningoletayo8453
    @loningoletayo8453 Місяць тому

    Nilikuwa nakukubqli sana ukiotoa ufafanuzi juu ya majanga ya kiaifa

  • @m.s.nyerere476
    @m.s.nyerere476 Місяць тому +1

    Huyu mzee ana uwezo mkubwa! Much love to him!!

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b Місяць тому

    Hamuna haki Tanzania labda makonda au silaa wawe maraisi ndio haki itapatikana

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 2 місяці тому

    Sasa yeye aliemtoa Mbatia amenya nini ?
    Yeye huyo yuko kwa ajili ya CCM that is all

  • @medinaser9712
    @medinaser9712 2 місяці тому

    Muheshimiwa mbatia ni hazina ya taifa .....kwanini asiende atc wazalendo ...kwa siasa zake panamfaa sana kwa anaendana na siasa zake za kistarabu

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b Місяць тому

    Ili Walpole vizuli

  • @Swahili360
    @Swahili360 2 місяці тому

    Into 👍🏾🔥🔥🔥🔥🫡

  • @charlessolomon5928
    @charlessolomon5928 Місяць тому

    mbatia nampenda saana ila goli alilopo halifungiki

  • @yugemasanza1008
    @yugemasanza1008 Місяць тому

    Kwa kweli wewe ni zaidi ya Lissu na akina Mbowe

    • @ezekielkiduge8730
      @ezekielkiduge8730 Місяць тому

      Wewe ni chawa kama chawa wengine ni nani asiyekujua!!!!!!

  • @saturinimushi4746
    @saturinimushi4746 2 місяці тому +2

    Kama Siyo Migogoro ya Ndani Kupitia Wanasiasa Mamluki Vyama Vya Upinzani Tanzania Vingekuwa na Nguvu sana Kwa Sababu ya Hazina Ya Viongozi Wasomi Wenye Akili sana.
    Shida kubwa ni Usaliti.
    What? Goes Around Comes Around.
    Wewe Na Yule Mch. Aliyekuwa Mw.Kiti Wa Kanda ya Nyasa Uwezo Mnao.
    Tatizo kubwa ni kutanguliza Maslai Binafsi na Maslai ya Wachache kwa Baadhi ya Viongozi wa Vyama Vya Siasa.

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b Місяць тому

    Tanzania hamuna upinzani wote ni chawa wa chama chamapinduzi mustuni hawawezi

  • @michaelaloyce2072
    @michaelaloyce2072 Місяць тому

    Stupid interview